Mengi: Natishwa

Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?

kwani uongo? wangekuwa na uwezo si wangechukua form wagombee na wawekezaji wengine wenye uwezo? we unachuliaje Mengi kudai wapewe vitalu on our behalf?
 
Mbowe anataka kutudalalia hata sisi watanzania wenzie kwenye gas?

Huyu Mchaga katili sana!


Sijuwi kama unaelewa unajadili kitugani katika mada hii.

Nikukumbushe title ya mada inasema:- Mengi: Natishwa
 
Huyu ni mwizi na bila shaka amedhulumu mtu ndio anatishiwa maisha. Wamuue tu mpuuzi huyu
 
kwani uongo? wangekuwa na uwezo si wangechukua form wagombee na wawekezaji wengine wenye uwezo? we unachuliaje Mengi kudai wapewe vitalu on our behalf?

Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?
 
Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?

wapi duniani ulishaona mafuta na gesi yametafutwa na kampuni za wazawa? Duniani kote mafuta yanatafutwa na kuchimbwa na makampuni makubwa yenye mitaji na technolojia, Mengi anachotaka ni kuwa badala ya kuwapa vutalu hawa wenye uwezo tumpe yeye halafu yeye ndo atafute wawekezaji kama alivyofanya kule handeni kwenye migodi
 
Iringa kwetu hakuna waarabu mbaya zaidi wezi. Hakuna nabisha, Lukuvi mwenyewe na wasiwasi nae kama ni mzawa wa huko kwetu.

Funguka akili wewe, singasinga anakuwaje mwarabu! acha kufuata mkumbo dogo.
 
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Apewe ulinzi kama nani?

Kama ni kwa sababu ya utajiri wake basi aajiri walinzi wake mwenyewe, nadhani hata DIAMOND anaajiri walinzi mwenyewe.

Jamii ya Kitanzania ina tabia ya kujijengea matabaka ya watu wenye thamani kuliko wengine.

Anatishwa, anatishwa kwa lipi, mbona hasemi?
 
Anatishwa na watu alio watapeli huyo ndo fisadi namba moja mbona nyie wanahisa wa ile kampuni ya NIKO hamsemi? si mnajua hiyo pesa alikula huyu mzee au?
 
Inawezekana kweli maisha yake yapo hatarini, Jamaa amewatapeli watu ardhi zao unategemea nini? Mengi ni mwizi, tapeli na fisadi. yule yumo katika kashfa ya "looting" kule arusha yeye na mdogo wake.
Duuh wewe una PhD ya chiki weka basi ushahidi utushawishi sio mboyoyo nyingi Acha chili ndugu
 
Mzee Mengi atawadanganya wengine au labda wale wenye interest nae! Natamani kuelezea mlolongo wa unafiki wa Mzee Mengi lakini sina budi na hapa nitaeleza mambo mawili tu:
  • Juzi juzi tu hapa, akalalamika dunia mzima ikamsikia kwamba Mzee Mengi anapigani haki ya wananchi kupata habari! Hili lilitokea pale TCRA lilipoamua kuzima mitambo ya analogue Dar es salaam! Mzee Mengi akasimama kidete kupinga huku akijifanya kuwatetea wananchi wasio na uwezo wa kununua ving'amuzi kwamba watanyimwa uhuru wa kupata habari! Baada ya ving'amuzi vya Digtek kuingia sokoni, Mzee Mengi kimyaaaaaa.... hatusikii tena akiwapigania wananchi wasio na uwezo wa kununua ving'amuzi! Wenye akili zao ndipo wakaja kugundua kwamba eh; kumbe kelele zote zile ni kwavile alifahamu mitambo ya analogue ikizimwa wakati ving'amuzi vyake havijaingia sokoni, people will have no way out but to turn to Star Time to the point, hadi ving'amuzi vyake vinaingia sokoni, kila mmoja atakuwa ameshabeba cha Star Time na vyake kumdodea!


  • Hata baada ya ving'amuzi vyake kuingia sokoni, akaindoa ITV na Channel 5 kutoka Star Times kinyume na sheria za TCRA! Alifanya hayo ili kuwataka watu wanunue ving'amuzi vyake kwavile anafahamu Watanzania wengi ITV ni moja ya vituo vyao muhimu! Thanks kwa ujasiri wa Profesa Mkoma, Mengi akapigwa biti na hakuwa na namna zaidi ya kuirudisha ITV Star Times.


  • Several years ago, ten years or so Mengi huyu huyu aliingia kwenye malumbano na mawaziri wa serikali ya Mkapa kwa kile alichoita kubaniwa kuinunua Kilimanjaro Hotel. Akapiga kelel, akalia na kila mtu akaona wale mawaziri hawawathamini wawekezaji wazawa!Miaka takribani kumi imepita na sijasikia kwamba Mzee Mengi amejenga hotel mahali fulani. Sasa hapo mtu unajiuliza, kwamba huyu mzee aliitaka Kilimajaro Hotel ili awekeze kwenye hospitality industry au aliitaka kwavile alifahamu kwamba ipo prime location na angekuja kuipiga bei kwa pesa maradufu ya ile aiyonunulia!!!

Katika post ndefu za kipumbavu kuwahi kutokea hapa JF hii ni namba moja... ---- ---- ----
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini kauli hii ya mzee Mengi kama ni kweli

kuwa kwako wa mwisho hakuleti tofauti yoyote, mzee wetu (sijakuhusisha, nishajua mlengo wako) katishwa. na si mara ya kwanza serikali kutisha watu wanaojaribu kuwa huru katika misimamo na mitazamo
 
Harbinder ni mtanzania mwenzetu bana embu tizama mahojiano yake na huyu mwandishi wa habari.................................................................Mwandishi: Kama unaona umeonewa na
Bunge, je, unakusudia kuchukua hatua
zozote za kisheria?
Sethi: Kwa sasa siwezi kuchukua
hatua zozote kwa sababu suala hili
kwanza bado lipo mahakamani,
tunasubiri uamuzi wa mahakama. Mimi
naheshimu mahakama ya kila nchi na
Tanzania zaidi kwa sababu hii ni
nchi yangu.
 
Mengi is an attention seeker angelikuwa anatishiwa tusingelikuwa tunapishana nae mjini free kabisa bila ya hata body guard? Angelikuwa anahofia maisha yake tusingelikuwa tunapigana vikumbo katika kumbi za starehe tuache hizi dirty politics jamani kama anatishwa aombe ulinzi wa serikali tutamwelewa he is serious.
Mzee Mgimwa hakuwahi kusema!!!
 
Tofauti na watu wanao ongea tu bila kujuwa wanacho ongea me mengi akidhuriwa na pesa yangu yote inatosha kulipa watu 50,000 ninauhakika kwa kiasi nitakacho walipa itakuwa historia ya miaka hamsini!!!
 
wapi duniani ulishaona mafuta na gesi yametafutwa na kampuni za wazawa? Duniani kote mafuta yanatafutwa na kuchimbwa na makampuni makubwa yenye mitaji na technolojia, Mengi anachotaka ni kuwa badala ya kuwapa vutalu hawa wenye uwezo tumpe yeye halafu yeye ndo atafute wawekezaji kama alivyofanya kule handeni kwenye migodi
Una maana hawa wawekezaji wenye makapuni hewa!
 
Back
Top Bottom