Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Mkuu,
Chochote kile Zitto (Mh.) atakachokisema Jumatatu, chochote kile, ameshatuambia tayari kwamba itakuwa ni kuwa call out wanao mdanganya Pinda. Tatizo sio Pinda, Mbunge anasema. Wengine tunamkosoa kwa kusema tatizo sio Pinda. Hilo halihitaji kusubiri maelezo. Kesha lisema. Wakati wengine - na wewe ukiwemo - tumedhani Pinda kaharibu.
Mwanakijiji hilo umesha likubali, na umeenda kwenye rekodi kwa mara ya kwanza leo kusema Pinda ana mushkeli kwa kutoleta ukweli. Hapa, Zitto (Mh.) kasema tatizo sio Pinda. Kwa hiyo wewe, logically, lazima utafautiane na Zitto (Mh.).
Aidha hivyo, au useme umekurupuka kumshutumu Pinda. Mwombe msamaha Pinda kwa kumfungulia thread ya kumkosoa kwa mara ya kwanza toka achaguliwe. Hii si maoni yangu. Ni masharti ya logic. Aidha Zitto kakosea kumtetea Pinda au wewe umekosea kumkosoa Pinda. Simple mathematics. Chagua sumu yako mtu wangu!
kwako wewe hiyo strategy inaweza kuwa sawa kutokana na forum uliyo kuwa nayo, lakini Zito ana forum kubwa zaidi ya yako, hivyo anaweza kusema issue ya Zimbabwe na kadhalika.Naanza na Tanzania...baada ya kupata uhuru..Then Zimbawe..THEN THE REST OF AFRICA.
Its just the strategic PLAN for the freedom of AFRIKA!
AFRIKA NI THE TAJIRIEST OF ALL THE CONTINENTS!
jamni Jmushi1 Punguza Hasira Kaka Angu.naomba Turudi Kwenye Mada Zitto Kama Anajua Ukweli Atatusaidia Wote Hapa.maana Kila Mtu Kachukizwa Na Kauli Za Pm .hata Baba Yangu Kijijini Anashangaa Ni Nini Kinaendelea Domwewe Mbunge Wa Kigoma Mwenye Kujisifia Kwa Na Akili Nyingi Na Wengine Finyu!
Hii Habari Haina Uhusiano Na Zimbabwe,na Issue Zote Za Ufisadi Wenu Na Kina Sinclair?
hii inaitwa "the fallacy of false dilemma" ambapo mtu anatakiwa achagua pande mbili, hata shilingi haina pande mbili! So, what if Zitto is right and I'm right and you are wrong? What if there are some elements of truths in each one of our positions though may be not the whole truth. Nimeangalia kama Zitto kasema "Tatizo si Pinda" au kasema "Pinda amedanganywa"? Sasa, yawezekana sisi sote tumekosea na Pinda yuko sahihi!
Sidhani kama sisi sote tuko mbali sana from each other tunapotazama majibu ya Pinda leo hii. Je tunajua kuwa Pinda hakudanganywa? Does this remind us of mama Meghji na Ballali? Kama Pinda ametaka apewe information kuhusu Meremeta kutoka kwa watu wanaotakiwa kuwa na habari sahihi kuhusu hiyo Meremeta, na wote waliomletea habari hizo walikuwa na jibu moja kuwa ni za "Usalama wa Taifa".. je Pinda kama Pinda ana uwezo gani ndani ya legal channel to assert to the contrary?
Wakuu wote hapa JF muwe macho, jamaa amechukizwa na haya maneno ambayo nimeyaunga mkono ni maneno ya Nyangumi, sasa naomba watu wenye akili nyingi wajiulize ni kwa nini?
Quote:- Nyangumi
1. Wakati wa uongozi wa jenerali Mbona kuliwahitokea kutunishiana misuli kati ya Mkapa na Mboma katika kipindi ambacho Mboma alikaribia kustaafu.
2. Nyepesi nyepesi zilisema ilikuwa ni mambo ya pesa(labda ndo hiyo Meremeta) ili kumpooza Mboma, vibali vya kuingiza sukari toka nje bila ushuru vilitolewa.
