Happy day The Boss!
I pray that; since now your Born Again (mara ya ishirini na ngapi vile?), utaziacha njia zote za kwenda kwenye zile nyumba ndogo na kubaki kwenye njia ya nyumba kubwa tu!
Niliikosa party, lkn nimekuandalia supu ya dagaa wabichi, spesho kwa kushusha mning'ining'io!
Happy Birthday Mkulu!
Mtoto anamtafuta mama anyonye.....
Mpe maziwa ha Mgando basi
Huyu anafaa bunsen burner tu.
...dahhhhhh, ilinishtua nikadhani anakaribia kulimwa ban!
Happy Birthday king, The Boss!
sasa ASHADII hawa Kongosho na Michelle
watanilaumu wakikuta High table 'imejaa na wako replaced for today'?
time inaenda wao bado wanajipamba tu..
Ongeza meza na viti leo lazima wakuzunguke maana wewe ni mfalme wa leo.
Shem Kaizer, naona umeingia, please leta hizo bia. watu wamezisubiri hadi wamekata tamaa. lol
OMG...so this is (was) the Big day for the BIG Boss here
Happy birthday the Boss
RR, The Boss, is Just the Boss,,,,nothing more nothing less
chezeya Boss kibarua kiote nyasi lol
Happy birthday the king!
Castle lite baridi pleaseWell, RussianRoulette, hapa nina Heineken bariiid kabisa for you. Of course all other drinks zipo, hard and Soft ones.
Au u have another choice ...nikutengenezee cocktail?:wink1:
Heineken baridi safi kabisa. But please ukimuona X-PASTER usimwambii natumia. lolWell, RussianRoulette, hapa nina Heineken bariiid kabisa for you. Of course all other drinks zipo, hard and Soft ones.
Au u have another choice ...nikutengenezee cocktail?:wink1:
.😛arty:😛arty:😛arty:😛arty:😛arty:
Happy birthday Mr. Boss
JF Raha sana.Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)
Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...
Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, @Woman of Substance, Mwali
Mapambo - King'asti, sweet Lady, Husninyo, afrodenzi, Belinda Jacob, Zion Daughter, cheusie mangala
Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta
Ulinzi - @Uporoto, @Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw
Vinywaji - Kaizer, @Klorokwin, @MTM, steeve Dii, queenkami, blacki woman, @Pj
Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, MAMMAMIA
Usafiri - BAGAH, Judgement, BAGAH, Smiling Saint, Mphamvu,
Mapokezi - Kigarama, jmushi1, vivian, deejay nasmile, Pet cash, Amyner
Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol
Upande wa vinywaji you do know your shem, haitwi Kaizer buree....lol (everything under control!)
Hapa Alter itabidi uniruhusu nitoke nikaandae kamati; Nina list kabisa ya hawa wakuwatatuta, acha hawa ambao tupo nao...
Chakula - Karen Happuch, First Lady, Michelle, Lizzy, Cantalisia, Mamndenyi, @Woman of Substance, Mwali
Mapambo - King'asti, sweet Lady, Husninyo, afrodenzi, Belinda Jacob, Zion Daughter, cheusie mangala
Music - Apollo, Batalanta, Smile, Husny, Nyani Ngabu, Preta
Ulinzi - @Uporoto, @Klorokwin, The Finest, RR (not you alter lol), , Paw
Vinywaji - Kaizer, @Klorokwin, @MTM, steeve Dii, queenkami, blacki woman, @Pj
Baunsa - Bigirita, Fang, Memo, MAMMAMIA
Usafiri - BAGAH, Judgement, BAGAH, Smiling Saint, Mphamvu,
Mapokezi - Kigarama, jmushi1, vivian, deejay nasmile, Pet cash, Amyner
Roulette sehemu nyingi zimepwaya.... narudi kujaziliza....lol
Castle lite baridi please