bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,883
taasisi inanitisha hii ujue???ndo maana nasema hizi ndoa zetu zinahitaji maombi ya ziada na moyo mkuu
taasisi inanitisha hii ujue???ndo maana nasema hizi ndoa zetu zinahitaji maombi ya ziada na moyo mkuu
bora usiingie!...taasisi inanitisha hii ujue???
Hii ipo sana mbona na kama ndo ameongeza idadi ya ukoo ndugu wana minya tu wakwambiwe wewe ili iweje? Mwambie atulie u ajali watoto wake maisha yaendelee kutengana sio suruhisho.
ndo maana nasema hizi ndoa zetu zinahitaji maombi ya ziada na moyo mkuu
hata mie ningechukua uamuzi wa frnd wangu, anawalea watoto wa3 wa mr aliowazaa nje, mmoja alimkuta, wa2 akiwa ameshaolewa analetewa ndani, huyu ni wa4, yeye ataishia kulea watoto wa kuletewa kila kukicha? .
naingia mbona weee hujaacha. ikinishinda natoka Goeffbora usiingie!...
kuna BACHELORS PARTY nasikia anaiandaa JS....
unfortunately WE DON'T HAVE EXIT DOOR in this system.it is A NO EXIT SYSTEM.once you are in YOU ARE IN...!naingia mbona weee hujaacha. ikinishinda natoka Goeff
naingia mbona weee hujaacha. ikinishinda natoka Goeff
Hizi ndoa zimejaa vitimbi kweli kweli. I got my lesson same way BujiBuji got his. Wife nilimpa freedom ya kufanya mambo bila kuwa mkoloni. Si akaanza kuachia kwa jamaa huko mtaani. Niligundua mapema, kila nilipomuonya hakunisikiliza. Ila siku ya siku nilienda step moja zaidi. Yule jamaa aliyekuwa anamchukua hatakuja kunisahau maana nilimtafuta mpaka nikampata na mkewe pia.
unfortunately WE DON'T HAVE EXIT DOOR in this system.it is A NO EXIT SYSTEM.once you are in YOU ARE IN...!
kama unadhani hupo tayari ni bora uache
jamani....hivi hii ndio adhabu ya hiki kitendo?
jamani....hivi hii ndio adhabu ya hiki kitendo?
Sasa ningempa adhabu gani? Sikumpiga wala sikumfanyia lolote baya! Ila niliwakutanisha na mkewe tu nikamuonya kwamba what goes around comes around! What if I lured yours too!jamani....hivi hii ndio adhabu ya hiki kitendo?
Kwa namna unavyoitafsiri ndoa,naona wewe itakushinda!...kwasababu you are filled in with negative perceptions of it...(THE BLIND SIDE OF MARRIAGE)Goeff nadhani kila mtu anaingia humo with expection that they won't exist!!! matarajio yanpokuwa tofauti ntatoka. ( if marriage has broken irreparably)
We ukichukuliwa mme utafanyaje?
mmoja...
Sasa ningempa adhabu gani? Sikumpiga wala sikumfanyia lolote baya! Ila niliwakutanisha na mkewe tu nikamuonya kwamba what goes around comes around! What if I lured yours too!
Kwa namna unavyoitafsiri ndoa,naona wewe itakushinda!...kwasababu you are filled in with negative perceptions of it...(THE BLIND SIDE OF MARRIAGE)
kuna kitu kidogo tu umekisahau,kwamba ndoa haina formula,IT IS HOW YOU GUYS MAKE IT!mwanamke mwenzio akipigwa na mumewe isikufanye usiolewe,kupigwa sio MANDATORY kwenye ndoa...!i mean ndoa ni namna mnavyoifanya ninyi.mnaweza kuifanya CHUNGU au vinginevyo....