Mengi: Natishwa

Mengi: Natishwa

Ni kweli kabsa huyo singasinga ni Mtanzania harisi alizaliwa iringa na kukulia hapo kabla ya kwenda kenya na South Africa.

Huko kenya alifunga mabenki na group lake la G7,ndo alikua frontmen wa Moi..south kaiba sana kwenye estates na baadae state kabla ya kurudi Bongo shamba la bibi. We need to do homework before inviting these indians kwenye kila wizi wanahusika.
 
Siku zote kuna vita kwa ajili ya mali na madaraka. Hali inakuwa mbaya zaidi pale wanasiasa wanapokuwa vibaraka wa wageni, mapambano dhidi ya matajiri wenyeji huibuka.
Hata hivyo, vitisho vinaonyesha woga wa upande vinapotoka, pia matajiri wazawa wanao uwezo siyo tu wa kujilinda kwa kiasi kikubwa bali pia kuwashughulikia maadui zao!
Ni rahisi sana kwa matajiri wazawa kuwatumia raia wenzao kuwadhbiti wageni na vibaraka wao kwa ajili ya mustakabali mwema wa taifa. Kwa nini mtu atishwe na aogope katika nchi yake?
Tangu lini fimbo ya mbali ikatumika kuua nyoka?
 
Labda wawekezaji wazawa hawakati cha juu kama wageni!

Huu ndio ukweli uliofichwa na hawa mafisadi.
Mtu anamtetea Muhongo aliyehongwa mabilioni ya fedha kama asante na bili ya umeme inapaa kila siku.
Anapokosolewa na wananchi anatumia Elimu yake kukejeli watu na kuwahadaa watanzania kuwa uchumi na maisha ya watanzania yatabadilishwa na kuboreshwa na wanyonyaji toka nje,wahindi ,waarabu na wazungu. Huyu ni mtu mbaya sana na adui wa wazalendo.Wakati utakapofika atapata majibu yake. Hakuna taifa lililoinuka kiuchumi kwa kuwatenga wazawa.
Muhongo na kampani yake wanatumia ofisi za umma kuwatisha wananchi.

Walimtisha na kumpa sumu Mwakyembe,magufuli na Mgimwa sasa wanaendelea na ujinga wao.

Hayo Mabilioni waliyopewa kwa nini wasianzishe makampuni yao kama Mengi wakatoa ajira badala ya kuyaficha huko ulaya na kutumia kuwahonga wapiga kura.

Pesa zao ni za rushwa ndio maana zinalekezwa kwenye rushwa ya kununua wapiga kura.
Wamezoea kutumia mashirika ya umma kuvuna mabilioni sasa wanategemea Mengi atawalamba viatu.

Mengi ni Mtanzania mwenzetu, atakayemgusa atatangaza vita na wazalendo.

Tunajua kuwa siku CCM itakapoondoka madarakana hawa wahindi mnaowaona matajiri watakimbia nchi kwani utajiri umeshikiliwa na wezi wa mali za umma.

Wanasiasa ni watu wa ajabu sana wanaiba mabilioni ya fedha badala ya kuwekeza kwenye viwanda wananunua kura na kununua mawakala na wagombea wa uchaguzi kama timu za mpra zinavyonunua wachezaji.
 
Acha ubaguzi wa rangi, dunia sasa ni kijiji, ndio maana hata Marekani rais wake ni mweusi.

changanya akili hapo nazungumzia tabia ya wizi,
hata wewe ni upo kwenye ile list ya majizi, huwezi ukawa unawatetea kiasi hiki kama si wenzako kwa tabia!!!
 
mengi ni mfano halisi wa kuigwa.mafisadi hawampendi kwa sababu ya wivu
 
huyo mzee wako ni muongo na fisadi.
Ni mmoja wa walioifilisi benki ya NBC, anadaiwa mpaka leo hajalipa.
Unajua uovu wa huyo mzee ila kwa kuwa wote ni wachaga
umekuja haraka kumtetea

Mchango wako hapa umesukumwa na hisia za chuki za kikabila....!
 
Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania

Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo

Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake

Ben unatofauti gani hao viongozi wakati umetumia muda mwingi kumsema vibaya Zito Na sasa hujajifunza na hujui kwa nini mengi anatishwa?
 
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.

Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.

Serikali impe ulinzi mzee wetu.

Ndugu zangu huyu Mzee ni Msanii siyo wa kuamini. Huyu uzalendo wake uko wapi? Biashara ile ya ....... Ameacha. Kweli Taifa hili tuna safari ndefu.
 
