The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,679
- 9,303
Hana anachokijua Fala yuleYericco anasemaje
Hana anachokijua Fala yuleYericco anasemaje
Yericko Nyerere ni kibaka tu na chawa wa Sultan MboweYericco anasemaje
Ila bado hujaeleweka:Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
😂😂😂Ila jamaa anaunguruma khaaa
DuhMeta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Sasa tunafikaje kwenye faragha zao?Huwa inawaongezea au inawafaa nini kutazama picha au video za watu mashuhuri au maarufu wakiwa wanatiana au wakiwa faragha?
Mkuu uko wapi mwenzetu?Nina kina nani hao wako nyuma ya pazia kumchafua waziri mkuu?
Yaani anakoroma kabisa? Kwani hakusoma ule Uzi wa secretarybird, wa jinsi ya kufanya mtu asikorome akilala? Mwambieni uzi wenyewe ni huu hapa 👇Meta ambao ndo wamiliki wa mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na WhatsApp wamefuta video zote zilizo postiwa kwenye platform zao
Wale waliokuwa wanasema ni AI mna hali Gani?
Binafsi naona video haina shida kwakuwa PM alikuwa yupo amelala na kukoroma, ambapo ni jambo la kawaida
Meta nao sio wakuaminika wanafikika kirahisi mno
Wacha tusubiri tuone kama wanaosema wana episode nyingine kama watatupa connection tuburudishe macho
Na wala siyo overweight au morbidly obese huyu lakini koroma yake hata Boeing 747 inayojiandaa kuruka ikasome. Angekuwa morbidly obese kama marehemu Chivayo huyu angefia usingizini na ma-scarf yake ya kizalendo. Hopeless kabisa!Ila jamaa anaunguruma khaaa
Anakoloma kama chatuSasa tunafikaje kwenye faragha zao?
je wakibisha na wakafungiwa ku operate tanzania si itaonekana nchi ya kijima kukosa mitandao mikubwa kama ile duniani?Ila bado hujaeleweka:
Kwa hiyo unasema Meta wamefuta kwa vile hizo video zilikuwa ni HALISI.
Kwani zingekuwa ni za kutengeneza kwa kutumia Akili Unde hizo video wangeziacha ziendelee kuwepo kwenye mitandao yao?
Meta kufuta au kutofuta ni swala la kibiashara tu. Hawa wapo hapa Tanzania, kwa sababu wanafanya biashara kwa masharti wanayopewa na wanaowaruhusu kuwepo biashara zao hapa.
Kwa hiyo ni swala la kupewa maelekezo tu; ONDOA hizo video, la sivyo biashara yako hapa inaharibika. It's as simple as that!
Usiweke tafsiri isiyoendana kabisa na swala lenyewe.