If money grew on trees girls would date monkeys!!!!! finish
Ila tuwe salama, itabidi tumtagi J Makamba.Kama ndio hivyo member wote wa jf jera
kwa kufanya kazi kwabidii na maarifa yoteUtazipataje?
Kawa kabab, siyo kibabu.Ni chakula ya k-lyn! Unaona jinsi k-lyn alivyonawiriHa ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee
Mko tofauti kiukweli wala mtu asikupinge.....
K-Lyn anaenjoy alichishapata
Wewe unaponda ambacho unakitamani lakina hutakipata kamwe
K-Lyn yupo straight na anachokitaka
Wewe unaongea unafiki kwa sababu hujapata
mtu akiwalinganisha anakukosea..akutake radhi fastaaa
Capt Nemo, I used to like you kumbe uko tofauti na nilivyokua nakufikiria.si mpaka uwe nayo (naongea generally) ukikosa hata baisikeli?
Hahahahaha lol! Eti style yangu ya ku-quote! Mie naona hivyo ndivyo inastahili badala ya kuscroll down ili uone aliye post kaandika nini, inabidi uanze kuona post mpya na quote ikiwa chini, au wewe unaonaje? Usikose mchapo wetu na Reading Jumamosi kwenye FA Cup.
Unaweza kua na mwanaume wa rika lako na asikuoe furaha,inategemeaaa lakin Mengi pamoja na uzee huo jaman pesa inamfanya aonekana handsome bana
Capt Nemo, I used to like you kumbe uko tofauti na nilivyokua nakufikiria.
Wewe kama nani wa kunilazimisha nikubaliane na vile unavyoamini na kuyachukulia maisha yangu kama ya wanawake wengine?
Sikiliza,watu tuko tofauti.Sio lazima wanavyofanya wengine na mimi nifanye.Naongea na of course ninamaanisha ninachokisema.
Nashangaa wengi na wewe ukiwemo wanaponda msimamo wangu wa kukataa kua siwezi kua na babu kama Mengi kisa ana pesa na kigezo chenu ninyi ni kua hakuna mwanamke atakayeweza kukataa kua na Mengi....Huu ni ujuha wa hali ya juu.
Hahahaaa,cha kuchekesha nimesema kwa kebehi kua ni bora ni fight mwenyewe hata nimiliki starlet yangu mwenyewe na wewe ukaingia mkenge kua siwezi hata kua na baiskeli...lol
Sikiliza,narudia tena hata wewe hunijui sikujui.Wengine hatupendi kujiproud lakini maisha yetu tunayajua wenyewe.
Mind your own business.
nifah, hapo kwenye starlet kama umengalia kwa umakini nimeweka kwenye bracket kuwa naongea generally...that means sikukutarget wewe kama wewe ina nimeongelea itakuwaje iwapo "msichana" akikosa hata baiskeli? please understand
Kuhusu hiyo post ya kwanza ni kuwa it is general too
Kama ulivyosema ni kuwa hunijui sikujui so it is wrong kuconclude kuwa nakupinga wewe..its just nasimama katika kuwa wasichana do not mean what they say na kwamba wako kifedha zaidi kiasi kwamba wanaoverlook age na vitu kama hivyo
Umetoa msimamo wako katika mambo haya..is it wrong na mtu mwingine kutoa msimamo wake? isnt this the idea behind postings in JF
We cool now?
Suala lililokuwepo hapa ni kwamba umeniquote mimi kama mimi ndio maana.Utasemaje ulikua unamaanisha in general? Ungeandika post yako nisingeku-quote kukuuliza kulikoni kama hao wengine walivyofanya.
Halafu naona hujanielewa nilikua namaanisha nini tokea mwanzo maana umerudia lile lile nililokua nikilipinga.Eti wasichana hawamaanishi wanachokisema.
Ujue tatizo lenu wanaume mkisha date na wasichana wawili watatu mnaona mmemaliza na wote wanafanana ndio maana mnakuja hapa kwa kujiamini na kutu-generalise wote kua tuko sawa.
Narudia tena na kwa mara ya mwisho,nimesema na ninamaanisha ninachokisema,usini-generalise.
Sawa nimeukubali msimamo wako wa kugeneralise na mimi naomba uukubali msimamo wangu wa kutonigeneralise.
kwa kufanya kazi kwabidii na maarifa yote
na ndiyo maishaIla kazi yako mi naijua, kwa kweli inahitaji maarifa na juhudi kubwa.
Dah, pesa mwanaharamu wallah! Nawezaje kuwa na babu kama huyo? Mhhhh bora nibaki na umasikini wangu tu.