Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Mnapenda sana drama!wake zenu wako smart sana oooh ukiikuta ujue ck hy Mungu amekuonyesha tu kazi kwako kuna mengi makubwa zaidi hata ukute ni utani wa kazini....angalia asub wakifika makazin wake zenu wanapokelewa kwa kiss na shangwe zote utasikia mume wangu wa kazini nimeku miss sana tangu friday!!hata smsm wala call??

ILa hapa ni kweli mtupu maofisini kuna drama nyingi,utakuta watu mnataniana hadi basi.

Bujibuji just take it easy.
 
ILa hapa ni kweli mtupu maofisini kuna drama nyingi,utakuta watu mnataniana hadi basi.

Bujibuji just take it easy.

Utani wa kutumiana jumbe kama hizo ambazo zinaweza kuonekana na wenye mali zao wala haukubaliki kabisa. Huu si utani bali ni kweli mwamba alikuwa anavinyonga na mali za watu.
 
Bujibuji pole sana kwa mkasa wa kusikitisha.
Hata hivyo haya mambo yapo , tena kwa sana, na hii haileti faraja yoyote.
Hasira yako bado itakuwa just below the surface, chunguza kwa makini suala lenyewe na umjue huyo jamaa kwa kina.
Itakuwa vizuri kumpa mama likizo nae mkae mbali mbali la sivyo a slight spark ya ugomvi inaweza kuleta maafa yanayotokana na wivu.
 
BujiBuji,

If you happened to cheat, something I cannot judge, your story can be like this:

One Friday morning, John woke up hurriedly and prepared for work.
He worked in a busy institution and was expected early at work. His wife, Jane
worked a distance from where her husband's office was.

As a result of doing things in a hurry, John unknowingly, carried his wife's mobile phone leaving behind his own. After he had gone, his wife Jane noticed the mix-up but it was too late for her to do anything about it. She thought for a while and decided to carry her husband's phone in case he came back for it.

On arriving at his place of work John noticed that he had confused his wife's phone for his but decided not to go back for it. He sighed deeply because he knew his wife could access romantic messages sent by his many mistresses.

His wife too was disgusted because she had several toy boys.

Drama began to unfold when John received an SMS intended for his wife sent by somebody saved as 'Omari-Taxi', which read, "Vp mambo mtoto, 4 me am okay just mad! waniua-ua, kipenzi. siliii wala silali!.. usiku kucha nakuota wewe, mwenye password ya moyo wang." John was shocked to see this and thought he understood why his wife had come home late the previous evening. Akaamua kuuchuna, to see what more would come.

After one hour he received another SMS from somebody saved as 'Mwanjaa-Salon' which read, "Sasa, laaziz, kpande cha mzizi! natumai uko pouwa!..mi pia, ila bla ya kukutia machoni..kaaz kwl kwl!. Nice day sweetie, see you at lunch."

Hunger strike!
The third SMS tricked in from somebody saved as 'Winnie-boutique which read, "Monin ma beautiful queen, I wish you were a gum, I would chew you every time, you make me feel young like I was born yesterday, you without whom I would go on a hunger strike. Have a bright day ma dear."

John was deeply shocked by these messages but knew that on the other side his wife might be seeing drama too.

Meanwhile, Jane had seen even more than her husband.. She had received three messages from three women that clearly showed they were his mistresses. The first SMS was from a woman saved as' pedejhee kingo" which read, ''Hi deah how's ur monin? 4 me am okay..nimepowa na junior hapa..yaani twaku-miss ka kiss ya kibogoyo..junior anasema nampenda sana dadiii, atakuja lini kupowa na sisi?..gday."

Always penniless...
Jane almost fainted on seeing this because she could not believe that her husband had a son outside marriage.

Before her anger was over, she received a second SMS from' 'Bitebo-saluni 'which read, ''Monin ma deah, ope ur enjoyin ur day. Mine can't be complete without you. Everytime I sleep in this house you bought 4 me I dream 2 love u always. yaaan, hili sita kwa sita ni baridiii bla ya wewe honey ubavuni mwangu..lile Bimmer ulon'nunulia liko poa languruma ka unavonguruma ukiona 'nyama' lol!! Thanks,g'day."

The last message came from 'papa-kindo' and read, ''Sasa mchu'? Ope uko poa, mimi niko fiti hapa hm, lakini nakumiss sana . ila wakmbuka honey kuna michuzi twadaiwa kilo kadhaa za ule mradi, tuonane. Nice day love you big, mme wng"
Jane had found the answer to why her husband was always penniless!

When evening came John and Jane met at home. They could hardly talk but only stared at one another with suspicion.

