DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 560
Na Hao Ndio Hasara Tupuand Others School Go Through Them While They Remain Unschooled Or Screwed!
Ndo maana nimesema Jumatatu jamani....... Nani kawaambia nina urafiki na Pinda? Pia mkumbuke sisi kwa sasa ni political class! In a context pls
..walinzi wa taifa na mipaka yake!
Duh! Mwaka huu mbona tutasikia mengi sana yaani pole pole yanakuja, mkuu Icadon lete dataz mwanangu!
Kuhusiana na kampuni ya MEREMETA, ambayo inahusisha pia kampuni ya Tangold, Waziri Mkuu alisema suala hilo linahusisha ulinzi na usalama na kwamba si jambo la uraiani, hivyo hawezi kulizungumzia.
"Siwezi kulizungumzia, mkiona mnisulubishe kwa hilo sawa," alisema Waziri Mkuu, ambaye katika majibu yake alionekana kujiamini, huku akizungumza kwa lugha ya upole na yenye kueleweka.~Source Majira
Mzee Mkandara... mbona Uranium kuchimbwa kwake siyo siri Tanzania? Mimi najua siri ya Meremeta na ni usalama wa "nani" unaolindwa. Lakini kama alivyosema Zitto... tusubiri wiki ijayo "Jumatatu"... mwiko utavunjwa!!! I can't wait...!!! Go Zitto Go!
Sijamjibia kubwajinga ambae nimemwita kaka K. Nimemwambia asome upya post yako kwani kuna hoja kuhusiana na 'matusi' ya mmoja wetu hapa na kinachofuatia kutoka kwa wana JF.
Naona mkulu ulijaribu kukata makali ya jina, lakini baadaye ukaamua kujimwaga mzimamzima maana akika Kaka K wako wengi..