Mengi: Natishwa

Mengi: Natishwa

Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania

Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo

Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake

​Hujui usemalo ww kijana acha kutumika
 
Hapa katumia akili ya kawaida sana anajua ikiandikwa na magazeti yake italeta picha fulani kwahiyo yeye alichofanya kawapa hela Rai mwema waandike,

ujue akili ya mengi ndogo sana anacheza na akili ya watanzania tu kwa wale tunaomjua tunampuuza tu fisadi huyu.

Mkuu hapa jf kuna watu wanauwezo wakujua mambo ya ukweli na wasomi na kuna watu wapuuzi hawana kazi wapo hapa kupotosha watu..Huyu bwana Mengi ni muhuni mwizi anatumia vyombo vyake kupotosha habari...Jana mwisho bado anaongelea saga la escrow kwanini na bunge limeshamaliza kazi yake..Hakuna mtu anomtishia huyu kilaza wachaga ni majambazi
 
Ukiulizwa wewe na Mengi nani kilaza utajibu nini labda mkuu?? Akafu wachaga wanaingiaje hapa??
 
Unaweza kuwa na hela nabado ukawa kilaza tu

Nimeongelea wewe na Mengi sijaongelea pesa hapa. Au unafikiri ile degree ya Scotland alibahatisha?? First Tanzanian to have a CPA unadhani ni kwa bahati?? Unapojaribu kujenga hoja kuwa reasonable na usimtusi mtu, toa facts utudhibitishie Mengi ni mtu mbaya kuliko hao mafisadi wa escrow, epa, Richmond.

Pia, jitahidi kuepusha ukabila, wachaga majambazi sijui inaingiaje kwenye huu uzi
 
Mengi kaka yangu nakushangaa sana unavyowahi kusema kuwa "Unatishwa"
Kama ingekuwa ni kweli mara zote nne, ungetishwa tu? Si wangeshatekeleza vitisho vyao?

Tatizo lako kubwa litakuwa ufahamu, yaani uwezo mdogo wakupambanua mambo, nafikiri nikutokana na aina ya elimu na maisha, Hebu chukua mdawako kufikiri Zaidi, angalia kwanini Kuna vita baridi. Kwanini mahakamani kunavita ya maneno na vielelezo, angalia nguvu ya utafiti na matangazo, angalia kwanini Kuna kampeni, na kwa nini Kuna ma waidha na mafunzo, mafundisho.
 
Mkuu hapa jf kuna watu wanauwezo wakujua mambo ya ukweli na wasomi na kuna watu wapuuzi hawana kazi wapo hapa kupotosha watu..Huyu bwana Mengi ni muhuni mwizi anatumia vyombo vyake kupotosha habari...Jana mwisho bado anaongelea saga la escrow kwanini na bunge limeshamaliza kazi yake..Hakuna mtu anomtishia huyu kilaza wachaga ni majambazi
Fikiri zaidi, Bunge limepeleka kwa Raisi na bado jambo hili linataka msukumo wa wananch hasa baada ya wawakilishi wao kusema tatizo lipo. Hii nchi ni ya wananchi na ndo wenye jukumu la mwisho kikatiba. Kama wewe umechoka, just let other work.
 
Chanzo:raiamwema

My take
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.

Serikali impe ulinzi mzee wetu.

Waziri kijana anaitwa Adam Kighoma Malima alimtishia maisha kwa kujipa air time kubwa kwa tv yake kuliko Rais
 
Chanzo:raiamwema

My take
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.

Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Huyu mengi anaosema anatishiwa mbona yeye hasemi anatunyanyasa sisi na ardhi zetu huko tanga. namtafutia siku yake nimuanike watazania nao wamjue tabia .tapeli mkubwa huyo mzee. Hata wamuuwe wakiweza.
 
Fikiri zaidi, Bunge limepeleka kwa Raisi na bado jambo hili linataka msukumo wa wananch hasa baada ya wawakilishi wao kusema tatizo lipo. Hii nchi ni ya wananchi na ndo wenye jukumu la mwisho kikatiba. Kama wewe umechoka, just let other work.

Thinktz, uko sahihi sana, unajua kuna mijitu inayatetea mafisadi utafikiri imepewa milioni, kumbe vibuku saba tu. Nakuunga mkono kama unaona umechoka kutetea nchi kaa kimya,kwani unadhani bila kumpgia kelele huyu kilaza alieko ikulu anaweza fanya lolote. Ilitakiwa sasa hivi awe ameshawaweka wezi wetu wote pembeni kwa ajili ya uchunguzi wa kina anaodai anaufanya, lakini taarabu za bagamoyo tu mpaka sasa. Mijitu mingine bana bogus kabisa.
 
Watuachie mzee na Mwenyekiti wetu Dr. Reginald Mengi ndiye pekee mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii. Ni mzalendo kamili.
 
Apewe ulinzi kama nani?

Kama ni kwa sababu ya utajiri wake basi aajili walinzi wake mwenyewe, nadhani hata DIAMOND anaajili walinzi mwenyewe.

Jamii ya Kitanzania ina tabia ya kujijengea matabaka ya watu wenye thamani kuliko wengine.

Anatishwa, anatishwa kwa lipi, mbona hasemi?
Exactly mkuu mbona Baaresa hatumsikii akilalama hovyo kama huyu mheshimiwa?
 
382_mengi.jpg

Yaani hapa ndio ANA'PINDA'? MBONA HAJATOA HANDKERCHIEF?

Mzee na tamaa kawaonga Pac sasa anadai anatishwa,si atumie m.j.ni yake yamlinde
 
Sitaki hata niseme sana nimewahi kuishi dar nakufanya kazi kwenye taasisi za huyu mzee mengi jamani huyu mzee mwizi na mtesaji wa wanyonge pia ni fisadi sema hamjapata fulsa ya kumjua huyu siyo wa kutetea hafai kanisani wala msikitini.

kwa sababu wewe ni mvivu, muda wote upo jf kupiga udaku!
 
Back
Top Bottom