frnd wangu alikuwa moshi kwa wakwe zake wa mapumziko ya kumaliza mwaka, amenical cku hiyo ananiambia anatengana na mr, kumuuliza kulikoni, ananiambia mr alikuwa anakuja na mdada hapo kwa mama yake na anamtambulisha kama mfanyakazi mwenzake, kumbe ni hawara yake na hapo nyumbani wanalijua na ana mtoto na huyo mdada, sasa imagine mama mkwe wako/mawifi/mashemeji wanamjua na wamemkubali mpaka anakuja hapo nyumbani na wanajua mkaka ana mke, wanamu enjoy tu? na huyu mkaka ana watoto wa3 wa nje kazaa zaa tu huko huyu dada ndio alikuwa anawalea, sasa aongezewe na huyu tena? ninavyokuambia mdada kashaanza maisha yake na mwanae arusha...hebu niambie bht.