Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,602
:shocked: :faint2:Mchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
Nilimuacha, sasa nina mke mwingine mwema sana, ni ndugu yake ladyfurahia
safi.....Limeisha mkuu
ndoa za kimjinimjiniheee nkamu makubwa haya tena hiyo harusi ulifunga lini mm sijajua wala sijaambiwa?
na mahari umepeleka wapi maana ukoo hatujui sote wewe au ulimchukua kiaina?
tembelea hapa kupata baadhi ya uelewa wa kisheria kwa mambo hayo ya ndoa. bofya SHERIA KWA KISWAHILIMchana huu wa leo mama watoto alinipitia na tukaenda kwenye kiji mgahawa kimoja hapo jirani na jengo la ppf tower.
Pale tukakutana na wafanyakazi wenzangu na hivyo basi mama watoto akawa akibadilishana nao mawazo.
Wakiwa wanaendelea na mazoezi nikawa nimeishika simu ya mama watoto ili nichue namba ya shangazi yangu aliyeko shamba.
Baada ya kuichukua ile namba nikaingia kwenye meseji.
Sina utamaduni wa kukagua simu ya mama watoto, hata yeye analijua hilo lakini leo sijui ni kitu gani kimetuma kufanya hivyo.
Hii ndiyo sms niliyoikuta kwenye simu yake "mi sina la kusema, coz najua hou u make me crazy on bed, roll it babe!"
basi nikajiforwadia kwenye simu yangu, na nikaichukua namba ya huyo mtumaji ambaye anaitwa coleman.
Mpaka naachana na wife sikusema chochote na nikajaribu kuficha machungu yangu ili kati yetu asiwepo wa kujua na kuniuliza ni nini kimetokea.
Sitaki mnielekeze kuwa nimsamehe au nimuadhibu..
Nimeongea hapa ili kutoa donge la hasira na uchungu vilivyonijaa moyoni.
IDUNDA, book shop yenu iko wapi? nadhani nitapata machapisho mengi zaidi kuliko haya mliyoyabandika kwenye ubao wa bulogutembelea hapa kupata baadhi ya uelewa wa kisheria kwa mambo hayo ya ndoa. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
karibu sana bujibuji, kama uko dsm, nenda pale TPH bookshop au imalaseko supermarket unapoingia tu kwenye shelves za vitabu utakikuta. ila pale TPH ndo kuna vitabu vya kila aina. kama uko arusha nenda kwenye duka kubwa kuliko yote tz nafikiri, linaitwa KASE BOOK STORE. kama uko mwanza, nenda pale victoria bookshop mtaa wa salva conie au wengine wanaita bantu street. humo kwenye blog kuna ukichunguza sana, utakuta eneo linalosema wapi vitabu vinapatikana SHERIA KWA KISWAHILIIDUNDA, book shop yenu iko wapi? nadhani nitapata machapisho mengi zaidi kuliko haya mliyoyabandika kwenye ubao wa bulogu
nani kaenda kufufua uzi mwaka majuzi jama? Msimkumbushe kamanda bujibuji machungu aliokwisha yasahau. . . .tena nyie hamjui kama bujibuji ni mwepesi sana kulia kama mtoto wa mkulima?