Mengi na Kylin katika ubora wake

Mengi na Kylin katika ubora wake

Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!
Bora ni fight mwenyewe hata nikiwa na starlet sitojali.

Unajua inaanzaje? unakuwa na sisi vijana wenye ngozi lain alafu tunakuzingua kwenye uaminifu hadi performance uwanjani na hela za kubangaiza.kwahyo unabaki unaumia roho tu.gafla unaenda kwenye mkutano fulani serena hoteli unakutana na babu kama mengi mnaongea maongezi tu ya kawaida mkimaliza anaomba appointment mkutane anakupa hela ya mafuta laki tano halafu hata hakusumbui kwenye simu,unakuwa kila ukifungua taarifa ya habari unakutana na sura yake au bidhaa yake inatangazwa interest inaanza kuja taaratibu ukitoka out nae wala hakusumbui anakutokea unajifanya kama umeshtuka lakin ukikumbuka appointment yenyewe tayari ni suprise tosha,mzee wa watu anaonekana ni mwaminifu ukishika simu yake ni dili za pesa tu lakin simu zetu sisi masharobaro zimejaa majina ya kike tu eti dada zetu wanaosoma karibu vyuo vyote vya tanzania.kabla hauja mpya utamu mzee unahsi kuridhika na macare ya mwanzo,baadae unakuja kugundua hauolewi ili uilidhishe jamii wamuone jamaa yako ni handsome ila unajiridhisha moyo wako then unamchukua mzee wako mnaenda zenu visiwani kufunga ndoa unaanza kuinjoy na kufaurahia maisha wengine eti wako jf wanakusikitikia nakudai eti umefata pesa.
 
love does not see age or money........what do you see in the picture? Love or lust for money?

Ni vugumu kuzisoma hisia za mtu simply kwa kuangalia katika picha.
Wanaweza kucheka tena kwa tabasamu la haja lakini kilichopo mioyoni mwao ni tofauti au inaweza kuwa sawa na nyuso zao.
 
11156224_10153191276897482_2613989438697721535_n.jpg

Ivi profesa Muhongo nae anakula bata namna hii? au yupo yupo tu
 
Ni vugumu kuzisoma hisia za mtu simply kwa kuangalia katika picha.
Wanaweza kucheka tena kwa tabasamu la haja lakini kilichopo mioyoni mwao ni tofauti au inaweza kuwa sawa na nyuso zao.

okay, nimekupata. In today`s world, the world that we live, do you believe real love exist anymore?
 
Unajua inaanzaje? unakuwa na sisi vijana wenye ngozi lain alafu tunakuzingua kwenye uaminifu hadi performance uwanjani na hela za kubangaiza.kwahyo unabaki unaumia roho tu.gafla unaenda kwenye mkutano fulani serena hoteli unakutana na babu kama mengi mnaongea maongezi tu ya kawaida mkimaliza anaomba appointment mkutane anakupa hela ya mafuta laki tano halafu hata hakusumbui kwenye simu,unakuwa kila ukifungua taarifa ya habari unakutana na sura yake au bidhaa yake inatangazwa interest inaanza kuja taaratibu ukitoka out nae wala hakusumbui anakutokea unajifanya kama umeshtuka lakin ukikumbuka appointment yenyewe tayari ni suprise tosha,mzee wa watu anaonekana ni mwaminifu ukishika simu yake ni dili za pesa tu lakin simu zetu sisi masharobaro zimejaa majina ya kike tu eti dada zetu wanaosoma karibu vyuo vyote vya tanzania.kabla hauja mpya utamu mzee unahsi kuridhika na macare ya mwanzo,baadae unakuja kugundua hauolewi ili uilidhishe jamii wamuone jamaa yako ni handsome ila unajiridhisha moyo wako then unamchukua mzee wako mnaenda zenu visiwani kufunga ndoa unaanza kuinjoy na kufaurahia maisha wengine eti wako jf wanakusikitikia nakudai eti umefata pesa.

