::Memo for The Boss::

::Memo for The Boss::

Mi nashangaa hizo nyota nyota za nini tena.

Au pu ya mwisho walidhani ni bu? Hata hivyo hakina 'm' pale.

Najaribu magazijuto zote sioni forbidden inakujaje.

Hahahahahahaaa
Kongosho acha hiyo kitu.....
Unanikumbusha kigoma sec enzi hizooo
 
hilo neno la kwanza ni nini?

Umeanza vingereza vya bungeni?

Kwa taarifa yako iam political medicology in engineering daily bledi.

Hahahaahahahaaa nimecheka kiukweli lol
Hata sijui nesemaje....anyway mfano baba ungeandika abab
 
Ni masikitiko yangu sikuwepo kwenye sherehe lakini haikudhuru wewe kuongeza kunyanzi usoni na wrinkled skin.nilikutafuta nikuage lakini haukuwa reachable kilikuwa kipindi tata cha chaguzi nahisi ulikuwa Arumeru niliwaaga nakwenda golgota nikawaachia usia wapendane mwambie kakadada Kongosho nimerudi anyoshe kidole sina nia mbaya ya kumwibia ila hakishindwa kazi kwake.wasalaamu toka China dada yake Maufong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom