Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Safi mkuu kwa kutema nyongo 2014 itakuwa njema bila stress za 2013 natumai hutodance kichaga
 
Ushauri wangu ni huu: Muosha huoshwa.
 
Bujibuji, na ujanja wako wote kumbe unasaidiwa? aiseeee.....
Mchana huu wa leo mama
watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na
jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa
akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili
nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo
lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la
kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it
babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo
mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu
yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa
moyoni.
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Ni vyema ukamweleza mkeo hilo jambo ili uone reaction yake. Hata hivyo nadhani hakuna ukweli wo wote kwa kuwa sms ya namna hii ni lazima angeifuta. Huu ni usanii tu.
 
mkuu kwani bastola yako ni aina gani kati ya hizi hapa 38,45 ili nikushauri cha kufanya
 
Ndo hivyo bujibuji ukitaka wa kwako peke ako labda umuumbe mwenyewe, papuchi hazina kufuri ati
 
Hiyo mbona rahisi tu Bujibuji. Kama wewe huwa hugegedi nje huna sababu ya kujadiliana naye zaidi ya kumfungulia mlango aende kwa amani. Lakini sasa kama huwa unagegeda nje,sasa na wewe umegundua unagegedewa,kubali tu yaishe.
 
uwenda sm ali2mia rafk yake why uwai kumhukumu?by the way tunifunze kusamehe japo inauma ndo hata Mungu wetu atatusamehe maana wote tuna makosa na kwenye babayetu huwa tunasema 'utusamehe kama tunavyowasamehe walitukose'na mkeo kakosea 4giv and4get
 
Bro,,,, hapa kila mtu atajisemea tuuu...... hili usiombeeee,,,,najua ujutavyo kuigusa hiyo simu,,,,,
 
Tatizo siku hizi wake za watu wamekuwa hovyo sana,sijui hata huko ndani ya nyumba ni nini wamekosa,unakuta mtu yupo na very stable family lakini haachi kuhangaika na wapuuzi huko barabarani.
 
Ukisoma Vizuri utagundua kuwa ni Uongo mtupu

  • Mlitoka auti sehemu special kukutana na wafanyakazi wenzako...unahitaji namba ya shangazi yako kijijini umsalimie???
  • Pia ukifuatilia Mpaka naachana na wife sikusema chochote ....wife wako umetoka naye out Jioni sasa umeachana naye tena kwenda wapi????
  • Mwanamke aliyeolewa ana akili hawezi kuandika meseji kama hiyo....tena aache kwenye simu???
  • Ungekuwa na hasira za kutokutaka ushauri, hungeweza kulala na kuamka kula breakfast na kwenda kazini
  • Katunge hadith Nyingine....huku kuna great thinker!!!!

Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
aiseee pole sana jmn ila kwann mpk mkeo anafkia hatua ya kucheat ivo kuna vtu havko sawa ktk ndoa yenu
 
Mapenzi ni shida! Kaka najua roho inauma sana! Lazima utamtafuta huyo Coleman wako! Je, umeishawahi kupagawishwa na mama watoto wako mpaka ukamsifika kama alivyosifiwa? Je ulishawahi kumsifia baada ya tendo? Unaweza kugundua kuwa labda kutomsifia kwako kumemfanya achepuke!!! Je, umauuliza kama ameridhika? Huyo tayari ni mkeo, hakuna aibu kama mwanaume kugundulika ameibiwa mke. Ifanye siri tena tafuta suruhisho la kudumu. Ugonvi sio suruhu!!!
 
Pole sana, hilo mbona dogo tu kuna makubwa kushinda ilo omba yasikukute
 
hakika hii ishu imenitokea mimi binafsi na si mtu mwingine mchana huu wa leo

ushamegewa hapo, kama huwezi kumwacha basi hakikisha anajua kuwa umeshajua anamegwa na si mwaminifu na mkanye aache huo mchezo. Kama ni mwelewa ataelewa na kuacha, ila kama akili maji hataelewa.
 
Mimi nilikuta makubwa zaidi ya hayo kwa wife,nampa kila kitu mpaka gari anabadilisha kila mwaka,nimemsomesha degree ya kwanza na sasa Masters nikakutana na meseji kamwandikia mwenzake kuwa jamaa yake anampenda sana mpaka anaogopa,eti anajua kum care sana!
 
Back
Top Bottom