Anajitisha mwenyewe huyo Mzee. Adui yake Ni wafanyakazi katika kampuni zake ambao wanalipwa mshahara mdogo kinyume na sheria za nchi. Waulize bonite pale moshi hawana ham nae.kila MTU anamchukia pale. Anajidai mzalendo wakati mpaka msimamizi Wa bustani pale bonite Ni muhindi. Manina zake.
 
Huyu mzee jambazi kweli anafanya ufisadi wake kuiba mali za umma halafu anakimbilia kusema anatishwa kwanza kufa ndiyo adhabu stahiki kwake.
 
Anajitisha mwenyewe huyo Mzee. Adui yake Ni wafanyakazi katika kampuni zake ambao wanalipwa mshahara mdogo kinyume na sheria za nchi. Waulize bonite pale moshi hawana ham nae.kila MTU anamchukia pale. Anajidai mzalendo wakati mpaka msimamizi Wa bustani pale bonite Ni muhindi. Manina zake.
Naungana na wewe huyu mzee hafai hata chembe ni fisadi na mwenye roho mbaya kwa watu wafanya kazi wake hawana hamu naye halafu akifanya ujinga anasema anatishwa.

juzi hapa kahonga wabunge pesa nyingi ili kumuondoa muhongo wizara ya nishati na madini kisa kakosa kitaru cha gesi wakati wafanya kazi wake kwenye gazeti moja walikuwa hawajalipwa mshahra kwa miezi miwili.
 
Huu ndio ukweli uliofichwa na hawa mafisadi.
Mtu anamtetea Muhongo aliyehongwa mabilioni ya fedha kama asante na bili ya umeme inapaa kila siku.
Anapokosolewa na wananchi anatumia Elimu yake kukejeli watu na kuwahadaa watanzania kuwa uchumi na maisha ya watanzania yatabadilishwa na kuboreshwa na wanyonyaji toka nje,wahindi ,waarabu na wazungu. Huyu ni mtu mbaya sana na adui wa wazalendo.Wakati utakapofika atapata majibu yake. Hakuna taifa lililoinuka kiuchumi kwa kuwatenga wazawa.
Muhongo na kampani yake wanatumia ofisi za umma kuwatisha wananchi.

Walimtisha na kumpa sumu Mwakyembe,magufuli na Mgimwa sasa wanaendelea na ujinga wao.

Hayo Mabilioni waliyopewa kwa nini wasianzishe makampuni yao kama Mengi wakatoa ajira badala ya kuyaficha huko ulaya na kutumia kuwahonga wapiga kura.

Pesa zao ni za rushwa ndio maana zinalekezwa kwenye rushwa ya kununua wapiga kura.
Wamezoea kutumia mashirika ya umma kuvuna mabilioni sasa wanategemea Mengi atawalamba viatu.

Mengi ni Mtanzania mwenzetu, atakayemgusa atatangaza vita na wazalendo.

Tunajua kuwa siku CCM itakapoondoka madarakana hawa wahindi mnaowaona matajiri watakimbia nchi kwani utajiri umeshikiliwa na wezi wa mali za umma.

Wanasiasa ni watu wa ajabu sana wanaiba mabilioni ya fedha badala ya kuwekeza kwenye viwanda wananunua kura na kununua mawakala na wagombea wa uchaguzi kama timu za mpra zinavyonunua wachezaji.
We kijana wa mengi wewe kwa tarifa yako mengi anaongoza kwa ufisadi nchi hii hutaki unaacha mzee ni hovyo kabisa jizi namba moja.
 
Inawezekana kweli maisha yake yapo hatarini, Jamaa amewatapeli watu ardhi zao unategemea nini? Mengi ni mwizi, tapeli na fisadi. yule yumo katika kashfa ya "looting" kule arusha yeye na mdogo wake.

Mengi angekua tapeli au anapata pesa kwa njia zisizo halali nahakika serikali isingemuacha,kwa jinsi asivyo muoga kuweka waz uchaf wa serikali ni uthibitisho wa usafi wake
 
Hivi unaamini kweli Mengi katishiwa maisha? Kwani Mengi ni Mungu kila analosema tuliamini? Tambua kuwa Boss wako Mengi kuwa naye ni Fisadi mkubwa, alikopa Mapesa NBC akaanzisha viwanda vya sabuni ya Komesha na revola, hakurejesha mkopo hadi NBC bank ikafirisika na kuokolewa na Uwekezaji anayo Madhambi kibao si Mtu Saafi kama wafuasi wake mnavyofikiri.

mbulaa!! acha na yeye ale'apo kitogo
 
Back
Top Bottom