Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

Huo ni ujinga kan ww umeoa kwwa ajil ya mx..... mwingine ama umwkuoabkwa aajili yako
 
Juxt fanya uchunguz wa hal ya juu kabixa ili upate ushahidi kamili ambao utambna kisawasawa
 
kumbe huwa inauma eeh. nyie wanaume mlioko humu mnajua wake zenu wanapata sms ngapi kwenye simu zenu tena za kuumiza na wananyamaza? wanalia wanachoka? mkuki kwa nguruwe. kama wewe unaweza kucheat hata hata nagg h/made au ndg wa mkeo hata yeye ni mwanadamu. vumilieni kama vile ambavyo wake nao huvumilia.
 
ukimfutilia mwanamke kwa kina sana hatoishi na mwanamke kamwe....
 
Huku kwetu wanasema...ukiona manyoya..........

Ila kiukweli hii ishu ya wanandoa ni muhimu kukaanzishwa masomo/kozi maalumu kabla ya ndoa....kwa mwanamke na mwanaume....lengo kubwa liwe ni kuwaandaa kisaikolojia.

Na muhusika anayefungisha ndoa aitishe cheti kuhakiki kwamba mwanandoa amehitimu kozi hiyo.
 
Juxt fanya uchunguz wa hal ya juu kabixa ili upate ushahidi kamili ambao utambna kisawasawa

Hivi hapo kwenye "JUXT" na "KABIXA" kuna haja gani ya kutumia "x" badala ya "s" mbona hakuna ulichofupisha
 
Hivi hapo kwenye "JUXT" na "KABIXA" kuna haja gani ya kutumia "x" badala ya "s" mbona hakuna ulichofupisha

Aisee mimi wananibia ile mbayaaaa.. na nagombana na washikaji kila siku
 
Pole sana ndugu unanikumbusha yaliyonitokea tar 6 mwezi wa kwanza 2012 dada zetu wanatesa nw nikiona mwanaume an a cheat gal wake namfanyia part
 
Baadhi ya W@n@WAk€ mambo yao wanajuaga wenyewe!! Nikupe hongera kwa ujasiri wa kuweka hiyo katika kifua. Mie ningeshamchapa shaba,leo mngesikia kwenye vyombo vya habari. Aloyce Kimaro
 
Ushauri wa bure, ukome kuchokonoa simu ya mkeo!!!! Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla!!!


me sikubaliani na wewe kwa nin nisiangalie cm ya mke wangu? huko ndiko kukuza kusalitiana ndan ya ndoa,ntamchunguza na anichunguze cku nikimbamba namwaga
 
mpaka leo jamaa anaumia tu?

mana naona uzi wa longi kweli!!
 
wanawake sometimes hawajitambui kabisa yaani unaweza kuona mwanamke kaolewa lakini anachat na mtu kwa sms za mahaba na kuitana majina ya ajabu ajabu kama sweety, dear alafu unamuuliza anakujibu nataniana nae kirahisi rahisi tu haoni hata aibu.
 
Back
Top Bottom