Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

hivi huyu mama aliendeleaga kubanana na huyo mzee tu, hee jamani mbona kuna watu ni vipofu kabisa, sasa Carmel huyu mama anaelekea kubaya, kwanini anaulazimisha uchizi jamani, hivi hizi ndoa zetu tuzifanyaje jamani au ni kidudu mtu gani kaziingilia na kuzivuruga ki hivi....mie bwana cjui kabisa, kuna vitu vinafanyika kwenye ndoa vinakatisha tamaa vijana kuoa/kuolewa mana kwa kweli ishu kama hii nani anataka kufa kwa msongo wa mawazo?...ameamuaje sasa? achome moto hayo makaratac haraka sana.
kwani akichoma moto hayo makaratasi ndo amemchoma moto huyo smol hausi? kuna baba alizini na mtoto wao wa kuasili. mama akamtimua yule mtoto baba akamwambia mama "unaweza kumfukuza hapa nyumbani lakini huwezi kumfukuza kwenye moyo wangu". Mama wa watu ikabidi ajimuvuzishe na kuanza mchakato wa talaka.
 
Mimi nilikuta makubwa zaidi ya hayo kwa wife,nampa kila kitu mpaka gari anabadilisha kila mwaka,nimemsomesha degree ya kwanza na sasa Masters nikakutana na meseji kamwandikia mwenzake kuwa jamaa yake anampenda sana mpaka anaogopa,eti anajua kum care sana!
Makubwa gani hayo mkuu
 
kwa maana hiyo, kama akaa Mwenge, ahamie Mbagala spiricho centre kwanza kwa muda??

NO.... fanya utaratibu fasta umkamate huyo jamaa ukiwa na wahuni wanne hivi wapeane zamu tu na picha kibao wapige wakiwa kwenye kilimo mseto. baada ya hapo we rudi home na mamsapu mpeleke dina la maana na ukatekeleze sera kama hakijatokea kitu vile.
Mkuu hiyo ni balaa
 
Mi siamini hii story.Kama ni kweli huyo mwizi atakuwa ni dumbest person in the world na hajui uchungu wa kupigiwa pipe mke.KAma ni kweli omba Mungu akuongoze katika jambo hili.Haya mambo katika ndoa uwezekano wa kuwepo ni 70% ila omba usijue
 
Chukua sim yake kama ni adroid smart phone kisha download application inayoitwa spy mobile(ni hiden app yeye hawezi kuiona kwa screen yake).
Hii Itakuletea txt msg zote,whatsap zote na phone calls anazowasiliana na jamaa kwenye sim yako au laptop.Wata kupa trial version ya siku 7.
Ukishafanya hivyo we mwage unasafiri kikakaz japo kwa siku 3 au 4,kua mjini hapa ukifatilia appointment zao,nakuhakikishia kwa 98% yeye na huyo coleman utawanyaka kilaini tu kama kuku midondo.
 
Pole sana ndugu jipe moyo usikurupuke kufanya maamuzi yoyote ya hasira fanya uchunguzi kwanza
 
Aisee, kumbe shemeji ana mbwembwe hivyo!, amemfanya coleman kuwa crazy on bed, ha ha haaaa!.
 
we ndo maana UNATOMBEW.A,unatoa ya chumbani kuja kuyaleta uwanjani kwa wanakijiji wenzio,kuwaambia tu!
Halafu wakuangalie tu,lafa kweli wewe,umeona ulivyo goigoi.
Kwako fedha(security),ndoa kwa mjuba,mpiga show za kibabe,imemuolea.
Na kwatabia hiyo sawa tu upigiwe
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

!
!
Tunafanana kwa hatua za awali. Ila kwa taratibu zinazifata aisee sijui.... Its Over
 
Post ni ya mwaka 2010 nataka kujua maendeleo ya ndoa yenu
 
Kama toka use nae hujawahi msaliti muache, lkn km in wew huwa Una msaliti mssmehee tu. Ukila vya Watu ujue na wew vyako vnaliwa
 
unaweza ua, cha kufanya ukifika nyumbani we toka na simu yake kalale nayo kwa demu wako uliyekuwa unamtonoza kesho amkia kazini najua atakuja kujua kama uko hai, akifika mkabidhi simu yake mwabie aende jioni atakueleza kila alichokifanya siku zote na huyu mwizi wake then chukua hatua
 
Back
Top Bottom