Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

vuteni subira jamani,zile helcopta 7 zimeshafika bandarini,tutegemee kampeni kali kuanzia wiki ijayo....toroka uje,,,,warioba,mwandosya na nani ,,,,,japhet nchimbi watafanya maamuzi magumuuu
 
Nilikua sielewi kwanini kinana anaitwa Komredi. Kampeni za mwaka huu kazipanga kwa mbinu za kivita UKAWA hawachomoki nakuambia. Mwigulu anapambana nao angani na kuna timu zinachakaza ardhini.

Labda wanachakaza dd zako
 
kiujumla mtoa mada kazungumza ukweli mtupu. media kwenye uchaguzi ni jambo muhimu sana. kwa sasa ukawa kama wanataka kupata attention kwa umma wafanye mambo yafuatayo. 1. mikutano yote iliyobaki wahakikishe kila makao makuu ya mikoa warushe LIVE kwa maana ya moshi mjini,mwanza mjini, musoma mjini na mbeya mjini. hilo ni muhimu kwelikweli. na propaganda zote zijibiwe kikamilifu.pili watengeneze matangazo ya lowasa kuomba kura ya video na sauti yapelekwe kwenye redio na tv yatangazwe kila baada ya muda fulani inaweza ikawa baada ya habar kabla. tatu mh.lowasa ajitaidi vipaumbele vyake avifafanue kwa undani awapo jukwaani asiishie kulist tu. UKAWA wakifanya hayo angalau watapata attension kwa umma otherwise wasitafute mchawi...
 
vuteni subira jamani,zile helcopta 7 zimeshafika bandarini,tutegemee kampeni kali kuanzia wiki ijayo....toroka uje,,,,warioba,mwandosya na nani ,,,,,japhet nchimbi watafanya maamuzi magumuuu

Ndivyo alivyowadanganya Lowasa wakati anaomba kuingia CHADEMA na mkajua kua CCM itapasuka sana then mtachukua nchi kiulaini. yamekuja makapi yasiyo na madhara akina Sumaye, marsha kingunge. CCM imebaki imara. Aliwadanganya sasa hamna cha kufanya. ndivyo anavyotaka kutudanganya na sisi watanzania tumchague tumestuka
 
Tuliwaambia mapema!

Hivi ulitegemea nini zaidi ya hiki unachokipata kutoka CHADEMA?. Chama hakina Mtendaji Mkuu(Katibu Mkuu)na Naibu Katibu Mkuu(Mnyika) anahangaika kwenye Jimbo lake, wakati huo huo nafasi ya kugombea Urais imebinafsishwa kwenye familia ya Lowassa.

Kurugenzi za uendeshaji ndani ya chama ziko chini ya ofisi ya Katibu Mkuu. Kwa sasa kurugenzi hawana mwerekeo kwa sababu kampeni zinaratibiwa na kina Mgeja kwenye ofisi ya Lowassa, Mikocheni!

Kina Mgeja hawataki kumu-expose Lowassa kuhusu udhaifu wake kwenye macho ya Watanzania wengi ambao hawaendi kwenye mikutano.

Kutoa Lawama kwa Tumaini Makene ni kutoelewa kinachoendelea ndani ya chama.

Kwa sasa CHADEMA wanavuna walichokipanda.

Huu ndo ukweli mchungu Cc nifah Diva Beyonce Mmawia
 
Last edited by a moderator:
SHIKAMOO ARUSHA LOWASA TARATIBU UNAWAPA PRESSURE CCM
attachment.php
 
Hizo point zako nne zote ndizo wanazozitumia CCM kwa sasa. UKAWA mmevaa koti la mende matako yapo wazi yaani nyie mnafuatana tu na lowasa anakoaenda na kuacha sehemu zingine zikiwa wazi. najiuliza maeneo ambayo lowasa ameishapita siku nyingi kama swanga, ruvuma katavi saizi hali kule ipoje? angalieni ccm wanashambulia kila kona ya nchi kwa wakati mmoja mpaka vijijini. Jana Magufuli alikua Arusha akaenda Kilimanjaro, Nchimbi alikua Kilimanjaro maeneo ya Same, Mwigulu alikua Tanga Lushoto, Kinana alipotoka Arusha akaenda Mwanza, Mama samia alikua Kigoma, Kigwangala alikua Sikonge yaani jamaa wametawanyika na wana timu za kampeni za kata zinatembea nyumba kwa nyumba bado operation nimestuka. Mjiangalie sana wenzenu baada ya kuona tafiti zinaonyesha wanashinda kwa 65% wameongeza nguvu kuhakikisha inafika 80% Ukawa wameongeza nguvu kubishana na tafiti[/QUwantilKamanda, una point MUHIMU SANA.tatizo langu hapa ni kuwa tuna ushabiki mkubwa sana mpaka UKAWA wanajisahau.si mbaya ila WENZETU wamejipanga kweli wanapiga kimya kimya.kampeni team ya Rais na wabunge,upande wa ukawa haijaunganishwa",coordinated " unakuta hamna networking,strategy. UKAWA, kwa kipindi kilichobaki walete strategists waliomakini sana.LOWASA atengeneze team watakao imarisha alikopita.
 