UKIMCHUNGUZA SANA BATA, HUWEZI KUMLA......KAMA ALIVYOKUWA ANAMDANGANYA MPENZI WAKE WA ZAMANI AU WAZAZI WAKE NA KUJA KWAO NAWE UNAFURAHI, AKIWA KWAKO ANAKUDANGANYA WEWE ILI AWEZE KWENDA KWA MWINGINE NA MWINGINE NA MWINGIE!.

MAISHA IKO HIVYO, HATUJUI HATA YULE MWANAMKE WA KWANZA ALIFANYA NINI NA SHETANI (NYOKA) UKIACHA KUDANGANYWA ILI AMDANGANYE MUMEWE PIA KULA TUNDA LA MTI WA "KATI KATI".
 
One Friday morning, John woke up hurriedly and prepared for work.
He worked in a busy institution and was expected early at work. His wife, Jane
worked a distance from where her husband's office was.

As a result of doing things in a hurry, John unknowingly, carried his wife's mobile phone leaving behind his own. After he had gone, his wife Jane noticed the mix-up but it was too late for her to do anything about it. She thought for a while and decided to carry her husband's phone in case he came back for it.

On arriving at his place of work John noticed that he had confused his wife's phone for his but decided not to go back for it. He sighed deeply because he knew his wife could access romantic messages sent by his many mistresses.

His wife too was disgusted because she had several toy boys.

Drama began to unfold when John received an SMS intended for his wife sent by somebody saved as 'Omari-Taxi', which read, "Vp mambo mtoto, 4 me am okay just mad! waniua-ua, kipenzi. siliii wala silali!.. usiku kucha nakuota wewe, mwenye password ya moyo wang." John was shocked to see this and thought he understood why his wife had come home late the previous evening. Akaamua kuuchuna, to see what more would come.

After one hour he received another SMS from somebody saved as 'Mwanjaa-Salon' which read, "Sasa, laaziz, kpande cha mzizi! natumai uko pouwa!..mi pia, ila bla ya kukutia machoni..kaaz kwl kwl!. Nice day sweetie, see you at lunch."

Hunger strike!
The third SMS tricked in from somebody saved as 'Winnie-boutique which read, "Monin ma beautiful queen, I wish you were a gum, I would chew you every time, you make me feel young like I was born yesterday, you without whom I would go on a hunger strike. Have a bright day ma dear."

John was deeply shocked by these messages but knew that on the other side his wife might be seeing drama too.

Meanwhile, Jane had seen even more than her husband.. She had received three messages from three women that clearly showed they were his mistresses. The first SMS was from a woman saved as' pedejhee kingo" which read, ''Hi deah how's ur monin? 4 me am okay..nimepowa na junior hapa..yaani twaku-miss ka kiss ya kibogoyo..junior anasema nampenda sana dadiii, atakuja lini kupowa na sisi?..gday."

Always penniless...
Jane almost fainted on seeing this because she could not believe that her husband had a son outside marriage.

Before her anger was over, she received a second SMS from' 'Bitebo-saluni 'which read, ''Monin ma deah, ope ur enjoyin ur day. Mine can't be complete without you. Everytime I sleep in this house you bought 4 me I dream 2 love u always. yaaan, hili sita kwa sita ni baridiii bla ya wewe honey ubavuni mwangu..lile Bimmer ulon'nunulia liko poa languruma ka unavonguruma ukiona 'nyama' lol!! Thanks,g'day."

The last message came from 'papa-kindo' and read, ''Sasa mchu'? Ope uko poa, mimi niko fiti hapa hm, lakini nakumiss sana . ila wakmbuka honey kuna michuzi twadaiwa kilo kadhaa za ule mradi, tuonane. Nice day love you big, mme wng"
Jane had found the answer to why her husband was always penniless!

When evening came John and Jane met at home. They could hardly talk but only stared at one another with suspicion.

Mazee! Utani mwingine haufai jamani. Msifanye maskhara hii inaweza kuua mtu jamani. Yaani msgs tatu zinaingia mtu ule kobisi bila kujikuta ukipiga kelele? Uuuuwiiiiiiiii, haki ya nane nauwa mtu, si utana.
 
Pole sana mkuu,inawezekana huyo Coleman anafahamiana na wife wako,na hiyo sms alikuwa anamtext girlfriend wake akakosea akaisend kwa mkeo kimakosa,fanya uchunguzi wa kina kabla ya kumhukumu mkeo!!!

Na wewe suger wa ukweli, uwachage mambo yako yakujifanya watu western African, kujifanya ni mkimbizi upo senegal unataka mtu akupe account number ya kuhamisha pesa, wewe mbongo bwana be peaseful kwa wabongo wenzako.
Samahanini kwa ukesefu wangu wanizamu kuacha kuchangia mada jamani sintarudia tena
 
mimi siwezi kutana na meseji kama hiyo halafu nikaka kimya,NO WAY

Geoff nilidhani wewe ni bingwa wa kudumisha MILA!

