Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Nyie acheni utani Lowasa anaumwa kama ataoneshwa mara kwa mara watu watamuona anavyotetemeka ndiyo maana wanacheza na akili zenu karaga baho na ubwenzi wako.

lowassa ndo raisi wako,swala lakuumwa hiyo nikesi,unatafuta na mungu wako,maana kila binadam nimgonjwa ila yanazidiana elewa hilo.
 
Wachukue wakina Slaa, Zito name Lipumba kaa nao kwako.
 
Napata wasiwasi inawezekana kunajambo limejificha sababu haiwezekani tunaomba waratibu wa hizi kampeni wawe active, tunasema waache kutuletea huu upumbavu nasema ivi! hatuitaji upuuzi huu. Kama wanatupata basi wafanyie kazi maoni yetu la sivyo ni bora siku ya kupiga kura nilale nyumbani
 
Ndio hata mie hilo nimelilalamikia sana
 
cheki sasa meneja campeni wakwao ila cheki anavyoporomoshewa matu.... UKAWA tumeshawazoea natusubr tu washindwe oct25. utaona yatakavyo mporomokea mny/k na mgombea wao siye yetu macho

Hakuna matusi hapo bali kukumbushana, tatizo lenu magamba mnaogopana!
 
lowassa ndo raisi wako,swala lakuumwa hiyo nikesi,unatafuta na mungu wako,maana kila binadam nimgonjwa ila yanazidiana elewa hilo.

Hiyo sio akili yako ya kawaida pete ya lowasa anayoivaa mkono wa KULIA ndo chanzo cha UPOFU wako,naenda kanisani ukaombewe,
 
La kuvunda halina ubani ..yaani Ukawa mnakwama kila kitu
 
Marekebisho ya haraka yanatakiwa hizi cku za mwisho. eleweni pia tanesco tatizo. leo umeme hakuna kuanzia asb
 
Ni kwel kabisa. Lowasa anakuwa kama yeye ni mgombea binafsi bana. Wametuuz sana. Hii lkurugez ya habari inatuuz sana tena inahujumu ukawa.

Kiukweli Idara ya Habari haina kazi bora ikae pembeni tu.Hata mimi sijaipenda
 
Pale ukawa hasa chadema kwasasa imeshikwa na watu wajinga wenye upeo mdogo wa kufikiri mtu kama sumaye,mgeja,masha na Lowasa mwenyewe mnategemea nini? Lowasa yeye anajua kuhonga wapiga kura ndiyo mwisho wa yote.
hahaha chadimu nawaonea huruma sana. maana maghufuli anashida SAA mbili tu.
 
Wameshindwa hata TV, Radio, hata matangazo tu......
Nawapigia Kura Chadema ila mnaangusha sana watu wengi wanalalamika hamtoi coverage yakutosha... kama wakifata media coverage lazima mshindwe
Inauma sana sitaki piga kura afu nishindwe tena mara ya pili
 
Wakuu,

Uongozi kwa ukawa mi nawapongeza sana kwa ili ukiangalia kwa haraka haraka unaweza sema leo wamefanya upuuzi uliokithili lakini hapana

kwanini nasema hivi kwa sasa kuna tatito la umeme nchi nzima utakuwa ni mtu wa ajabu kulipia mamilioni ya pesa kwa matangazo ambayo hayawafikii walengwa.

Hivyo tuendelee kuvumilia maono ya viongozi wetu wakuu
 
Napata wasiwasi inawezekana kunajambo limejificha sababu haiwezekani tunaomba waratibu wa hizi kampeni wawe active, tunasema waache kutuletea huu upumbavu nasema ivi! hatuitaji upuuzi huu. Kama wanatupata basi wafanyie kazi maoni yetu la sivyo ni bora siku ya kupiga kura nilale nyumbani

Niwasaidie kitu kitendo cha kuingiliwa na ccm B kimezoofisha kila kitu,
Pia haiwezekani ukapata ushaidi kutoka kwa kingunge eti ndo mshauri, summaye lissu mwenyewe bungeni alimuita Mr ziro kisa ndo waziri mkuu pekee aliyekuwa hawezi kuchambua miswada ya sheria kwenye baraza LA mawazo,
Kwa list hii unategemea kula ushauri wapi?
 
Wanajiamini kupita kiasi,duni haji yuko dom anachanja mbuga ile mbaya vijijini ila sijaona habari zake kwny TV,pia vipeperushi havitoshi
 
Hakuna siku nimeboreka kama leo. Naanza kutilia shaka think tank ya ukawa . Imepwaya mno inavizia upepo wa lowassa.
 
Leo wamenitia hasara sana hawa chadema

Ilibidi niende bar nikaagiza beer kusubiria muda ufike nikaona itv wanazidi kuweka mara stadi za kazi nikaona hakuna cha live
 
Back
Top Bottom