Mkuu 'LOTH HEMA', elewa hizi ni biashara zenye ushindani ndani yake; na kwa uhakika, ni zaidi ya biashara kadri mambo yanavyozidi kujifunua. Humu kuna ushindani wa kiitikadi nao umeingia kwa kasi kubwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele.je wakibisha na wakafungiwa ku operate tanzania si itaonekana nchi ya kijima kukosa mitandao mikubwa kama ile duniani?
Ile "VITA BARIDI" iliyodhaniwa imepita, inarudi kwa kasi kubwa sasa,
Huyo META akijitoa, "WeChat" ya vile vijamaa vinavyoinukia itaingia. Na hilo kwa hawa wakubwa sasa hivi ni kukubali kushindwa.
Nisome vizuri unielewe, au uliza tu tuendelee kujadili.