Mengi na Kylin katika ubora wake

Mengi na Kylin katika ubora wake

LoL!! Hutaki kubanwa banwa eeh! Kujirusha kwa raha zako. Haya bhanaa 🙂

Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.
 
Yeah!... Mzima lakini mkuu BAK?
Leo nimeiga style yako ya ku quote. Lol

LoL!! Hutaki kubanwa banwa eeh! Kujirusha kwa raha zako. Haya bhanaa 🙂
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol! Eti style yangu ya ku-quote! Mie naona hivyo ndivyo inastahili badala ya kuscroll down ili uone aliye post kaandika nini, inabidi uanze kuona post mpya na quote ikiwa chini, au wewe unaonaje? Usikose mchapo wetu na Reading Jumamosi kwenye FA Cup.

Yeah!... Mzima lakini mkuu BAK?
Leo nimeiga style yako ya ku quote. Lol
 
Acha uongo ww hujaonwa ndio maana unasema hivyo nakumbuka mwaka majuzi klyn alikiwa na mcmamo zaidi ya wako lakin leo analiwa na mzee kama baba yake so ww haijakujia isue hii ndio maana unasema hivyo

Mkuu kuna demu mmoja pia nilikuwa nae chuoni enzi hizo, akawa analeta hadithi hizihizi mara mi wazee siwataki, nataka kijana mwenzangu blah blah kibao.. Juzi juzi hapa nikaja kusikia anatembea na mzee flani hapa mjini, basi nikamtafuta hewani nikamkumbusha yale maneno yake ikabidi aanze kuyakana tu na utetezi kibao..

Ukweli ni huo, wanawake are the best to act lakini wote hawana ujanja wowote mbele ya pesa. Nani hapendi long vacations za ulaya na asia, nani hapendi kutembelea gari la kifahari, nani hapendi kuishi in a bungalow masaki, mikocheni au mbezi beach, but far most nani hapendi the real security for her and her childs??
 
11156224_10153191276897482_2613989438697721535_n.jpg

Mke wa kwanza nasikia alikuwa anasaidiwa, sasa huyu bado msichana hakuna msaada kweli na penyewe?!
 
Hahahaaa,vitu nataka lakini tatizo ni hayo makunyanzi sasa! Mhhhhh kwakweli hapana, bora umasikini nitakua na furaha maana hivi vizee sio vijinga vinabana balaa maana vinajua lazima utakua na mchepuko tu.

Unaweza kua na mwanaume wa rika lako na asikuoe furaha,inategemeaaa lakin Mengi pamoja na uzee huo jaman pesa inamfanya aonekana handsome bana
 
Kwa kweli hayupo ambae hayapendi hayo uliyoyaorodheshaa tusemage ukweli tu,

Mkuu kuna demu mmoja pia
nilikuwa nae chuoni enzi hizo, akawa analeta hadithi hizihizi mara mi wazee siwataki, nataka kijana mwenzangu blah blah kibao.. Juzi juzi hapa nikaja kusikia anatembea na mzee flani hapa mjini, basi nikamtafuta hewani nikamkumbusha yale maneno yake ikabidi aanze kuyakana tu na utetezi kibao..

Ukweli ni huo, wanawake are the best to act lakini wote hawana ujanja wowote mbele ya pesa. Nani hapendi long vacations za ulaya na asia, nani hapendi kutembelea gari la kifahari, nani hapendi kuishi in a bungalow masaki, mikocheni au mbezi beach, but far most nani hapendi the real security for her and her childs??
 
Kwa kweli hayupo ambae hayapendi hayo uliyoyaorodheshaa tusemage ukweli tu,

kuna watu eti wanajidai nibaki na umaskini wangu.. Anasema hivo as if huku duniani anaishi mwenyewe na watu hatuna references kama hizo kwenye real life. Tunajificha kwenye fake ID's kujipa tabia ambazo si zetu lakini huku kwenye maisha yetu tuko tofauti kabisa. The worst thing u can do in life is to cheat yourself..
 
Wewe naona unataka ugomvi tu maana kule kwingine nimekupotezea umenifuata huku.
Huyo ni K-Lyn na mimi ni nifah! Usinipangie maisha hunijui sikujui.

Mko tofauti kiukweli wala mtu asikupinge.....

K-Lyn anaenjoy alichishapata
Wewe unaponda ambacho unakitamani lakina hutakipata kamwe

K-Lyn yupo straight na anachokitaka
Wewe unaongea unafiki kwa sababu hujapata

mtu akiwalinganisha anakukosea..akutake radhi fastaaa
 
Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!
Bora ni fight mwenyewe hata nikiwa na starlet sitojali.

si mpaka uwe nayo (naongea generally) ukikosa hata baisikeli?
 
Back
Top Bottom