D
DeletedMember281674
Guest
Uzee ni msata nowdays...kibabu kinapata raha ya dunia taratibu
hata wewe uliyeziona jela inakuhusu.
WHAT IS BETTER THAN MONEY.?
KLYN ndo bilionea wa kwanza wa kike hapa bongo,miaka miwili mitatu ijayo
Dah, pesa mwanaharamu wallah! Nawezaje kuwa na babu kama huyo? Mhhhh bora nibaki na umasikini wangu tu.
bora mimi sijasema chochote...
Wewe naona unataka ugomvi tu maana kule kwingine nimekupotezea umenifuata huku.Acha uongo ww hujaonwa ndio maana unasema hivyo nakumbuka mwaka majuzi klyn alikiwa na mcmamo zaidi ya wako lakin leo analiwa na mzee kama baba yake so ww haijakujia isue hii ndio maana unasema hivyo
Hahahaaa,bora nicheke tu maana mambo mengine yanafurahisha.Tuko nyumba moja hata ww pia himjui K lyn povu la nn niko na ww popote
Hahahaaa,bora nicheke tu maana mambo mengine yanafurahisha.
Kuipata ndio ishu.
wewe ndo unaona kawa kibabu,Ha ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee
wewe ndo unaona kawa kibabu,
heshima pesa, shikamoo makelele tu.
duuu mi nkitongozwa na pedeshee nkiwaza tu kushika nywele za kifuan zenye mvi na mikunjo hapanaaaa ngoja tu