Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Mimi napenda kumupongeza lowassa kwan wamewashitua serekali kwamba waache kubweteka na kutowachukulia hatua Kali majinzi kama lowassa. hatimaye hela yalizoiba yakanunua chama changu .inauma sana lakini

Huo ndo ukweli magufuli hawezi kukubali tena majizi taibe then YAKE kuwaangaisha kwa pesa walizoiba,
,
 
Wajinga walimuona slaa hana akili Leo hii wanajutia na kwa taarifa yao muwape na wajue kuanzia Leo,
Lowasa hawezi kufanya kazi za kiitifaki ambazo lazima rais azifanye yeye kama yeye mfano,
1, kuhutubia bunge,
2,kuhutubia MIKUTANO ya kidiplomasia ya kimataifa,
3, kuhutubia sherehe za muungano na uhulu,
4,sherehe za majeshi na kutoa kamisheni
5, mikutano ya ki taifa
Haya ni majukumu ya rais KIITIFAKI,
He hizi dakika 5 zake anafikiri nani atampa nchi?
Akapumzike tu tunamshukuru kwa kushiriki,
Kwa sasa wanajaribu kuficha udhaifu wake wa kuweza kusimama kwa muda mrefu. Wanatengeneza jukwaa lenye nguzo za kushikia ili aweze kushika wakati akitoa hotuba. Jaribu kufuatilia utaona muda mwingi anahutubia huku ameshika nguzo.

Lowassa ni dhaifu sana kiafya na kifikra.
 
Tutaangalia taarifa za habari usiku kwani mchana hakuna umeme..ukianzua chanel ten cloud tv itv inatosha
 
Nakuunga mkono Kamanda tumfukuze kabisa na tumuweke Lema...

Wewe ndo umechemka kabisa njoo arusha kama utaona hata bango LA lowasa mjini mzima ni magufuli,lema anafanya kazi gani sasa hela lowasa akitoa wanasema asante hizo ndo ulituibia tunamshukuru umerudisha kwa hiari yako wanafanya kampain zao wasikose ubunge,
 
Meneja kampeni awe anafaa au hafai tutamchagua Lowassa kwa maendeleo ya kweli
 
Wewe ndo umechemka kabisa njoo arusha kama utaona hata bango LA lowasa mjini mzima ni magufuli,lema anafanya kazi gani sasa hela lowasa akitoa wanasema asante hizo ndo ulituibia tunamshukuru umerudisha kwa hiari yako wanafanya kampain zao wasikose ubunge,
Kamanda tumuweke Lema bhana...
 
Kwa sasa wanajaribu kuficha udhaifu wake wa kuweza kusimama kwa muda mrefu. Wanatengeneza jukwaa lenye nguzo za kushikia ili aweze kushika wakati akitoa hotuba. Jaribu kufuuatilia utaona muda mwingi anahutubia huku ameshika nguzo.

Lowassa ni dhaifu sana kiafya na kifikra.

Mbona tunalijua hilo sana walipo tupo,
 
Watangaze ili tusikilize nini? Mgombea wa UKawa domo zege, waendelee kumfichAfichA hivyohivyo, asiwaaibishe bure. Waendelee na picha za fb huenda ikasaidia
 
Ile slogan ya Maisha Bora KWA KILA MTANZANIA IMEISHIA WAPI?

Wewe tunaongelea kufunga mafisadi yanayotuibia ili watanzania wapate maisha bora,
Tunaongelea kufanya kazi ili kuinua kipato chetu,
Hizo ndo kauri mbinu tulizo Nazi kwa sasa,
So maisha bora yanafika kwa kila mtanzania bila kwa kufanya kazi
Wewe kama ni wa kuamkia kijiweni kunywa kahawa pole sana utasubili sana
 
zinaitwa kampeni, na katika kampeni za kisiasa kuna njia kuu nne za kuwafikia wapiga kura ambazo ni;

1. Kukutana na wapiga kura moja kwa moja yaani direct voters contact (dvc) kupitia mikutano ya hadhara (impact ni ndogo kwa maana ya kuwafikia wapiga kura wachache)

2. Vipeperushi na machapisho (still billboards, electronic billboards, posters na leaflets); impact yake ni ya kati maana idadi ya watu wanaofikiwa ni wengi kiasi tena karibu kila siku;

3. Mass media (redio na tv). Njia hii ina impact kubwa kwani inawafikia watu wengi kwa mpigo, katika hili chadema na ukawa wamefanya chini ya wastani. Kwa mfano mkutano wa leo arusha watu wengi walijipanga kuufuatilia kupitia vyombo vya habari cha kushangaza hakuna linaloendelea. Jamani kushinda uchaguzi sio kazi nyepesi.

Kwa nini ukawa haitumiii vyombo vya habari kuwafikia wananchi wengi? Njia nzuri na rahisi ni redio kwani angalau kila kaya hapa nchini ina redio maana hata simu (feature phone) zina redio. Ukawa hamtumii hii njia hivi tatizo nini? Yaani leo mmeboa sana. Huyu kampeni meneja wa ukawa/cdm hafai kabisa. Kushinda uchaguzi kwa mazingira haya si rahisi. Tusijidanganye!!. Ccm wanatumia tv na redio tena zile ambazo zinawafikia watu wengi. Amkeni jamani wananchi wanahamu ya kuwasikia na kusikia sera zenu.

4. Mtu kwa mtu, hii hutumika katika scale ndogo ambapo wagombea hutembelea katika kaya au maeneo ya mikusanyiko mfano vituo vya mabasi, vijiwe nk. Njia hii ina impact ndogo sana.

ushauri:
kama tatizo sio fedha, basi huyo meneja wa kampeni hafai kabisa anawashauri vibaya. Tanzania ina vijiji zaidi ya 20,000 (ishirini elfu), je mtavifikiaje vyote? Njia rahisi ni vyombo vya habari.

Ninashauri mgombea wa urais na timu ya kampeni kitaifa afanye press conference kabla ya siku ya kupiga kura ili wananchi kwa upana waweze kumsikia. Tena hiyo press conference irudiwe mara kwa mara. Vinginenvyo tutasema kura zetu zimeibiwa kumbe hatukujipanga vizuri. Huu ni ushauri wangu mpenda mabadiliko.

Kazi kwenu.


kama kuonyesha live tatizo ni pesa basi wajitahidi waonyeshe hata recorded ambazo wanaweza edit wanavyotaka irushwe itv/azam saa tatu usiku
 
Wenye mtazamo hafifu huwa wanasikiliza upepo ilawatu stable huanza na maamuzi binafso
 
Lema alishawai kumuita lowasa ni shetani na alisema fisadi mbele za mungu ni shetani na watu akawaapisha mbele za mungu,
Unazani hiyo dhambi mbele za mungu inauzito gani ili akasimame na kumsafisha fisadi aliyemwambia mungu kuwa ni shetani na mungu akamjibu kwa kutumia agenda hiyo kumpa nasari ubunge,
bango kubwa la roundabout Impala limewekwa picha mbili ya kwake na lowasa. sasa wako boti moja..hakun jinsi walishamsamehe..
 
kama kuonyesha live tatizo ni pesa basi wajitahidi waonyeshe hata recorded ambazo wanaweza edit wanavyotaka irushwe itv/azam saa tatu usiku

Waliona ni bora kanunuliwa na fisadi na kuachana na slaa,
 
Back
Top Bottom