jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,012
Kweli? Kwahiyo familia ya Sethi kwa sasa inaishi wapi?
sethi ni mkazi wa south africa (legal residence), ingawa ni kweli alizaliwa Iringa, na baadae akahamia kenya.
Kweli? Kwahiyo familia ya Sethi kwa sasa inaishi wapi?
Tupo tuna mlinda hakuna wakumgusa nadhani.wanajuwa tutatumia Mitaji yetu kuwa adabisha hawatasahu milele ole wa adhania anaweza cheza na mzee wetu mengi patanuka
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Ntakuwa wa mwisho kuamini kauli hii ya mzee Mengi kama ni kweli
Kweli? Kwahiyo familia ya Sethi kwa sasa inaishi wapi?
Utaaminije, wewe si ndiye umemtishia.Mafisadi bwana,akilli zenu ziko visogoni.Damu na nyama za watu mlizokula sasa zinawachetua.
Mengi is an attention seeker angelikuwa anatishiwa tusingelikuwa tunapishana nae mjini free kabisa bila ya hata body guard? Angelikuwa anahofia maisha yake tusingelikuwa tunapigana vikumbo katika kumbi za starehe tuache hizi dirty politics jamani kama anatishwa aombe ulinzi wa serikali tutamwelewa he is serious.
Taifa lililojaa vipofu,hawaoni,hawapendi wakwao wanaishia kuandika chuki zisizo na sababu.Kwani Mengi ni wakwanza kutishwa au kudhuriwa?,tumesahau ya Mkono na wengine wengi.Tunajitia upofu,kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania.
....dunia sasa ni kijiji...
ndio maana hata Marekani rais wake ni mweusi
Kwa hiyo wewe una akili kuliko Mengi,nenda kakojoe ulaleMengi anaponzwa na tamaa zake na ubinafsi uliopitiliza.
Anataka watanzania tuumuunge mkono kila akiwa na ugomvi wake binafsi.
Suala la vitalu vya gesi Prof. Muhongo alishalitolea ufafanuzi wa kina kabisa, kuwa hakuna Mtanzania aliyenyimwa kumiliki vitalu, ila wafuate utaratibu wa kununua hisa TPDC.
Mengi ni mnafiki sana!
.........kwahiyo!!Inawezekana kweli maisha yake yapo hatarini, Jamaa amewatapeli watu ardhi zao unategemea nini? Mengi ni mwizi, tapeli na fisadi. yule yumo katika kashfa ya "looting" kule arusha yeye na mdogo wake.
Ni mpumbavu pekee ndie anaweza kusoma post ndefu wakati anafahamu ni post ya kipumbavu... karibu mpumbavu!Katika post ndefu za kipumbavu kuwahi kutokea hapa JF hii ni namba moja... ---- ---- ----
Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania
Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo
Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake
Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?
Mengi analeta Siasa za Maji Taka, anasaka Huruma za Wananchi kwa staili ile ile ya Zamani, hajui kuwa Wananchi wa sasa ni wajanja hawadanganyiki, Mengi bado ana Ndoto ya kuwa mgombea Binafsi hivyo anajifanyia promo.
Mashirika mengi makubwa ya utafutaji na uchimbaji mafuta ni ya serikali lakini Mengi anapotaka serikali isijihusishe na badal yake kazi hiyo waachie wao ndipo watu wanapopata shaka juu ya nia ya mzee huyu coz' tukubali au tusikubali akina Mengi hawana mtaji wa kutosha wala teknolojia ya kuendeshea shughuli hizi. Kwa mijubu wa Forbe, utajiri wa Mengi upo around $ 550 million katika mazingira kama hayo kuitaka serikali isijihusishe na suala la uchimbaji na utafutaji wa mafuta ni kutaka kuwafanya akina Mengi wawe wamiliki wa 20% ya kampuni za mafuta huku 80% ikimilikiwa na wageni hao hao ambao akina Mengi wanataka kutuaminisha wakiachiwa wao basi uchumi wa mafuta utakuwa mikononi mwa wazawa!!!Uliona wapi serikali yenye akili duniani ikifanya hivyo kwa wawekezaji wazawa kwenye mhimili muhimu wa uchumi wa nchi?