Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

pole ndugu yangu haya ndo madhara ya maendeleo, usinyamaze mbane vilivyo akueleze, ikibidi tumia tena simu kumjibu huyo coleman ukijifanya ndo mkeo, utajua mengi zaidi, unaweza uliza ni lini nilkumake crazy zaidi?

mambo mengine unajitafuti kumu ufoo saro mtu bure??? ukijibiwa si siku ile uliyonipa kote-kote!!! c utazimia wakat we hujawai pewa hata cku moja wala hutaki kuuliza ukiamini ni kosa linalomfanya hadi shetan akuogope!!!
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Pole mwenzio wiki iliyopita aliishia kumtwanga talaka my wife wake baada ya kukuta meseji ya "I love You" kwenda kwa mtu aliyeandikwa jina la amina kumbe ni dume.
 
tz bila ukimwi inawezekana chukua maamuzi magumu.
 
bujibuji kukaa kimya sio suluhu mimi ishu ndogo ndogo kama hizo za msg ni hapo hapo maana kumficha haisaidii maana kufumania siwezi wala sitaki ninachofanya na muuliza palepale tugombane kieleweke bcz at the end of the day hakuna kuachana sasa nahifadhi ushaidi ili nije nimuoneshe nani bcz analiwa njee na ana enjoy zaidi ya unavyompa wewe mpasulie jipu rabda anasababu za msingi kufanya hivyo muelezane najua ataomba msamaha and u dont have choice zaidi ya kumsamhe mmalizane on bed
 
Pole mwenzio wiki iliyopita aliishia kumtwanga talaka my wife wake baada ya kukuta meseji ya "I love You" kwenda kwa mtu aliyeandikwa jina la amina kumbe ni dume.
Hayo ndiyo mafunzo ya kwenye kicheni pati za ngomani
 
Kaka huyo hakufai ila tafuta njia nzuri ya kuachana naye.....la sivyo itakuwa huna furaha naye milele na hutomwamini maisha yote....cha msingi control hasira....muachane kwa wema kila mtu aangalie ustaarabu wake...
 
Mchana huu wa leo mama
watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na
jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa
akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili
nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo
lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la
kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it
babe!"


basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo
mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu
yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa
moyoni.

Nina imani JF haikuweza kuondoa hasira na ghadhabu uliyokuwa nayo siku ile!
 
Sikupi pole Mzee kwasababu inawezekana hiyo msg iliingia kwa makosa haikuwa kwa ajili ya Mkeo. Binafsi nilishawahi kutumiwa msg na msichana kwenye simu yangu kwa makosa na ilikuwa ina ujumbe mzito sana kama ingetokea Mke wangu kuiona ingekuwa balaa kenye ndoa yangu mpaka ukoo mzima wangeipata. MSG ilikuwa inasema "JANA UMENIFANYA KOTE HALAFU HELA YENYEWE KUMBE HUNA, USIPONIPA HELA YANGU LEO NAKUJA DAI MBELE YA MKEO".

Kesi ya uhai hiyo.
 
Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"

basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.

Ushauri wa bure, ukome kuchokonoa simu ya mkeo!!!! Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla!!!

 
Kaka huyo hakufai ila tafuta njia nzuri ya kuachana naye.....la sivyo itakuwa huna furaha naye milele na hutomwamini maisha yote....cha msingi control hasira....muachane kwa wema kila mtu aangalie ustaarabu wake...

Utamwaacha kwa evidence ya sms au kumfumania live ? Tumia busara. Fanya uchunguzi kwanza. Huenda huyo bwana Ñî mfanyakazi mwenzake huko kazini kwake. Ukishafahamu ukweli then mweleze ilikiwezekana na vibao juu.
 
kuna dogo mmoja msanii mashairi yake ni funzo tosha....yanasema "ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani" hapo nadhan utakuwa umeelewa ana maana gani.au mfano umemfumania mkeo anagongwa bila ya wao kushtuka ni busara utulie ukitzama wapi unakosea then ujirekebishe. ni ushauri tu!!
 
Nilikua Sinza na aliekuwa mchumba wangu kabla ya kuwa mke wangu, Enzi hizo nakumbuka nilikua natumia Siemens C25 mara Simu ikaita kupokea ni sauti ya kike haya kulikoni akasema mi nshafikka gesti muda wote huo halafu sikuoni.......usiombe yakukute. Bahati nzuri nilijieleza vizuri nikaeleweka
 
Back
Top Bottom