LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,659
- 47,165
mtumeee, tobaaa!Mkuu uko wapi mwenzetu?
Aliye nyuma ya hii movie ni Abdul mwenyewe pamoja na mamayake , kumbuka ameambiwa akikataa kujiuzulu itavujishwa na clip yote ya dakika 12

Kichwa cha habari unasema video za PM akiwa utupu na anakoroma halafu kwenye maelezo unasema video hazina shida kwa sababu PM amelala na anakoroma. Which is which?Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Mimi huwa najiuliza hilo swali, siyo tu kwa watu mashuhuri au maarufu but WHY watu huwa wanaangalia vitu kama hivyo?Huwa inawaongezea au inawafaa nini kutazama picha au video za watu mashuhuri au maarufu wakiwa wanatiana au wakiwa faragha?
Wamshitakiiii basiiiWamezifuta na wakasema sio video halisi kamanda.Hilda Newton ametuingiza chaka aisee
Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
X je wao watahongwa lini ili waifute?Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Kimoko tu chaliiiMeta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Hata wakifuta tayari tumeipakua na tutaisambaza tena na tena wahatsup
Akanushe nini sasa kwamba hajalala au hajakoroma kipi kibaya pale kulala au kukoroma?Atoke hadharani akanushe
Na aseme kuwa anachafuliwa, lakini Kwa cheo chake kukaa kimya inatia shaka mno
Hahaha. Sasa mwanaume si lazima aungurume kama simba...?!Ila jamaa anaunguruma khaaa
Huyo kweli Simba wa yudaHahaha. Sasa mwanaume si lazima aungurume kama simba...?!
Nasikia alikuwa anakuweka wewe ndipo akapitiwa na usingizi.Sasa chadema mnadhani hiyo ndo itawasaidia Antipas ***** asile kitanzi??
Kuna nini huko darMeta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Hilda Newton sio mwanaharakati. Ni mpuuzi mmoja aliyechagua aina hiyo ya maisha.Kale kavideo feki kalianzia kwa mwanaharakati na kiongozi wa CHADEMA. Mange anawaambia waache kutumika kwa maslahi ya wengine, kwa lugha rahisi, waache kununulika kirahisi.