Tukirudi kwenye mada, pole sana bujibuji, nashindwa hata kufikiria unaumia kiasi gani - Mungu akupe busara katika kipindi hiki.

Annina
 
Kama mambo yenyewe ndio haya hakuna kuoa usawa huu.

Bujibuji pole sana kwa kilichotokea.
 
Kama mambo yenyewe ndio haya hakuna kuoa usawa huu.

Bujibuji pole sana kwa kilichotokea.

...mbona unajitisha bana?

mke anasifiwa kwa vionjo na manjonjo yake wewe unamind ki hivyo ....au ungefarijika jamaa angempaka kwamba si lolote si chochote?

Kama mambo yenyewe ndio haya hakuna kuoa usawa huu.

Bujibuji pole sana kwa kilichotokea.
Naungana na wewe maana nilikuwa na hamu ya kuingia kwenye ndoa ila hadi usawa huu itabidi hadi miaka kadhaa ijayo.Pagumu hapo,pole sana na maumivu mkuu.
 
Mambo madogo tu hayo ...usiuulize leo wala kesho...

Tafuta ukweli taratibu na ikiwezekana msg ya pili au tatu ya namna hiyo..peke yako

Ukishaproof kwamba anamegwa..."OUT" siyo wako huyo ni sahihi akaendelea na huyo jamaa yake kwa uzuri zaidi.
 
Ahhhhh Bujibuji pole kiongozi wangu...mi yamenikuta kama hayo jamaa linamwambia wife ur so sweet i will never leave you alone....mi nilitaka nipigane...nikamtaiti wife akasema kweli jamaa kagonga ngozi kama mara 3 hivi...nikamwambia aache mungu hapendi.

kazi kwelikweli. Big up kwa moyo mkuu!
 
naungana na wewe maana nilikuwa na hamu ya kuingia kwenye ndoa ila hadi usawa huu itabidi hadi miaka kadhaa ijayo.pagumu hapo,pole sana na maumivu mkuu.

kwani una hakika gani kwamba hata gf uliye naye hamegwi? Its the same thing
 
huyo mtu atakuwa ana mke sasa wewe na wewe anza kumtumia msg za mapenzi kila usiku wa manane mpaka yamkute yaliokukuta
pole kamanda wangu;wengine yalitukuta tukafungua njia mapema wengine wapite
poleni jamani, inaonekana wengi mmeumizwa humu. Kweli wanawake wameamua this era.
 
mnapenda sana drama!wake zenu wako smart sana oooh ukiikuta ujue ck hy mungu amekuonyesha tu kazi kwako kuna mengi makubwa zaidi hata ukute ni utani wa kazini....angalia asub wakifika makazin wake zenu wanapokelewa kwa kiss na shangwe zote utasikia mume wangu wa kazini nimeku miss sana tangu friday!!hata smsm wala call??
huu nao ukweli jamani.
 
Haya ndiyo majibu yao ili kukupoza baada ya hapo unarembuliwa macho na kuambiwa kwa sauti ya upole "I Love you honey, don't you trust me babe?" ukimpa kisogo tu anakung'ong'a na kujisemea kimoyomoyo kwisha habari yako zezeta mkubwa huyu kwenye simu yangu alikuwa anafuata nini haswa?. LOL!
ha ha haaaaaaaaaaa. jamani msimpe jakamoyo zaidi. mwacheni acool down. Cha msingi ni kufanya uchunguzi ndo jibu pekee kabla ya kufanya maamuzi yoyote.
 
Pole sana ndugu yangu.
Ninafahamu kuwa unaungua moyoni na hii bila kuitoa na vile wewe ni binadamu 'unaweza ukapata temporary insanity' na ukafanya kitu ambacho baadaye ukakijutia.
Kwa vile hii issue ni sensitive, mtafute jamaa wa upande wake kama shangazi,mama mkubwa, bibi umuhadithie halafu angalia atakujibu nini na halafu kuwe na kikao na familia yao you can take it from there. Ni kidonda kigumu sana na hata ikiwa kweli na mkasameheana itachukuwa muda sana kupona lakini kama wasemavyo malenga 'it takes 2 to tango' and 'where there is a will there is a way'
POLE MKUU
 
yean a woman of substance!!! i can see that!! thanks

mie nasemaje bht....kuna wa2 wana mioyo wa uvumilivu kweli....nimeisoma hii jana mpaka nikaccmkwa mana nikachukulia angekuwa baba kachala wangu...oooohh my God.
 
Back
Top Bottom