3. Baada ya magazeti kuandika kuhusu utolewaji huo wa vibali na waziri wa fedha(Yona)bila kufuata taratibu wakaona watumie kofia ya jeshi, lakini ukweli ni kuwa matani ya sukari iliyoingizwa yalimnufaisha Mboma, kuanzia ushuru.
Kuhani, je kama Mh. Zitto katika muda wake toka habari hii ifike hapa amefanikiwa kuongea na Mh. Pinda lakini contents za maongezi hataki kuzitoa hapa, ila ameamua kusema tu kuwa 'tatizo siyo pinda,' ila wanaomdanganya.... je hapo Mh. Zitto ana haki ya kusema hivyo?
Wakuu wote hapa JF muwe macho, jamaa amechukizwa na haya maneno ambayo nimeyaunga mkono ni maneno ya Nyangumi, sasa naomba watu wenye akili nyingi wajiulize ni kwa nini?
Quote:- Nyangumi
1. Wakati wa uongozi wa jenerali Mbona kuliwahitokea kutunishiana misuli kati ya Mkapa na Mboma katika kipindi ambacho Mboma alikaribia kustaafu.
2. Nyepesi nyepesi zilisema ilikuwa ni mambo ya pesa(labda ndo hiyo Meremeta) ili kumpooza Mboma, vibali vya kuingiza sukari toka nje bila ushuru vilitolewa.
3. Baada ya magazeti kuandika kuhusu utolewaji huo wa vibali na waziri wa fedha(Yona)bila kufuata taratibu wakaona watumie kofia ya jeshi, lakini ukweli ni kuwa matani ya sukari iliyoingizwa yalimnufaisha Mboma, kuanzia ushuru.
Wakuu naomba kusema pia hapa on Mushi, mimi sielewi vizuri jinsi hapa JF tunavyoweka kipimo cha what is decency na what is not, au what is matusi na what is not, kwa sababu inaonekana kuwa Mushi akishambulia viongozi wa ccm huwa ni sawa sana, lakini akigusa upinzani then inakuwa maneno mengi sana kuwa hafai kabisaa,
Maana Mushi akitukana viongozi wa ccm basi ana speak his mind na ni mpenda haki asiyeyumbishwa na asiyeogopa, lakini akimgusa Zitto, basi awe na heshima I mean tuwe wakweli wakuu tuache unafiki!
Usijitafutie umaarufu kwa kumpinga mtu!
Weka hoja!
WE UNAJIITA MAMA MBONA UNA UCHANGUDOA?
UNAWAFAHAMU VIZURI FREEDOM FIGHTERS?
HATUNA MASLAHI ZAIDI YA ISSUES!
USIJIPENDEKEZE!
UKO WAPI WEWE?
DC?AMA BOSTON?
Wakuu naomba kusema pia hapa on Mushi, mimi sielewi vizuri jinsi hapa JF tunavyoweka kipimo cha what is decency na what is not, au what is matusi na what is not, kwa sababu inaonekana kuwa Mushi akishambulia viongozi wa ccm huwa ni sawa sana, lakini akigusa upinzani then inakuwa maneno mengi sana kuwa hafai kabisaa,
I mean tufike mahali sasa tuache huu unafiki, sikubaliani na Zitto kutukanwa kama ametukanwa na Mushi, lakini sikuabliani na kiongozi yoyote kutukanwa hapa JF, sasa naona kuna katabia ka kuangalia pembeni kwa viongozi fulani na kudai heshima kwa wengine, huo sio ustaarabu kabisa na ni dalili za kutaka kudanganyana hapa na sisi wote hapa ni watu wazima,
Mkuu Zitto, samahani kwamba hatupendi ujinga lakini ni kwa viongozi wote sio sura flani, sasa ishu yako inachukuliwa kama wewe tu as Zitto, naona tayari wanasheria wa JF wameshajitokeza na maneno mazito mazito, lakini wakitukanwa wengine kimyaa hatuwaoni, halafu tunashangaa kwa nini pinda ametoa uamuzi wake huu, ndivyo tulivyo nini? Maana Mushi akitukana viongozi wa ccm basi ana speak his mind na ni mpenda haki asiyeyumbishwa na asiyeogopa, lakini akimgusa Zitto, basi awe na heshima I mean tuwe wakweli wakuu tuache unafiki!
