Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Dah haya maisha Mungu tu anajua. Yaani jamaa na degree yake ya Petroleum anauza vitini wakati kuna washkaji nawafahamu wana vidiploma vya DIT wanapiga pesa ndefu kwenye makampuni ya PUMA Oryx nk. Full mikoko ya kutembelea mishahara ya hatari. Mungu ambariki aendelee kutengeneza vitini ndo wito wake alioitiwa na mwenyezi Mungu
Tumia akili ndogo tuu Jamaa akiuza vitini kwa elfu 10 akiuza vitini laki mbili anapat B 2
 
jamaa yuko waja boys anafundisha..na maisha yake yako poa...vitini vyake vinawasaidia madogo sana...personality yake naipenda ya makuzi .shombo na dharau..maana tunaendana
 
Na hii imeongeza ukosefu wa ajira kwa watu wenye sifa stahiki za taaluma husika.
Setikali lazima inapotengeneza fani iilinde fani yenyewe pamoja na maslahi husika.
Nimeuona mswada wa Tanzania Teachers Board of Professional Act 2018. Unakataa haya mambo. Tuombe upite salama hawa sio walimu hawa ni wale wanaosimama tu mbele ya wanafunzi haphazardly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom