Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania
Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo
Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake

KWA TAARIFA YAKO HUYO MZEE AKIDHURIKA kuna watu WATADHURIKA NDANI YA NUSU SAA TU ! DAWA YA MOTO NI MOTO !
Sethi ni Mzaliwa wa Iringa, sio mgeni wa Nchi hii!
Acha ubaguzi wa rangi, dunia sasa ni kijiji, ndio maana hata Marekani rais wake ni mweusi.
ya mzee mtei yamekujaje kuunganishwa na mengi kwa nini hukuleta uzi kusema ya mtei.
wafanya biashara wote kote duniani wana matatizo yao na maadui wao wa kibiashara ali wewe umemuona mengi na mtei
ben wewe ni mjinga sana kwa ishu ya ukabila umekuzidi kimo
anaota kuwa dangote wa mafuta wa bongo hafahamu nigeria kuna dangote 10 , masikini million 100, delta force million 10 na boko haram million 10
yeye anachojali awe dangote wetu tu.
Humkuti kutetea tpdc kutuwakilisha na husikii kuichagiza serikali shirika hilo lipewe nyenzo ili lituwakilishe vizuri kwa manufaa yetu sote....anachojali petro dolla tu
ya mzee mtei yamekujaje kuunganishwa na mengi kwa nini hukuleta uzi kusema ya mtei.
wafanya biashara wote kote duniani wana matatizo yao na maadui wao wa kibiashara ali wewe umemuona mengi na mtei
ben wewe ni mjinga sana kwa ishu ya ukabila umekuzidi kimo
hata dk slaa aliwahi sema kuwa tatizo la huyu kijana ni ukabila na ndio sababu hupewi uongozi wowote ndani ya cdm
haijawahi kuja ishu ya mtu yeyote kuhusu mchaga yeyote usiseme na kutoa povu
mengi huwa anasema hivyo kushtua umma na vyombo vya usalama vikimhoji huwa anasema anaona ona tu
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Nani kamtishia ? Una uhakika katishiwa? Huyo mzee sasa anazeeka vibaya, hii mbinu yake ya Miaka nenda Lundi ya kusaka Huruma za Watanzania kwa Ugonvi wake na kwa masilahi yake Binafsi kisha kusingizia anatishiwa maisha watu wamechoka nayo.
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?
mashirika mengi makubwa ya utafutaji na uchimbaji mafuta ni ya serikali lakini mengi anapotaka serikali isijihusishe na badal yake kazi hiyo waachie wao ndipo watu wanapopata shaka juu ya nia ya mzee huyu coz' tukubali au tusikubali akina mengi hawana mtaji wa kutosha wala teknolojia ya kuendeshea shughuli hizi. Kwa mijubu wa forbe, utajiri wa mengi upo around $ 550 million katika mazingira kama hayo kuitaka serikali isijihusishe na suala la uchimbaji na utafutaji wa mafuta ni kutaka kuwafanya akina mengi wawe wamiliki wa 20% ya kampuni za mafuta huku 80% ikimilikiwa na wageni hao hao ambao akina mengi wanataka kutuaminisha wakiachiwa wao basi uchumi wa mafuta utakuwa mikononi mwa wazawa!!!
Let's call a spade a spade, mengi na wenzako hawana uwezo huo na wakiachiwa watabaki tu kumiliki sehemu ndogo ya hisa huku asilimia kubwa ikimilikwa na wageni. Anayefahamu biashara za wazawa wa nchi hii wanajua wazi kwamba nyingi ya biashara zinazoitwa za wazawa major shareholders ni wageni... Mengi angekuwa ni kweli mzalendo anayetetea maslahi ya wengi asingepinga suala la tpdc kuplay roles kama ambazo zinakuwa played na taasisi kv petrobras and th lik! Ningemuona mzalendo wa kweli endapo angeshauri nini kifanyike ili tpdc ifanye kazi zake kwa maslahi ya watanzania na nini kifanyike kuepusha ufisadi wa kutisha ambao unainyemelea nchi hii pindi uzalishaji utakapoanza!
Sure mkuu mengi ni mnafiki sana anataka upendeleo kwenye vitaru vya gesi halafu anajificha kwenye mgongo wa uzalendo eti ahurumiwe,inakuwaje mengi yeye ndiye mpiga majungu namba one eti leo atishwe huyu mzee fisadi sana hata afanye nini.
Duuh wewe una PhD ya chiki weka basi ushahidi utushawishi sio mboyoyo nyingi Acha chili ndugu
Chanzo:raiamwema
My take