Hahahaaa! Kiukweli umenichekesha sana na kunipa mtihani mwisho wa story yako hii ya kufikirika.
Ila jambo la umuhimu hapo ni kuwa na msimamo katika kile unachokiamini.
Hivyo basi, siwezi kuruhusu hata ukaribu na hao wazee hadi kupeana appointments and the likes.
Na sio kweli kua vijana wote sio waaminifu.Acha kabisa, wapo wanaojielewa wanafanya nini,waaminifu na wenye kupenda kweli.
 
Siyo ya kufikirika sana kama unavyojaribu kusema,kama unafatiliaga news hata ulaya wanamitindo wengi ulaya na marekani wameolewa na wazee sio bahati mbaya maazingira niliyokueleza yanachangia sana ni kweli wavulana waaminifu wapo wachache kama unaye mfaidi wako,lakin kiukweli hivyo vibabu ni hatari vinajua mwanamke anataka nini tofauti na vijana bado ndio wanajifunza na wengine wapo vizuri kitandani kuliko vijana kozi ya mazoezi halafu hana stress.when everthing is well is easy kusema wazee wakazi ghani but when ur in trial Arsene wenger akitokea tu unaenda naye Emirate unakuwa unaingia uwanjani bure
 
I will ask you the same question, after 3 years Nifah, i bet the answer will be NO...Tuombe uzima, inshaalah!

Hahahaaa,huko sasa kuombeana mabaya.Na siitikii Amiiin inshaallah wala nini.
Na Mungu aikatae dua yako inshaallah!
 
Siyo ya kufikirika sana kama unavyojaribu kusema,kama unafatiliaga news hata ulaya wanamitindo wengi ulaya na marekani wameolewa na wazee sio bahati mbaya maazingira niliyokueleza yanachangia sana ni kweli wavulana waaminifu wapo wachache kama unaye mfaidi wako,lakin kiukweli hivyo vibabu ni hatari vinajua mwanamke anataka nini tofauti na vijana bado ndio wanajifunza na wengine wapo vizuri kitandani kuliko vijana kozi ya mazoezi halafu hana stress.when everthing is well is easy kusema wazee wakazi ghani but when ur in trial Arsene wenger akitokea tu unaenda naye Emirate unakuwa unaingia uwanjani bure

Hahahaaa,mimi naona unanichekesha tu na story zako.
Kinachowaponza hao unaowaongelea (mimi simo) ni tamaa za maisha mazuri na wengine wamekata tamaa kama unavyosema!
Kikubwa namuomba Mungu tu anisaidie nisijepatwa na majanga na mimi nikakata tamaa.
 
Umeolewa nifah?
 
Daah! Ngoja niendelee kutafuta pesa tu....wacha mengi atumie pesa zake bana
 
Hahahaaa,huko sasa kuombeana mabaya.Na siitikii Amiiin inshaallah wala nini.
Na Mungu aikatae dua yako inshaallah!

Acha woga banaaa! Ten year ago, when i was at my early thirties, i had the same belief, but experience and life circumstances proved me wrong. The only true love you can get in this world is from your mother. Hawa tunaokutana ukubwani, these days imekua ni usanii tu.
 
Sikatai,nakubaliana na wewe kabisa kua mapenzi ya kweli yanatoka kwa mama zetu tu.Hilo halina ubishi.

Hiyo story yako napingana na wewe kabisa.Nani aliyekuambia kua umri na experience ya mapenzi vinaendana?Unaweza kua katika 40's zako lakini bado ukawa hujapitia misukosuko mingi kuliko aliyekuwa katika 30's zake.
Kikubwa ni misukosuko unayopitia tu.Unaweza kua na miaka yako kibao lakini Mungu akawa kakujaalia na kama umepata shurba ni mara moja tu.Ni sawa na kusema umri sio kigezo kikubwa saaaana cha kua na busara!
 
Wahenga wanamsemo wao unasema "ukiona nyani mzee anatembea huku kainama ujue kakwepa mishale mingi"

Huo usemi ni wa kweli ingawa unaweza usi apply kote. Hizo unazosema wewe kwamba mtu anaweza akawa 30s na bado akawa more experienced than wa 40s sikatai, na ndio maana kunakitu kinaitwa "extra ordinary cases"....kwaamba inakua imezoeleka vingine lakini cases nyingine zinakua tofauti.

So all in all you have a point in what you said, and i believe i have a point somewhere.
 
Back
Top Bottom