Hii ya Nyangumi inaweza ilikuwepo lakini ninahisi haina uhusiano wa moja kwa moja na Meremeta. Meremeta waliandikishwa na kupewa migodi ya dhahabu. Baadaye wakatangaza kufilisika na Nedbank, ya SA wakalipwa zaidi ya $100 millioni na serikali ya TZ, na mambo yao mengine kuhamishiwa Tangold. $100 ni deal kubwa mno kwa suala la sukari. Labda kilichofanyika ni kuwa labda Gen. Mboma alipewa ka-deal ka sukari pembeni ili anyamaze wakati jeshi lake likitumika kupitishia ma-deals haramu ya kiuhakika.
Huku ni kujipendekeza. Nimeona Zitto akikosolewa lakini matusi sijayaona. Let's stick to the subject.
Huku ni kujipendekeza. Nimeona Zitto akikosolewa lakini matusi sijayaona. Let's stick to the subject.
kujipendekeza Kwa Nani? Kwako Wewe? Au Kwa Zitto? Hebu Fafanua Mkuu Kidogo! Ninakusubiria Exactly Unachosemna Hapa Nini?,
Kwamba Zitto Hajatukanwa Mahali!
Hii Ni Jf Na Ni Kijiwe Chetu Where We Dare To Speak?
Mimi Pia Ni A Natural Born Politician!
Niko Fine Tu.
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!
UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?
ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!
HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!
Kaka K hapana. Kuna hoja kwa FMES! Hebu msome tena ndugu yangu. Nadhani kuna hoja hapa. Au unasemaje?
Mkuu,
Natoa ombi la lazima. Waafrika tulikuwa na njia mbili tu za kumpata kiongozi shupavu. Ama alitia fora kwenye mapambano (mostly vita) au alirithi full stop. Ukiacha Mwalimu, hatuna kiongozi mwingine yeyote aliyefuatia ambaye kwa namna yoyote angestahili kushika hizo nafasi walizoweza kuwa nazo. Huu mtindo wa ku''pick'' bwege from nowhere halafu kuanza kumtafutia sifa ambazo kwa hakika kabisa hana, ndio mwongozo namba moja wa CCM.
Mtu yeyote vile ambaye mpaka dakika hii bado ana ndoto na imani na CCM kama ilivyo hivi sasa kwamba itaweza kufanya tofauti ama anajidanganya au ni moja wao. Wakuu, you cant eat your cake and have it. Kama hukubaliani na watendayo CCM (inspite of mikutano yao hiyo yote ya kisanii, mara Butiama, Bungeni n.k) get out now. Stand up and be counted and I can bet my .s. , you will have a following, me included. Hebu fkiria mtu mzima anapewa mandate na zaidi ya asilimia 80% ya wananchi (ambao obviously wengi wao si wanachama wa CCM) anashindwa kupambana na wanaomkwamisha, inaingia akilini kweli ama ni moja wao. Na hao ambao bado wana imani naye tuwaiteje.
Hizi data ambazo wengine humu tunakuwa kama tunazihodhi tunazipataje kama hatushirikiani nao kwa namna moja ama nyingine. Kwa sababu tunajua wazi kwamba katika prevailing atmosphere these guys (CCM) are acting with impunity. With or without dataz nothing will happen so to hoodwink us even more they will continue to bombard us piecemeal with the so called dataz. Wabunge wengine hivi sasa wanatumiwa kukurupuka na scathing attacks ku preempt malalamiko ya wananchi, beware, kwani hata humu JF wamo.
Idi Amin kila alipotaka kuwashughulikia wapinzani wake ali"invent'' mambo ku"distract" wananchi kama vile kuvamiwa na nchi jirani n.k. Can you imagine hata REDEP inaweza kutumiwa kuisifu ofisi ya raisi na wakati huo huo kuiponda serikali iliyoundwa na raisi huyo huyo. Kuna wengine humu wanatuzuga kwa sababu zao ambazo hata hivyo are bound to fail because you cant do it to all the people all the time. Tanzania ninayoilia haitapatikana ndani ya CCM kama ilivyo. Siku njema wana JF.