Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,820
- 113,384
Shepu yenye tabia kwa mbaali
Haya bwana uncle mshana😅
Kuna siku nilikuulizia mkuu, pole sana kwa kupambania kombe.nipo mwanawane...nimerudi hewani maana nilikuwa napambania uhai wangu. sasa afya imeimarika kabisa
Nipo nyuma yako.Nimeipenda hii
Alooooo, Hii ndio mbuzi kagoma kwenda au popo kanyea mbingu?? 😍😍😍😍😍Mwamba ulipotelea wapi mwanawaneee View attachment 3602542
Hapo ngoma ngumushapeless na zero brain sijui itakuwaje!
Tabia mkuuMvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu
Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.
"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Mshana taratibu, team chaputa unawapa sababu ya kukesha hapa jamvini
Pole sana mkuunipo mwanawane...nimerudi hewani maana nilikuwa napambania uhai wangu. sasa afya imeimarika kabisa
Ndo maana matajiri na watu maarufu wameoa wake wa kawaida sanaMvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu
Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.
"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
Nimetoka mazoezini ngoja leo nipumzike nyeto.Mshana taratibu, team chaputa unawapa sababu ya kukesha hapa jamvini
HaaaaaaaaaahHawataki kabisa ma gold digger
Mbona hujazungumzia sura?
Mimi nilioa flat ila ana sura nzuri sana.
Ila nashangaa baada ya watoto wawili amepata shepu ushwara! Sijui ni kunenepa au nini