SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Achana nae
mapenz nomaAchana nae
Ni hatareeeeeeaiseee pole sana jmn ila kwann mpk mkeo anafkia hatua ya kucheat ivo kuna vtu havko sawa ktk ndoa yenu
Tatizo siku hizi wake za watu wamekuwa hovyo sana,sijui hata huko ndani ya nyumba ni nini wamekosa,unakuta mtu yupo na very stable family lakini haachi kuhangaika na wapuuzi huko barabarani.
Nasoma tu thread ya Bujibuji, kumbe nami nimeposit kama hii. hawa wanawake balaa, nimeshika kama hizo tatu, kumweleza anakuwa mkali. mbaya mambo mengi anajiamulia. hata chumbani. anaripoti mambo ya ndani kwa kidume kingine! lol wake zetu hawa. wanadanganyika sana. wanajifanya wanaridhika lakini duh! Pole Bujibuji ila duatilia ujue, na umweleze mkeo. au huyo bwana wakeTatizo siku hizi wake za watu wamekuwa hovyo sana,sijui hata huko ndani ya nyumba ni nini wamekosa,unakuta mtu yupo na very stable family lakini haachi kuhangaika na wapuuzi huko barabarani.
Mkuu dont just jump into conclusion! Unahitaji kufanya uchunguzi wa kina... pengine unalofikiria sivyo au kuna zaidi ya hilo. So fanya uchunguzi kwanza usijiumize kwa mawazo coz it could be ni rafiki yake katumia hiyo simu or sth else.
Huduma zote mnawapa za kuridhisha?
Tatizo mmefanya lawama kwa wanawake kuwa sifa.
Unakuta Jamaa nyumbani hatimizi wajibu wake ipasavyo lakini akija JF analalamika na kujifunya yake yote anatimiza.
Hata ambaye anakwenda kama kuku akija huku anajisifu eti anahudumia. Mnatudanganya sababu hatuoni mnayowafanyia huko nasi tukawakosoa?
Majanga hayaNasoma tu thread ya Bujibuji, kumbe nami nimeposit kama hii. hawa wanawake balaa, nimeshika kama hizo tatu, kumweleza anakuwa mkali. mbaya mambo mengi anajiamulia. hata chumbani. anaripoti mambo ya ndani kwa kidume kingine! lol wake zetu hawa. wanadanganyika sana. wanajifanya wanaridhika lakini duh! Pole Bujibuji ila duatilia ujue, na umweleze mkeo. au huyo bwana wake
Uchunguzi wa nini wakati ushahidi upo wazi?Mkuu dont just jump into conclusion! Unahitaji kufanya uchunguzi wa kina... pengine unalofikiria sivyo au kuna zaidi ya hilo. So fanya uchunguzi kwanza usijiumize kwa mawazo coz it could be ni rafiki yake katumia hiyo simu or sth else.
BUJIBUJI NI WEWE KWELI AU AISEE POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA ILA FANYA MAAMUZI YA BUSARA USIJEJUTA BAADAYE KAKA YANGU NAKUOMBA MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE KUHUSU HILI JAMBO KWANI NI ZITO MNO NA WALA HALIFIKIRIKIhakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo
Iam trying to figure out the situation, but i cant easily digest it...Ni mwizi gani huyu atakayeingiza sms ya namna hiyo kwa mke wa mtu!..";mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe"....Sms ni ushahidi mzuri sana kimahakama....Huyo mwanamke nae si wako kama anakaa kimya na sms ya namna hiyo bila kuisalimisha kwako...this is living with a devil..icant believe!..Ni mkeo au girlfriend?...embu kuwa serious basi Bujibuji...Ningekuwa Dar ningekutafuta unionyeshe mwanamke wa aina hiyo anafananaje...gooosh!...Yani it pains me more than 2u!...Jesus!
Hii issue ya 2010BUJIBUJI NI WEWE KWELI AU AISEE POLE SANA KWA YALIYOKUKUTA ILA FANYA MAAMUZI YA BUSARA USIJEJUTA BAADAYE KAKA YANGU NAKUOMBA MWOMBE MUNGU AKUSAIDIE KUHUSU HILI JAMBO KWANI NI ZITO MNO NA WALA HALIFIKIRIKI
Pole sana mkuuHii issue ya 2010