Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

Daaaah! Marehemu ana vitu vyangu kabisa kipini puani mixer kujichora mikono na rangi nyeupe peeeeh aiseee. Apumzike kwa amani🙏
 
Dada pichani kwa jina Merry Patrick Daniel, mkaazi wa mtaa kingugi amefariki kwa maradhi na mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke

Hajulikani ndugu yake yeyote wakati wa uhai wake marehemu alidai ametokea mkoa wa Arusha na hana ndugu hapa mjini

Tunaomba tusambaze taarifa hii ktk ma group mbali mbali na media mbali mbali,wapatikane ndugu zake popote walipo

Mawasiliano 0713267121/0789267121
M/kiti wa serikali ya mtaa wa Kingugi.

Au toa taarifa kituo chochote cha polisi.

Taratibu za mazishi zinaendelea kwa kibali cha jeshi la polisi kituo cha kizuiani (Maturubai)

Asante 🙏

Waende kwenye page zake za mitandao ya kijamii.
Watag , comment na kurepost.
Ndugu watajitokeza tu.

Ndugu wana haki ya kumzika mpendwa wao.😢😢😢😢
 
Kuna wale watu utawasikia wakisema SITAKI MAWASILIANO YOYOTE NA NDUGU NIMEWAKATIA LINE. haya ndio yanaweza kuwa matokeo yake.
Labda ni shida kwa walio hai, hata hivyo serikali ni incompetent na wanakosea sana kutangaza kwenye umma. Njia rahisi ilikuwa ni kuweka Sheria tu kwenye ajira na nyumba za kupanga kila mtu ampe muajiri wake au mwenye nyumba taarifa za "next of kin"
 
Ndugu wajitokeze wakalipe bills za hospital, itakua hao marafiki na majirani baada ya kuonyeshwa mkeka wakajitoa kwamba aah hapana huyu mimi sio ndugu yangu ni jirani yangu tu
Ni watu hawajui tu.

Hakuna kitu kirahisi kama kulipa bills za marehemu.
Na huwaga hela inapatikana ,
Hao majiran wangepitisha tu daftar la rambi rambi.

Kuna bodaboda mmalawi alifariki kwa ajali. Kituo cha home. Boda wenzake wakawa wanasimamisha kila gar linalopita. Na daftar lao. Na ikapatikana hela ya kumpeleka Malawi na hiace na akasindikizwa na wenzake.
Sasa sembuse huyu wa Arusha.

Pia hela kama haijatimia. Kuna dawati unaendq kureport na wanasamehe bills zilizobaki na mwili unatolewa ukazikwe.

Kwahiyo ishu sio Bill . Ni ndugu wapatikane wakamzike mpendwa wao kama inavyostahili.
 
Nilipoona Tattoo tu ikabidi nirudi nyuma. RIP in advance mrembo umeumaliza mwendo
Umekumbuka
Linda mgongo sioo 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 hizi mambo sitaki kabisa kusikia kuna demu 2020 alikulaga hela zangu siku nagonga naona hizoomamboo nyuma bkstyle dah kwa juu naona picha ya mwanaume ana rasta aisee amechorwaa yaan nagonga huku jamaa ananiangalia nilipomaliza sijuridia tena na ikawa mwisho na yeye
 
Merry Patrick Daniel, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizopo amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Dar es Salaam, aliwahi kusema akiwa hai kwamba yeye ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo, bado haijafahamika alikuwa akishi au anatokea eneo gani ndani ya Arusha.

Kwa mtu yeyote anayemfahamu Merry Patrick Daniel, hasa ndugu, jamaa au marafiki zake wa Arusha, anaombwa kutoa taarifa ili ndugu zake waweze kupatikana.

Kwa taarifa zaidi: +255 689 848090 Tafadhali sambaza taarifa hii ili kuwasaidia ndugu zake kupatikana.

View attachment 3685725
Hakuwa na simu ? Majirani wa karibu nae wanasemaje hakuwa hata na rafiki ? Alifanya kazi wapi hapo daresalaam
 
Ngoja nishare kwenye page zangu Instagram, nahisi ndugu muda mwingine wanaogopa zile gharama za hospital
 
Back
Top Bottom