Meremeta & TANGOLD Revealed!

Meremeta & TANGOLD Revealed!

Pundit, i beg your pardon. Sio joker...... kuna kitu zaidi ya hapo. Kadanganywa vibaya sana. Bunge, lisiambiwe ni usalama wa Taifa. Kamati ya Rais ya Madini inaambiwa.... usalama gani wa Taifa kwa watu ambao hata hawajala kiapo cha kuficha siri? Usalama gani wa Taifa mbele ya wafanyabiashara wasio wabunge na wengine hawajawahi kuwa katika utumishi wa Umma. Kuna distortions from the government side and from the opposition side. Now the whole truth has to be said. HAKUNA USALAMA WA TAIFA. Nipo Kigoma, narudi huko. Mungu aniweke tu.... Nasema hapa ilki iwe wazi na sina cha kuficha ili niibuke tu Bungeni.

Its not about Pinda, its the nation. Our country!

Pinda kama waziri mkuu, aliteuliwa kwa sababu aliaminika kama ni critical thinker. Si rahisi mtu yeyote kupewa wadhifa mkubwa kama huo wakati ikifahamika kwamba hawezi kuchambua kati ya pumba na mtama. Mimi naomba kupingana na wewe mheshimiwa Zitto kwenye hili kwamba ndugu Pinda anafanya makusudi kupindisha ukweli. Waziri mkuu inampasa awe makini katika lolote analolisema ambalo lina maslahi kwa Raia. Hapa hakuna elements zozote za yeye kudanganywa na yeyote. Amefanya makusudi kupindisha ukweli akitegemea kwamba yeyote atakayem-question ataishia kuvamiwa kikauli na wabunge wanaotetea ufisadi kama yeye anavyoanza kuutetea.

This is the right time to make it certain to him that he cannot continue playing games and being left untouched. It is the right time to stop him...
 
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
BLAIR ALIKUWA KIPENZI..AKAMKUMBATIA BUSH KWA SABABU YA MAKUBALIANO YA IRAQI NA ZIMBABWE!

NA WEWE UMEMKUMBATIA KIKWETE KWASABABU ULIWEKWA KWENYE KAMATI YA MADINI PAMOJA NA IDDI SIMBA AMBAYE ALIKUWA ENGINEER YA UFISADI WA ccm WA EPA kwa kushirikiana na LUKAZA,MALEGESI,NA WENGINEO?
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!

UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?

ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!

HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!
 
Haya ndiyo mambo ya "The president was misled"

...Mara nyingi watu wanaosema "The president was misled" au "the PM was misled" wanakuwa either ni wapambe au watu fulani ambao wako diplomatic to a fault na hawawezi kusema "The president erred" of "The PM erred"

Sasa ikitoka kwa Mpinzani inaweza kumaanisha nini?
 
Kama Madai Yako Ya Kunidhalilisha Kuwa Nina Akili Finyu!
Then Soma Hii Habari Hapo Chini Na Uniambie Umeilewa Vipi Na Ukishindwa Sisemi Kitu Hadi Ukamwite Rafikiyo Fisadi Kikwte!
...jmushi1, sijui hisia zako.... ila katika hili nadhani una over-react.... sidhani kama Mh. Zitto alikusudia kukudhalilisha wewe.... ametoa comment yake kuhusiana na comment uliyoitoa. Please nakuomba punguza jazba na nia ya kuleta personal battles jamvini, not necessary at all. Please - please! Thanks.

SteveD.
 
Wewe Mbunge Wa Kigoma Mwenye Kujisifia Kwa Na Akili Nyingi Na Wengine Finyu!
Hii Habari Haina Uhusiano Na Zimbabwe,na Issue Zote Za Ufisadi Wenu Na Kina Sinclair?

tony Blair Is Pushing Hard For African Debt Relief Agreements In The Run-up To The G8 Summit In Scotland In July. But While Sub-saharan Africa Is The Object Of The West's Charitable Concern, Billions Of Pounds' Worth Of Natural Resources Are Being Removed From It.
A Guardian Investigation Beginning Today Reveals That Instead Of Enriching Often Debt-ridden Countries, Some Big Corporations Are Accused By Campaigners Of Facilitating Corruption And Provoking Instability - So Much So That Organisations Such As Friends Of The Earth Talk Of An "oil Curse".

simon Taylor, Director Of Global Witness, Which Has Been Prominent In Urging Reform, Said: "western Companies And Banks Have Colluded In Stripping Africa's Resources. We Need To Track Revenues From Oil, Mining And Logging Into National Budgets To Make Sure That The Money Isn't Siphoned Off By Corrupt Officials."
 
