palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
hata wewe uliyeziona jela inakuhusu.Tcra watawakamata nyie shauri zenu
Ha ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee
Kasema nani?
Dah, pesa mwanaharamu wallah! Nawezaje kuwa na babu kama huyo? Mhhhh bora nibaki na umasikini wangu tu.
Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.Mmmmmh nifah kakitokea kamangineyo kakukabidhi kaapatiment, karenji na vijibutiki na vijieskro viwili vitatu utamtosa kweli!!
Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.
Aha aha aah sizitaki mbichi hizi...Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.
Hahahaaa! Ayayayayaaaaaa....hapo umegusa pabaya sasa!Mbona shemeji anakubana kinyama wakati hata kijipasso bado hajakununulia sio bora tuu uvumilie ubanwe na kunyanzi lkn ukijua wee ni kijibosslady hahahahaaa.