King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Unamsikiliza muongo? Mtu yuko kwenye forbes list halafu unamkashifu kwamba he cant afford kumiliki kitalu cha gesi? Watanzania wangapi wanamiliki migodi mererani na wana mtaji kiasi gani?
Mengi anaponzwa na tamaa zake na ubinafsi uliopitiliza.
Anataka watanzania tuumuunge mkono kila akiwa na ugomvi wake binafsi.
Suala la vitalu vya gesi Prof. Muhongo alishalitolea ufafanuzi wa kina kabisa, kuwa hakuna Mtanzania aliyenyimwa kumiliki vitalu, ila wafuate utaratibu wa kununua hisa TPDC.
Mengi ni mnafiki sana!