...jmushi1, sijui hisia zako.... ila katika hili nadhani una over-react.... sidhani kama Mh. Zitto alikusudia kukudhalilisha wewe.... ametoa comment yake kuhusiana na comment uliyoitoa. Please nakuomba punguza jazba na nia ya kuleta personal battles jamvini, not necessary at all. Please - please! Thanks.

SteveD.

Uliza parochial ina maana gani kabla hujasema nina jazba!
nchi imeuzwa acheni upambe wenu!
hakuna cha mbunge wa kigoma wala kikwete,mkapa,rostam whoever!
HAPA NI ISSUES NA HOJAZ NA SI KUITANA MAJINA!
KAANZA YEYE...NA YEYE NDIYE WA KUYAMALIZA!
UPO?
 
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
BLAIR ALIKUWA KIPENZI..AKAMKUMBATIA BUSH KWA SABABU YA MAKUBALIANO YA IRAQI NA ZIMBABWE!

NA WEWE UMEMKUMBATIA KIKWETE KWASABABU ULIWEKWA KWENYE KAMATI YA MADINI PAMOJA NA IDDI SIMBA AMBAYE ALIKUWA ENGINEER YA UFISADI WA ccm WA EPA kwa kushirikiana na LUKAZA,MALEGESI,NA WENGINEO?
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!

UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?

ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!

HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!

ummh Mushi! Zitto tunamheshimu ni MP na anatimiza majukumu yake kwa kiasi kinachoturidhisha, sidhani kama wewe ungepata nafasi hiyo ungefanya anayoyafanya huyu Mheshimiwa. sasa masuala ya kumwita 'pandikizi' unahusika na masuala ya 'Idd simba' maisha yake ya kisiasa hayana 'yapo ukingoni' 'hana uwezo wa kutizama mbele'. Mushi huna ushahidi wa hayo madai yote unayoyatoa zaidi ya kutaka kumvunja moyo ili pengine ashindwe kutekeleza majukumu yake vizuri. I advice you cool down, relax, tuendelee na vita dhidi ya mafisadi na ufisadi. take care man.
 
jmushi,

Kwa nini unaharibu hii forum ? Kwa ni nini unamtukana Zitto mtu ambaye anatupa insight za ndani kabisa . What is wrong with you huwezi kupingana na mtu kwa hoja bila ya kumtukana ?
 
What is your guess?

Hahaha,

Unataka kunifanya Augustino Ramadhani siyo?

OK, wacha niwe Jaji Mkuu.

Probably the diplomatic type, muheshimiwa Zitto ukimfuatilia hapa anaonyesha kuwa mpinzani fulani mwenye core beliefs katika respect for authority.At a time when one may expect prominent opposition leaders to rightfully unleash salacious and even malicious tirades against the president, muheshimiwa Zitto distinguished himself arguably reasonably amicably by cautioning people here to "Respect the presidency if not the president himself". Those were some notable words, especially coming from his side of the power divide. My austere "see good in everybody" default philosophy wants to believe this, and unless a trend is established I will have to defer to this and give muheshimiwa the benefit of the doubt.

Having said that, muheshimiwa Zitto is not outside the domain of all politicians, a lot that is characteristically driven by ambition. Ambition can allow some azzkissin to the extent of excusing an obvious "error" under the guise of "PM kadanganywa"
 
Wewe Mbunge Wa Kigoma Mwenye Kujisifia Kwa Na Akili Nyingi Na Wengine Finyu!
Hii Habari Haina Uhusiano Na Zimbabwe,na Issue Zote Za Ufisadi Wenu Na Kina Sinclair?
jmushi1, narudia kukusihi.... punguza jazba. Please learn to take criticism... siyo kila mtu akikusema kidogo kulingana na kile ulichoandika ndiyo mwisho wa majadiliano. Sasa statement kama hapo juu zinaashiria nini kama siyo ugomvi usio na vichwa wala miguu... kwa kweli ndugu, saa nyingine mimi naona unawapa kazi hata wale wanaokutetea pale unapofungiwa jamvini... please moderate yourself. Huna haja ya kuandika posts mia700 kwa siku kwa ajili ya kujibizana tu na watu...

Hope you understand my point. Thank you.

