Mengi: Natishwa

Mengi: Natishwa

Huyu mengi anaosema anatishiwa mbona yeye hasemi anatunyanyasa sisi na ardhi zetu huko tanga. namtafutia siku yake nimuanike watazania nao wamjue tabia .tapeli mkubwa huyo mzee. Hata wamuuwe wakiweza.

huyu mzee alichukua mke wa jamaa yangu sinae hamu. alikuwa west africa kikazi aliporudi akakuta kawekwa kimada na hiki kibabu.
 
Huyu mzee ni tapeli sana. Anapenda sana kudhulumu wafanyakazi wake. Kuna jamaa yangu alifanya kazi kwake akalazimika kuacha kwa sababu ya utapeli wa huyu mzee, na mpaka leo hajamlipa hela zake. Hana uadilifu wa kusimama mahali na kujitambulisha kama mtu mzuri. Bahati yake ni kwamba ana vyombo vya habari vinavyomlinda. lakini ni tapeli kama walivyo matapeli wengine wa mjini.
 
Ha ha ha kweli kwenye mafanikio hapakosi adui
Inaonyesha kama kuna watu wametumwa hapa kuja kumchafua huyu mzee..
 
Huyu Mzee ni mmoja wa walioifilisi benki ya NBC miaka ile kwa kuchukua mikopo bila kurudisha ikiwemo Import Support. Ni mtu anayependa kukimbilia kweny public ili imsupport kwa kutumia uzawa nk. Ni hatari sana huyu mzee, akigombana na mtu anakimbilia kwa umma umuonee huruma wampatie public sympathy. Mfano ugomv wake na DTV, Manji, Masilingi, na wengine wengi tu.
 
yesu atakulinda mzee .wenye wivu wwa mafanikio wameshndwa hao wanajiuzuru
 
Back
Top Bottom