Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Wakuu,

Uongozi kwa ukawa mi nawapongeza sana kwa ili ukiangalia kwa haraka haraka unaweza sema leo wamefanya upuuzi uliokithili lakini hapana

kwanini nasema hivi kwa sasa kuna tatito la umeme nchi nzima utakuwa ni mtu wa ajabu kulipia mamilioni ya pesa kwa matangazo ambayo hayawafikii walengwa.

Hivyo tuendelee kuvumilia maono ya viongozi wetu wakuu

Kwa hili umeonyesha mtindio wa masaburi,ccm wanafanya,ikirushwa yetu ndio umeme ukatwe ,
 
Chadema imeshauzwa...

Ni mwendelezo wa kambi ya mgombea wa CCM, asiye na ugomvi na chama bali uchu wa madaraka...

Chadema mwaka huu haina mgombea, isubiri 2025 labda...
 
Taarifa hizi ziwafikie wahusika seriously kwa haraka. Wafanyie kazi kwa haraka na mapema. Au pumzi imepungua??
 
Kwa sasa wanajaribu kuficha udhaifu wake wa kuweza kusimama kwa muda mrefu. Wanatengeneza jukwaa lenye nguzo za kushikia ili aweze kushika wakati akitoa hotuba. Jaribu kufuatilia utaona muda mwingi anahutubia huku ameshika nguzo.

Lowassa ni dhaifu sana kiafya na kifikra.

Kwi kwi...jana nimetoka kucheka na washikaji baada ya ku note kuwa UKAWA wana jukwaa kama trela la fuso....
Wamechukua tahadhari...kwi kwi kwi
 
Kweli mkuu. Upo sahihi sana. Kama huu mkutano wa jana wa Arusha kutokuonyeshwa kwenye TV na kutangazwa kwenye radio, ukawa wamefeli kwa asilimia 100! Mmeniudhi kweli!!
 
Acheni lawama nyie. Je! Mnajua ni local Tv moja tu ya ITV ndo inaweza kurusha mikutano ya Lowasa? Azam Tv haikamati maeneo mengi hivyo sio mbadala mzuri. Jana ITV walishindwa kuonyesha live kwa sababu umeme ulikatwa Arusha ... Hizo Tv zingine zina mkono wa CCM. Usifikiri viongozi wa CDM hawapendi kurusha live matangazo, bali wana vita kubwa ya kuipigania demokrasia ya kweli dhidi ya chama tawala.

Usipende kulalamika lalamika tu!
 
Kwa taarifa yako huku makanisani ni tofauti. Kuingia kwa Mzee Kingunge ambae ni Mwenyekiti wa wachawi na waganga wa kienyeji TZ kumewastua wapendwa wengi na wamejitoa kimya kimya.

Ni roho gani sasa inayomuongoza Mzee Lowasa??? Kwa wapendwa wengi wenye kulijua neno wamehama rasmi kambi ya ENL. Kingunge ni liability na sio asset.

Mmepoteza kura hapo rafiki. Imeonekana mgombea anategemea mapepo. Nuru na giza havichangamani.

Askofu na Mpunga pepo hawawezi wakamfanyia mtu mmoja kampeni na wote kuwa washauri wa karibu.

Siku akishinda UTUKUFU atapewa Mungu yupi??????????????

Queen Esther

kuna hujuma imefanyika ..si bureee tatizo kingunge kaharibu kitendo cha kutangazwa atakuwepo kimesababisha vyombo vya habari viingiliwe kazi zao .........kingunge angefanywa kama suprise leoooooo...tatizo wamemtangaza sana hadi ccm wakaogopa leooo
 
Acheni lawama nyie. Je! Mnajua ni local Tv moja tu ya ITV ndo inaweza kurusha mikutano ya Lowasa? Azam Tv haikamati maeneo mengi hivyo sio mbadala mzuri. Jana ITV walishindwa kuonyesha live kwa sababu umeme ulikatwa Arusha ... Hizo Tv zingine zina mkono wa CCM. Usifikiri viongozi wa CDM hawapendi kurusha live matangazo, bali wana vita kubwa ya kuipigania demokrasia ya kweli dhidi ya chama tawala.

Usipende kulalamika lalamika tu!
Ina maana kama ni watu makini kwanini wasijue Arusha hakuna umeme mwezi wa nne huu. Mbona mkutano uliendeshwa kwa umeme wa generator, kwanini wasingejipanga mapema. Hakuna excuse kwenye makosa. Nani asiejua sasaiv hakuna umeme? Bullshit
 
Hapo sasa.

Na yule mgombea mwenza wake ni nonililooo... Hivi wanataka kuipeleka wapi nchi yetu.

Huku kuna Mwenyekiti wa wachawi mzee Kingunge!!!!!!

Tunasema HAPANAAAAA!!!

Queen Esther

Wajinga walimuona slaa hana akili Leo hii wanajutia na kwa taarifa yao muwape na wajue kuanzia Leo,
Lowasa hawezi kufanya kazi za kiitifaki ambazo lazima rais azifanye yeye kama yeye mfano,
1, kuhutubia bunge,
2,kuhutubia MIKUTANO ya kidiplomasia ya kimataifa,
3, kuhutubia sherehe za muungano na uhulu,
4,sherehe za majeshi na kutoa kamisheni
5, mikutano ya ki taifa
Haya ni majukumu ya rais KIITIFAKI,
He hizi dakika 5 zake anafikiri nani atampa nchi?
Akapumzike tu tunamshukuru kwa kushiriki,
 
Kwa taarifa yako huku makanisani ni tofauti. Kuingia kwa Mzee Kingunge ambae ni Mwenyekiti wa wachawi na waganga wa kienyeji TZ kumewastua wapendwa wengi na wamejitoa kimya kimya.

Ni roho gani sasa inayomuongoza Mzee Lowasa??? Kwa wapendwa wengi wenye kulijua neno wamehama rasmi kambi ya ENL. Kingunge ni liability na sio asset.

Mmepoteza kura hapo rafiki. Imeonekana mgombea anategemea mapepo. Nuru na giza havichangamani.

Askofu na Mpunga pepo hawawezi wakamfanyia mtu mmoja kampeni na wote kuwa washauri wa karibu.

Siku akishinda UTUKUFU atapewa Mungu yupi??????????????

Queen Esther
Hutuchagui rais wa kwenda kujenga makanisa na misikiti, bali rais wa kuongoza watanzania wote bila kujali imani zao.
 
Back
Top Bottom