Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Uzuri mmeanza zitambua dosari zao mapema.na ts too lake Maguful yuleeee ikulu wajipange 20120
 
Huku ndo kukosa weledi wa kisiasa huo.
Arusha ni ngome ya Chadema hawahitaji kushawishiwa na Kingunge kupiga kura.
Sauti ya Kingunge ingeelekezwa kwny mamilioni ya watz ambako kuna impact.

naunga hoja mkono. kingunge angekuwa na kina kafulila au guninita wangeenda mikoa ya kusini. UKAWA wamezidiwa mbinu ya kampeni na ccm kwa kiasi kikubwa....
 
Naona ukawa wamelewa kwa mafuriko ya miji mikubwa huko kwenye miji midogomidogo na vijijini wamepasahau sasa naomba msije Fanya vurugu tu kuwa ccm imeiba kura za mgombea wenu maana kuna maeneo mengi tu hayajafikiwa.Magufuli ushindi mapema tu

I wish ungejua kazi inayofanyika vijijini... Walahi trust me, upande wa vijijini inefanyika investment kubwa sana mara mia zaidi ya CCM.... Natamani nikueleze bahati mbaya hapa siwezi....

Wakuu msiwe na waswas hii ngoma asubui saa mbili Lowassa anaingia ikulu
 
Usitake kunidanganya danganya wengine shughuli zangu ni zakuzunguka vijijini lakini hiyo investment uisemayo sijaiona Labda huko Arusha lakini huku niliko hakuna kitu kama hicho.
 
I wish ungejua kazi inayofanyika vijijini... Walahi trust me, upande wa vijijini inefanyika investment kubwa sana mara mia zaidi ya CCM.... Natamani nikueleze bahati mbaya hapa siwezi....

Wakuu msiwe na waswas hii ngoma asubui saa mbili Lowassa anaingia ikulu

mkuu pamoja nahayo mikutano ya live muhimu..
 
Kushinda uchaguzi kwa mwenendo huu WA kampeni ni NDOTO....

Kumbuka kuna kura za chuki dhidi ya LICHAMA TAWALA hizo hazijalishi hata ukawa wasipofanya kampeni HILI LICHAMA kuadhibiwa kuko palepale.
 
Ujumbe Kuwa mambo yote haya ya matanngaO yanahitaji Pesa.wenzetu CCM wana vyanzo vingi vya Mapata na wadhamini wengi.Ile namna ya kuchangia itangazwe kwenye vyombo vya habari Kama radio,TV ,magazeti na vipeperushi.halafu no zisomwe kwa utaratibu na kurudia watu waweze kutake note.Obama aliongoza kwa kupata funds nyingi Kwenye uchaguzi wake wa awamu ya kwanza kwa kuwafikia watu wa Kawaida wa $ 5 $10 wengi akamshinda mpizani wake aliyechangiwa na matajiri na wafanya biashara wakubwa wachache.Watu wanataka kuchangia lakini hawajahamasishwa vizuri.
 
vuteni subira jamani,zile helcopta 7 zimeshafika bandarini,tutegemee kampeni kali kuanzia wiki ijayo....toroka uje,,,,warioba,mwandosya na nani ,,,,,japhet nchimbi watafanya maamuzi magumuuu
Wanafuata hizo copters?
 
I wish ungejua kazi inayofanyika vijijini... Walahi trust me, upande wa vijijini inefanyika investment kubwa sana mara mia zaidi ya CCM.... Natamani nikueleze bahati mbaya hapa siwezi....

Wakuu msiwe na waswas hii ngoma asubui saa mbili Lowassa anaingia ikulu
Unajifanyia mwenyewe propaganda halafu unajikubali.
 
Uzuri mmeanza zitambua dosari zao mapema.na ts too lake Maguful yuleeee ikulu wajipange 20120

Hahahahahaa, mkuu hiyo 20120 umekosea au unamaanisha? Kusubiria miaka 105 bora tuache kujadili siasa.
 
Back
Top Bottom