Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

Character, attitude, Chemistry, alignment.
Character: The moral core, honesty, and ethics of an individual.

Attitude: The mindset, resilience, and daily energy brought to the table.

Chemistry: The relational spark, ease of communication, and mutual trust.

Alignment: The shared vision, goals, and strategic direction.💪🏿✍🏿✍🏿
 
Nimetoka mazoezini ngoja leo nipumzike nyeto.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa pisi hizi anaweka mshana unaweza ukamaliza kila kitu kwa njozi. Mwanamke shape aisee.

Yaani uwe na mke hata vibastola vya kushikia wakati wa mizagamuano hana, Hapana, mwanamke shape mazee
 
Mimi ni GENERATION Y.Fala wewe.
 
Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu

Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.

"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Vyote.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwa pisi hizi anaweka mshana unaweza ukamaliza kila kitu kwa njozi. Mwanamke shape aisee.

Yaani uwe na mke hata vibastola vya kushikia wakati wa mizagamuano hana, Hapana, mwanamke shape mazee
😀
ec9c43bc-db5d-4aa4-a854-257d7dfa9550.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom