Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Mwanakijiji,
Pinda hatakiwi kudanganyika, akishadanganywa ni makosa yake kukubali kudanganyika.Ukiwa PM kabla ya kuchukua ushauri wowote unatakiwa uufanyie uchunguzi kwa sababu ukiukubali na kuufanyia kazi una u own, ukiboronga hakuna utetezi katika kusema "nilishauriwa vibaya" kwa sababu wewe ndiye mwenye uamuzi wa mwisho, kukubali ama kukataa, kusuka ama kunyoa.
Let's say for example, when all this stuff was going down, Pinda was a mere backbencher who knew nothing at all about the shenanigans of the higher echelons of CCM, and now he is merely being used as a firefighter, which seems to be part of the defence here. Pinda is still responsible for either knowingly misleading the public or for letting himself being misled.My gues is he is knowingly misleading the public while cultivating an image of a PM who is misled and between the rock and the hard place, the devil and the deep blue sea.he is still very much responsible for uttering these untruths.
Mawaziri wakuu wa Japan wamejiuzulu for lesser transgressions.
Vile vile mkubwa anapopewa ushauri mzuri akaufanyia kazi, sifa huwa haziendi kwa washauri wake.
Sasa mbona tuko rahisi sana kuwasifu wakubwa wakifanya vizuri (hatusemi wamefanikishwa kwa ushauri mzuri tu, na hata tukisema hivyo tutakuwa tunapoint hiyo kama merit kwamba wanajua kuchagua washauri) lakini tuko wagumu sana kukubali kuwa kiongozi akikosea, hata kwa kushauriwa vibaya, makosa na responsibility ya mwisho ni ya kiongozi mwenyewe?
Concept ya "collective responsibility" inataka kila kiongozi akipewa ushauri autafiti, akishaukubali unakuwa ushauri / policy/ stand ya wote (yeye pamoja na washauri wake),tusitake kumpa a free pass eti kwa sababu "kashauriwa vibaya".
Pundit,
Nakubaliana na wewe kabisaa mkuu. Kwa kelele zilivyokuwa nyingi juu ya Meremeta n.k., mtu huwezi kuchukua ushauri mmoja au miwili na kuingia nayo bungeni unless uwe kihiyo. Lakini kwa mwanasheria ambaye sio tu ameshatumikia serikali kwa muda mrefu na kuelewa mapungufu ya watendaji wake, alitakiwa alielewe hilo na kuliepuka. Hapa nina uhakika kabisa ameshafahamu undani wa Meremeta na amekubaliana na wengine kuwa tu atuweke sawa.
Zitto, achana na urafiki wenu na Pinda. Fanya kazi tuliyokutuma wananchi bila kumuonea mtu aibu.