Ndivyo alivyowadanganya Lowasa wakati anaomba kuingia CHADEMA na mkajua kua CCM itapasuka sana then mtachukua nchi kiulaini. yamekuja makapi yasiyo na madhara akina Sumaye, marsha kingunge. CCM imebaki imara. Aliwadanganya sasa hamna cha kufanya. ndivyo anavyotaka kutudanganya na sisi watanzania tumchague tumestuka

We na nani???!. Jisemee wewe
 
Hizo point zako nne zote ndizo wanazozitumia CCM kwa sasa. UKAWA mmevaa koti la mende matako yapo wazi yaani nyie mnafuatana tu na lowasa anakoaenda na kuacha sehemu zingine zikiwa wazi. najiuliza maeneo ambayo lowasa ameishapita siku nyingi kama swanga, ruvuma katavi saizi hali kule ipoje? angalieni ccm wanashambulia kila kona ya nchi kwa wakati mmoja mpaka vijijini. Jana Magufuli alikua Arusha akaenda Kilimanjaro, Nchimbi alikua Kilimanjaro maeneo ya Same, Mwigulu alikua Tanga Lushoto, Kinana alipotoka Arusha akaenda Mwanza, Mama samia alikua Kigoma, Kigwangala alikua Sikonge yaani jamaa wametawanyika na wana timu za kampeni za kata zinatembea nyumba kwa nyumba bado operation nimestuka. Mjiangalie sana wenzenu baada ya kuona tafiti zinaonyesha wanashinda kwa 65% wameongeza nguvu kuhakikisha inafika 80% Ukawa wameongeza nguvu kubishana na tafiti

kiujumla ukawa mwaka huu kama tutashinda tutashindwa kizembe kisa nikuwa na organization mbovu kwenye kampeni. ukawa walipaswa wawe na vikosi kadhaa vya kampeni ukiacha kikosi cha mgombea urais na mgombea mwenza. kwa maoni yangu tulipaswa kuwa na vikosi vingine kama vya kina lissu, msigwa, kafulila, mnyika, mdee, na hata jussa na maalim seif. kwa staili hii ya kampeni dalili sio nzuri. tunashauri ukawa waamke sasa. kwa nini lissu na kafulila wasipewe helicopta wakapiga baadhi ya mikoa kama dodoma,singida, tabora na hata kigoma? ukawa mnatuangusha....ccm wametuzidi sana kwa vikosi vya ardhini na hata angani....
 
Ndivyo alivyowadanganya Lowasa wakati anaomba kuingia CHADEMA na mkajua kua CCM itapasuka sana then mtachukua nchi kiulaini. yamekuja makapi yasiyo na madhara akina Sumaye, marsha kingunge. CCM imebaki imara. Aliwadanganya sasa hamna cha kufanya. ndivyo anavyotaka kutudanganya na sisi watanzania tumchague tumestuka

mkuu ccm hii ni dhaifu sana kama ukawa wangejipanga vizuri kikampeni...
 
Timu ya UKAWA kwenye media haikujipanga kumbuka CCM wana wanamuziki(MwanaFa,FID Q,Shilole,Juma Nature,Tip Top,Ally Kiba,Diamond,Makomando,Yamoto Band),bongo movies(Ray,JB,Richie,Wema,Anti Ezekiel,Ze Comedy),bloggers maarufu (Le Mutuz,Mange,Sinta,Michuzi,Chahali) hawa wote wanaisadia CCM kufanya kampeni kwenye social media
 
Kwa sasa wanajaribu kuficha udhaifu wake wa kuweza kusimama kwa muda mrefu. Wanatengeneza jukwaa lenye nguzo za kushikia ili aweze kushika wakati akitoa hotuba. Jaribu kufuatilia utaona muda mwingi anahutubia huku ameshika nguzo.

Lowassa ni dhaifu sana kiafya na kifikra.

Wenzako hawajali..wanasema bora punda afe lakini mzigo ufike
 
Back
Top Bottom