Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

The sequence of virginity and marriage
1. Hitaji la asili lilikuwa virgin
2. Hitaji lililofuata likawa si bikira bali awe hana mtoto
3. Ikafuatia mtoto sio tatizo je afya iko sawa?
4. Sasa hivi yote hayo sio kipaumbele je ana kazi?
Mambo ni mengi, muda ni mchache!
 
Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu

Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.

"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Dah...... kihisabati Shape ni inversely proportion to tabia.... yaani ukipewa shape unanyimwa tabia na kinyume chake
 
Kwa mtazamo wangu naoa mwanamke si tabia, wala shape, mengine ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.
 
Dah...... kihisabati Shape ni inversely proportion to tabia.... yaani ukipewa shape unanyimwa tabia na kinyume chake
IMG-20260603-WA0033.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom