Wakuu,
Uongozi kwa ukawa mi nawapongeza sana kwa ili ukiangalia kwa haraka haraka unaweza sema leo wamefanya upuuzi uliokithili lakini hapana
kwanini nasema hivi kwa sasa kuna tatito la umeme nchi nzima utakuwa ni mtu wa ajabu kulipia mamilioni ya pesa kwa matangazo ambayo hayawafikii walengwa.
Hivyo tuendelee kuvumilia maono ya viongozi wetu wakuu
Watakua wamepiga deal labda.
Hapa kazi tu buana.
Wewe haujui kitu, kufanya hivyo wanajua wanachokificha, hizo dakika tano za hotuba ya lowasa ni unyonge unatakiwa kufichwa kwa mbinu ya kisiasa na kisingizio cha muda, nakukumbusha siku ya ufunguzi, kusema hotuba yangu mkasome kwenye website kilileta shida na leo wangeendelea KUONYESHA udhaifu huo ungekuwa hatari sana kwao ni bora kuficha tu,
Ukweli ni huo ,
Eti mkuu leo kaongea dakika tano?? au zaidi??? alianza kuongea 17:32 mpaka 17:54 ni dk ngapi hapo hivi??
nashangaa kuona jiji la arusha, maposta ya magufuli yamebandikwa na yamejaaa kila kona huku ya rais Lowasa hayapo. Sielewi huyu lema anafanya nini pale jijini.Zinaitwa Kampeni, na katika Kampeni za Kisiasa kuna njia kuu nne za kuwafikia wapiga kura ambazo ni;
1. Kukutana na wapiga kura moja kwa moja yaani Direct Voters Contact (DVC) kupitia Mikutano ya hadhara (Impact ni Ndogo kwa maana ya kuwafikia wapiga kura wachache)
2. Vipeperushi na machapisho (Still Billboards, Electronic Billboards, Posters na Leaflets); impact yake ni ya kati maana idadi ya watu wanaofikiwa ni wengi kiasi tena karibu kila siku;
3. Mass Media (Redio na TV). Njia hii ina impact kubwa kwani inawafikia watu wengi kwa mpigo, Katika hili CHADEMA na UKAWA wamefanya chini ya Wastani. Kwa mfano Mkutano wa leo Arusha watu wengi walijipanga kuufuatilia kupitia Vyombo vya Habari cha kushangaza hakuna linaloendelea. Jamani kushinda uchaguzi sio kazi nyepesi.
Kwa nini UKAWA haitumiii vyombo vya habari kuwafikia wananchi wengi? Njia nzuri na rahisi ni Redio kwani angalau kila kaya hapa nchini ina Redio maana hata simu (Feature Phone) zina Redio. UKAWA hamtumii hii njia hivi tatizo nini? Yaani leo mmeboa sana. Huyu Kampeni meneja wa UKAWA/CDM hafai kabisa. Kushinda uchaguzi kwa Mazingira haya si rahisi. Tusijidanganye!!. CCM wanatumia TV na Redio tena zile ambazo zinawafikia watu wengi. Amkeni jamani wananchi wanahamu ya kuwasikia na kusikia Sera zenu.
4. Mtu kwa Mtu, Hii hutumika katika scale ndogo ambapo wagombea hutembelea katika Kaya au maeneo ya mikusanyiko mfano Vituo vya Mabasi, Vijiwe nk. Njia hii ina impact ndogo sana.
USHAURI:
Kama tatizo sio fedha, basi huyo meneja wa Kampeni hafai kabisa anawashauri vibaya. Tanzania ina vijiji zaidi ya 20,000 (ishirini elfu), je mtavifikiaje vyote? Njia rahisi ni vyombo vya habari.
Ninashauri Mgombea wa Urais na Timu ya Kampeni Kitaifa afanye Press Conference kabla ya siku ya Kupiga KURA ili wananchi kwa upana waweze kumsikia. Tena hiyo Press conference irudiwe mara kwa mara. Vinginenvyo tutasema kura zetu zimeibiwa kumbe hatukujipanga vizuri. Huu ni ushauri wangu mpenda mabadiliko.
Kazi kwenu.
Tuliwaambia mapema!
Hivi ulitegemea nini zaidi ya hiki unachokipata kutoka CHADEMA?. Chama hakina Mtendaji Mkuu(Katibu Mkuu)na Naibu Katibu Mkuu(Mnyika) anahangaika kwenye Jimbo lake, wakati huo huo nafasi ya kugombea Urais imebinafsishwa kwenye familia ya Lowassa.
Kurugenzi za uendeshaji ndani ya chama ziko chini ya ofisi ya Katibu Mkuu. Kwa sasa hawana mwerekeo!
Kwa sasa CHADEMA wanavuna walichokipanda.
nashangaa kuona jiji la arusha, maposta ya magufuli yamebandikwa na yamejaaa kila kona huku ya rais Lowasa hayapo. Sielewi huyu lema anafanya nini pale jijini.
Ukawa hawawezi kukubali mambo ya live kwa sababu zifuatazoZinaitwa Kampeni, na katika Kampeni za Kisiasa kuna njia kuu nne za kuwafikia wapiga kura ambazo ni;
1. Kukutana na wapiga kura moja kwa moja yaani Direct Voters Contact (DVC) kupitia Mikutano ya hadhara (Impact ni Ndogo kwa maana ya kuwafikia wapiga kura wachache)
2. Vipeperushi na machapisho (Still Billboards, Electronic Billboards, Posters na Leaflets); impact yake ni ya kati maana idadi ya watu wanaofikiwa ni wengi kiasi tena karibu kila siku;
3. Mass Media (Redio na TV). Njia hii ina impact kubwa kwani inawafikia watu wengi kwa mpigo, Katika hili CHADEMA na UKAWA wamefanya chini ya Wastani. Kwa mfano Mkutano wa leo Arusha watu wengi walijipanga kuufuatilia kupitia Vyombo vya Habari cha kushangaza hakuna linaloendelea. Jamani kushinda uchaguzi sio kazi nyepesi.
Kwa nini UKAWA haitumiii vyombo vya habari kuwafikia wananchi wengi? Njia nzuri na rahisi ni Redio kwani angalau kila kaya hapa nchini ina Redio maana hata simu (Feature Phone) zina Redio. UKAWA hamtumii hii njia hivi tatizo nini? Yaani leo mmeboa sana. Huyu Kampeni meneja wa UKAWA/CDM hafai kabisa. Kushinda uchaguzi kwa Mazingira haya si rahisi. Tusijidanganye!!. CCM wanatumia TV na Redio tena zile ambazo zinawafikia watu wengi. Amkeni jamani wananchi wanahamu ya kuwasikia na kusikia Sera zenu.
4. Mtu kwa Mtu, Hii hutumika katika scale ndogo ambapo wagombea hutembelea katika Kaya au maeneo ya mikusanyiko mfano Vituo vya Mabasi, Vijiwe nk. Njia hii ina impact ndogo sana.
USHAURI:
Kama tatizo sio fedha, basi huyo meneja wa Kampeni hafai kabisa anawashauri vibaya. Tanzania ina vijiji zaidi ya 20,000 (ishirini elfu), je mtavifikiaje vyote? Njia rahisi ni vyombo vya habari.
Ninashauri Mgombea wa Urais na Timu ya Kampeni Kitaifa afanye Press Conference kabla ya siku ya Kupiga KURA ili wananchi kwa upana waweze kumsikia. Tena hiyo Press conference irudiwe mara kwa mara. Vinginenvyo tutasema kura zetu zimeibiwa kumbe hatukujipanga vizuri. Huu ni ushauri wangu mpenda mabadiliko.
Kazi kwenu.
Mimi napenda kumupongeza lowassa kwan wamewashitua serekali kwamba waache kubweteka na kutowachukulia hatua Kali majinzi kama lowassa. hatimaye hela yalizoiba yakanunua chama changu .inauma sana lakiniWajinga walimuona slaa hana akili Leo hii wanajutia na kwa taarifa yao muwape na wajue kuanzia Leo,
Lowasa hawezi kufanya kazi za kiitifaki ambazo lazima rais azifanye yeye kama yeye mfano,
1, kuhutubia bunge,
2,kuhutubia MIKUTANO ya kidiplomasia ya kimataifa,
3, kuhutubia sherehe za muungano na uhulu,
4,sherehe za majeshi na kutoa kamisheni
5, mikutano ya ki taifa
Haya ni majukumu ya rais KIITIFAKI,
He hizi dakika 5 zake anafikiri nani atampa nchi?
Akapumzike tu tunamshukuru kwa kushiriki,
Ndio hata mie hilo nimelilalamikia sana
Ukawa hawawezi kukubali mambo ya live kwa sababu zifuatazo
1.mgombea hazungumzi zaidi dakika 5,hii inashusha morali ya wafuatiliaji walio majumbani.
2.Watu wanawaza kupiga tu hela za mzee eanajua hawezi kushinda kwa hiyo hawajihangaishi kufanya mambo kusayansi