I salute you!
Tupendane jamani....loh!
Tumekusikia.....lol
Heshima mbele sana wanangu,
tena mmeifanya siku yangu iwe nzuri sana,
mastress yote yametoka,
tupendane wanangu, maisha ni mafupi sana.
God bless u all.
Hii sherehe ni funga mwaka. katoto kametulia kwenye hori hataki kelele.
Hii sherehe ni funga mwaka. katoto kametulia kwenye hori hataki kelele.
Mama nimemeona kaka The Boss kajificha na dada Kongosho pale chini ya mwembe....
Amekua eeeh
HahaaaaRicky, mchunge Amyner, naye anataka kuja mwembeni kwangu.
HhhaaaNtakaachia kweli hapa hata sentimita??
Kuna watu wanakatolea macho kweli, nakanyonyeshea mgongoni huko huko.
Nimeamini, abiria chunga mzigo wako.
Hhhaaa
kwa kujihami uko vizuri....
Unadhani mama ndo atakusaidia??
HahahahahahahahaaaaTamu ya asali ajuaye mlambaji babu, ukiliuliza sega halitajua kitu.
Michelle ameconfirm. Wako pamoja, kanitumia na picha, he is sleeping in her armsMama nimemeona kaka The Boss kajificha na dada Kongosho pale chini ya mwembe....
Amekua eeeh
Dah Mwali mbona picha sijaiona?Michelle ameconfirm. Wako pamoja, kanitumia na picha, he is sleeping in her arms
Hahahahahahahahaaaa
Kongosho we noma lol
Ndo maana ma wife hataki kabisa ushemeji shemeji usio na mwelekeo...dah
Hahahahahaaaa The Boss ndo hachomoki eehHa ha ha, chezeiya baby ya Konnie, sumaku ile wakigusa wananata afu wanataka kukaa hapa hapa.