SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Old is gold mkuuaiseeeeeeeeee leo kuna nini MMU maana zinaibuliwa sredi za enzi zileeeeeeeeeeeeeeee za good old JF!! anyway saalaams to ma man Bujibuji
Old is gold mkuuaiseeeeeeeeee leo kuna nini MMU maana zinaibuliwa sredi za enzi zileeeeeeeeeeeeeeee za good old JF!! anyway saalaams to ma man Bujibuji
Ndio excuse zenu za kufanya ufuska?Ushauri wa bure, ukome kuchokonoa simu ya mkeo!!!! Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla!!!
Mm mume wangu alishawahi kosea kutuma sms badala atume kwa dem wake ambaye tena n mke wa mtu akatuma kwangu ....alikuwa nyumban akasema kachoka sana hawez kwenda kazin ...mchana naandaa chakula sms inaingia kwangu ohhh baby usijenipigia leo niko home shuhul.ya jana imenilaza hoi ww mwanamke kiboko mpka nimehis homa dahhh unaweza niua aisee ....love u sana .....nilihis jiko la gesi linanilipukia kabisaaaaa ....ila nilichokuja mfanyia mpaka leo anaadabuIam trying to figure out the situation, but i cant easily digest it...Ni mwizi gani huyu atakayeingiza sms ya namna hiyo kwa mke wa mtu!..";mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe"....Sms ni ushahidi mzuri sana kimahakama....Huyo mwanamke nae si wako kama anakaa kimya na sms ya namna hiyo bila kuisalimisha kwako...this is living with a devil..icant believe!..Ni mkeo au girlfriend?...embu kuwa serious basi Bujibuji...Ningekuwa Dar ningekutafuta unionyeshe mwanamke wa aina hiyo anafananaje...gooosh!...Yani it pains me more than 2u!...Jesus!
Da! Yan awa wanawake usipokua naakil ya kujiongeza wana kufelisha maishaila sijakata tamaa kwa sabb anaendelea bado kisirisiri hasa ninaposafiri kikazi..
Una moyo wa chuma mkuuila sijakata tamaa kwa sabb anaendelea bado kisirisiri hasa ninaposafiri kikazi..
Please malizia ulichomfanya mwanaume mwenzetu ili iwe fundisho kwetu na kwenu pia tafadhali bibie kwa ihsani yako.Mm mume wangu alishawahi kosea kutuma sms badala atume kwa dem wake ambaye tena n mke wa mtu akatuma kwangu ....alikuwa nyumban akasema kachoka sana hawez kwenda kazin ...mchana naandaa chakula sms inaingia kwangu ohhh baby usijenipigia leo niko home shuhul.ya jana imenilaza hoi ww mwanamke kiboko mpka nimehis homa dahhh unaweza niua aisee ....love u sana .....nilihis jiko la gesi linanilipukia kabisaaaaa ....ila nilichokuja mfanyia mpaka leo anaadabu
Ndio maana sioni haja ya mimi kutumia nguvu nyingi penye huu uzi duh kumbe magumashi.Bujibuji umeoa lini rafiki yangu? Nakumbuka mara ya mwisho tumeonana Samaki Samaki town, (Kabla haijafungwa) na ulikua unafurahia ujana tuuuu. Anyways acha movie iendeleee
Uko sahihi mkuuNdio maana sioni haja ya mimi kutumia nguvu nyingi penye huu uzi duh kumbe magumashi.
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Atajitokeza tukwani yeye hayupo hapa JF?,kama yupo basi tena,ushahidi ushaharibiwa
Uchunguzi wa nini na ushahidi uko liveMkuu dont just jump into conclusion! Unahitaji kufanya uchunguzi wa kina... pengine unalofikiria sivyo au kuna zaidi ya hilo. So fanya uchunguzi kwanza usijiumize kwa mawazo coz it could be ni rafiki yake katumia hiyo simu or sth else.