SteveD
 
Nasasa nafuatilia kwa karibu sana kauli zako bungeni hili nikuonyeshe how i am narrow minded!
Nilipokwambia usiingie kwenye kamati ya madini na mafisadi wa EPA..HUKUSIKIA NA UKAKIUKA MAWAZO YA WANACHADEMA kwa ushikaji wako na Kikwete aliyeamua kujisafisha kwa kutumia imani ya wananchi waliyonayo juu yako.
Sasa umetegwa...Na hamu sana ya kusikia mchango wako bungeni wa ufisadi na ukipigania haki hata mimi nitakuunga mkono!
kwani MAPESA ambaye mlikuwa naye kamatini na mafisadi wa EPA..Alijipindua na kupiga kura ya ndiyo kwenye bajeti ya mafisadi na kutaka kupelekea upotevu mwingine kwa haki ya mtanzania!
NCHI IMEUZWA...SI HURU TENA!
NA KAMA SI HURU...ANZA HAPA...THEN ZIMBABWE!
 
Please learn to take criticism... siyo kila mtu akikusema kidogo kulingana na kile ulichoandika ndiyo mwisho wa majadiliano. Sasa statement kama hapo juu zinaashiria nini kama siyo ugomvi usio na vichwa wala miguu... kwa kweli ndugu, saa nyingine mimi naona unawapa kazi hata wale wanaokutetea pale unapofungiwa jamvini... please moderate yourself. Huna haja ya kuandika posts mia700 kwa siku kwa ajili ya kujibizana tu na watu...

Hope you understand my point. Thank you.

SteveD

Baeleze baeleze, thank you very much. Kama akili ipo au haipo itajidhihirisha soon.
 
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
BLAIR ALIKUWA KIPENZI..AKAMKUMBATIA BUSH KWA SABABU YA MAKUBALIANO YA IRAQI NA ZIMBABWE!

NA WEWE UMEMKUMBATIA KIKWETE KWASABABU ULIWEKWA KWENYE KAMATI YA MADINI PAMOJA NA IDDI SIMBA AMBAYE ALIKUWA ENGINEER YA UFISADI WA ccm WA EPA kwa kushirikiana na LUKAZA,MALEGESI,NA WENGINEO?
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!

UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?

ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!

HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!

Bwana mdogo Mushi licha ya kuropokwa kwake kwingi, lakini mara nyingi anagusia mambo ambayo tunayapuuzia na kukutana nayo hapo baadaye. Nafikiri hapa kuna ya kukariri na kuchunguza.
 
Pundit ,

I couldn't agree with you more ! Mheshimiwa Zitto is too loyal to the president . Nakumbuka tulifanya naye Mkutano hapa Houston na nilishangaa sana pale aliposema ya kuwa yeye akubaliani na kitendo cha kumfungulia mashitaka Rais mstaafu ...kwani ana siri nyingi sana za taifa .

Statement ile iliniumiza kichwa kidogo kwani sikutegemea statement kama hiyo toka kwa mbunge wa upinzani lakini zaidi maovu yaliyofanywa na mkapa.
 
Sitaki wanipigie. Strategic off air
DODOMMA kesho

Hii ni kauli ninayoichukulia maanani sana...Hivyo basi kweli nakuomba usipokee simu na PIA UZIMA NI MUHIMU!
NA URUDI KWA WAZALENDO KAMA WALIVYOFANYA WENGINE!
 
Uliza parochial ina maana gani kabla hujasema nina jazba!
nchi imeuzwa acheni upambe wenu!
hakuna cha mbunge wa kigoma wala kikwete,mkapa,rostam whoever!
HAPA NI ISSUES NA HOJAZ NA SI KUITANA MAJINA!
KAANZA YEYE...NA YEYE NDIYE WA KUYAMALIZA!
UPO?

...kaka, mjomba, baba, sina haja ya kujibizana na wewe. nilitaka tu kukuomba upunguze jazba, maana ndiyo ilikuwa tafsiri yangu ya yale uliyoandika dhidi ya yale Mh. Zitto aliyoandika. naishia hapa. uwe na siku njema.

SteveD.
 
Bwana mdogo Mushi licha ya kuropokwa kwake kwingi, lakini mara nyingi anagusia mambo ambayo tunayapuuzia na kukutana nayo hapo baadaye. Nafikiri hapa kuna ya kukariri na kuchunguza.

Kubwajinga ,

Mimi sikatai tunaweza kupingana kwa hoja lakini sio kwa matusi ! Manataka watu ambao wanatupa detail za vikao vya ndani wasije hapa then hii forum itakuwa ya aina gani ? Jamani siku zote kama tunataka mabadiliko ya kweli basi tunahitaji watu walioko katika system kama Mheshimiwa Zitto ..

Mimi hata siku moja sitaweza kuvumilia huu ujinga , hii forum imejijengea sifa kutokana na watu kuheshimiana lakini zaidi watu kupingana kwa hoja na sio matusi....
 
Back
Top Bottom