bikira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

    Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki. "Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Be The First To Know: Habari Njema Toka Vatican, Litania ya Bikira Maria: Imeongezwa Vifungu Vitatu vya : Huruma! Matumaini na Faraja!.

    Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote za Katoliki kwa mwezi mzima wa May na October, imeongezwa vifungu vipya vitatu vya Huruma! Matumaini...
  3. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

    WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA). Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mabroo tunaposema muoe bikira mjue tunawatakia mema. Eti ana degree tutasaidiana maisha, sawa mwanetu
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

    Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake? Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu? Ebu tuweni na...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  7. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Wanawake karibia 90% waliozaliwa 2000s wametolewa bikira na walimu

    Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti wanapoteza ubingwa wa makombe yote mawili hata kabla ligi haijaanza. Sasa basi katika tafiti zangu...
  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimeachana na mchumba niliyedumu naye kwa miaka 5 kisa hana Bikra

    Sidhani kama mimi ni mzembe ila pengine nimekuwa mwema sana kwenye dunia iliyojaa hayawani. Iko hivi, miaka mitano iliyopita nilimtongoza binti mmoja aliyekuwa anavutia kwa macho ya wengi hasa kwenye maadili, alivyokuwa anaishi na watu plus kujituma kwake ukichanganya na heshima mno basi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini hekima za kale pia hata maandiko zilisisitiza ndoa za wanawake bikira

    Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati lililojificha katika tendo la ndoa na nguvu ya kwanza ya muungano. Katika ulimwengu wa kiroho, mwili wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania agano la kale ndio lina sheria ya fungu la kumi leo hii makanisa yanalidai, ila pia limekataza kitimoto,bikira tu ndie aolewe, why makanisa hayafati?

    habari wadau. naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu. ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  14. Skull dance

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake

    Habari zenu wakuu, Leo nataka tujifunze yaliyotokea wakati wa kuzaliwa kwa Bikira Maria pamoja na malezi yake hadi pale alipotokewa na malaika na kujulishwa kuhusu kumzaa Yesu. SURA YA 1 1 Uzazi wa Mariamu 7 Yoakimu baba yake na Ana mama yake wanakwenda Yerusalemu kwenye sikukuu ya kuweka wakfu...
  15. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Ukikuta Mwanamke hana Bikira huyo sio mke wako

    Hii imekaaje wakuu, mbona km tumeoa wake za watu?
  16. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke bikira hakuwezi kuifanya ndoa yako kuwa bora

    Kuna wanaume wajinga wajinga hivi wenye akili za kitoto kila uchwao hubweka... "usioe mwanamke asiye bikira." Kiuhalisia hao jamaa hawajui maana ya ndoa ni nini. Wapo walioa mabikira kwa kudhani kuwa ndoa zitadumu kumbe sivyo hivyo. Waliachana na hao mabikira zao. Wapo wanaojua nini maana ya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

    Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa...
  18. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Rose Shaboka: Niliolewa nikiwa bikira

    Maneno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema.... "Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu". Wana familia wa New day tujuane hapa.
  19. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

    Habarini Wakuu Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo. Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii...
Back
Top Bottom