Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
duuu mi nkitongozwa na pedeshee nkiwaza tu kushika nywele za kifuan zenye mvi na mikunjo hapanaaaa ngoja tu
Kwani we jiwe huji kuzeeka Mwaju?
duuu mi nkitongozwa na pedeshee nkiwaza tu kushika nywele za kifuan zenye mvi na mikunjo hapanaaaa ngoja tu
Ha ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee
Kwani we jiwe huji kuzeeka Mwaju?
Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!Hahahaaa team nifah . Hautaki kuwa bosslady wa Jf?
pesa safi sana aiseee
Sio mimi tu, hakuna mwanamke asiyeutaka u boss lady.Ila kama source yenyewe ndio hii ya vibabu....inakua ngumu kumesa!
Bora ni fight mwenyewe hata nikiwa na starlet sitojali.
hata wewe uliyeziona jela inakuhusu.
Dah, pesa mwanaharamu wallah! Nawezaje kuwa na babu kama huyo? Mhhhh bora nibaki na umasikini wangu tu.
Kibabu wakati kinazalisha vigoli?Ha ha ha ha ha Mengi Kawa kibabu aisee