Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

Membe: Tunasubiri talaka Jumuiya Afrika Mashariki

Huyu hafai urais,Suala dogo linamsumbua yeye na 6 ONDOENI NCHI KTK KITU INAITWA EAC

Halafu, hoja anayoshikiliaga kuwa wenzetu wanataka ardhi yetu huwa inanichefua sana. Sawa sisi tuna ardhi, lakini hiyo ardhi magamba yamefanya nini nayo kuwainua watanzania?
 
Tanzania inaendelea bila ya utegemezi wa nchi za EAC, Sasa mkaamua kutupilia mbali na yale majengo ya makao makuu pale arusha mkawarejeshea % zao wakasema itakuwa je? Zanzibar wanataka kujitoa, sembuse hao?
 
Halafu, hoja anayoshikiliaga kuwa wenzetu wanataka ardhi yetu huwa inanichefua sana. Sawa sisi tuna ardhi, lakini hiyo ardhi magamba yamefanya nini nayo kuwainua watanzania?

Hivi ni CCM au serikali imeifanyia nini ardhi kuwainua watanzania au wewe mtanzania umefanyia nini ardhi iliyoko bwerere Tanzania kukuinua.Ulishasikia serikali au CCM inalimia watu ardhi na kuwagawia mazao?.Ardhi iko bwerere ni kazi yako sasa wewe kuamua uitumiaje.Hata CHADEMA ikija haitakulimia shamba kuinua maisha yako. Utaendelea kuimba wimbo wa magamba hadi uende kaburini lofa wa kutupwa.

Hatima ya maisha yako haiko mikononi mwa CCM wala CHADEMA iko mikononi mwako utajijua.Wewe endelea kuimba nyimbo za chama hapo utakufa lofa shauri yako.
 
Wanamtandao wote ni walewale hakuna mwenye vision na charismaa ya ku -bargain katika level ya kina Kagame na wenzake. Akina Kagame wanatudharau kutokana na udhaifu mkubwa na uwezo mdogo wa ku-manage uchumi wetu na wenyewe, so inferiority yetu ndio inawapa wenzetu upper ground ya kutu- bulldoze, hata hivyo I do admire Kagame for being a man of vision and actions, na as a matter of fact hii brain ya Kagame ingekuwa NDIO raisi wa Tanzania EAC ingeukwa strong na Tanzania ikiwemo na kufuatwa matakwa yake sio hawa waswahili wetu.
 
Membe ameonge jambo la msingi sana kuhusu Monetary Union.Hatuwezi kwenda kwenye political Federation kabla ya Monetary Intergration.Tunajenga Shirikisho gani?

Mtu yeyote aliyesoma Uchumi anajua nature ya shirikisho letu ni la Kiuchumi zaidi.

Sasa hata Monetary Union yenyewe bado na hata hii inatakiwa tuwe makini.Ni lazima tuimarishe taasisi na kuweka Monetary mechanism maana nchi zitapoteza Currency sovereignity.

Kenya inawezekana wanafanya makusudi kuchelewesha hiyo maana wanajua Currency yao kwa kuanzia itapata pigo.

Trust Me,Kenya inaweza kuishia kuwa kama Uingereza kwenye Sterling Pound na Euro kule EU
 
Hivi Jumuia ya Afrika Mashariki si ilikuwepo? Tumeshajiuriza kwa nini ilivunjika? Na Je sababu iliyofanya ivunjike zimetoweka? Ni kipi kitafanya EAC kuwa salama?. Mimi naona hatuko makini kwa walipora mali zetu kutuacha watupu sasa wananyemlea ardhi yetu.
 
75%ya Aridhi ya Kenya inamilikiwa familia ya KENYATA,wengi wanakodi kulima wengine vibarua, wamekata tamaa,Msimu liopita wa Ufuta Rafiki yangu alienda Liwawe kuungana na watu wenginena kukata msitu(hauna mwenyewe) na kulima Ufuta akapata 7000000 kanunu pikipiki na kaongeza mke,safari hii kafwatana na washkaji kibao.mwaka jana bei ya Ufuta 1500-1700 mwaka huu 2500-2800 kwa kilo,alikuwa ananipiga mizinga sana lkn sasa mambo yake safi,Kuhusu Aridhi nipo pamoja na MEMBE.
 
Hizi ni kelele za kitoto na kinafiki.
1. Kwa nini waziri asiwe jasiri awaite hao waliojitenga na kuwauliza juu ya suala hili??
2. Membe analeta story za kijiweni kwenye masuala ya maslahi ya Taifa - He need to sober up and know that whatever happens, will always affect Tanzania
3. Kama huwezi kumshawishi Museveni na Kagame akakuelewa - utawezaje kumshawishi Obama???

4. Waziri atatuhakikishiaje kuwa ana uwezo wa kulinda maslahi ya Taifa - maana ninavyomuelewa kwenye hili ni kwamba HANA PLAN B. Hii Tabia ya kusubiria hao wanaotaka kujitenga wataamuaje ni ya kitoto na ya kijinga. Huwezi kuwa unabakwa, halafu unamsubiria mbakaji ataamuaje. You need to do something.

5. Waziri ameifanya nchi kuwa bunch of reactionaries !! It is sad seeing the great country gambling its future because as a country we have spineless ministers who have never have to solve any serious challenges in their career!
 
Membe ameonge jambo la msingi sana kuhusu Monetary Union.Hatuwezi kwenda kwenye political Federation kabla ya Monetary Intergration.Tunajenga Shirikisho gani?

Mtu yeyote aliyesoma Uchumi anajua nature ya shirikisho letu ni la Kiuchumi zaidi.

Sasa hata Monetary Union yenyewe bado na hata hii inatakiwa tuwe makini.Ni lazima tuimarishe taasisi na kuweka Monetary mechanism maana nchi zitapoteza Currency sovereignity.

Kenya inawezekana wanafanya makusudi kuchelewesha hiyo maana wanajua Currency yao kwa kuanzia itapata pigo.

Trust Me,Kenya inaweza kuishia kuwa kama Uingereza kwenye Sterling Pound na Euro kule EU

Mkuu
Sasa Kenya itaishia je kushikilia pesa yake wakati hii ni Political federation? Uingereza ama nchi yoyote EU hazina political federation ila EU kuna economic federation.
 
Nijapolazimika kusimama mwenyewe, bado mimi nitatetea Tanzania iendelee kuwepo kwenye EAC. Tofauti ndogo tunazoziona sasa naamini zinatatulika na mchakato wa EAC ukaendelea mbele. Bado naamini shirikisho linaweza kuwepo bila kuathiri interests na rasilimali za Tanzania. Najua yapo mambo machache tunatakiwa tusacrifice kama tunataka kufaidika na EAC, huwezi kukumbatia maji kama jiwe.
Kinachonisikitisha ni pale viongozi wetu wanaposhabikia tofauti hizi ndogo bila kujua kuwa kuna leo na kesho. Kiongozi kama waziri huwezi sema "tunasubiri talaka"!!!. That is an arrogant type of speech isiyotakiwa kutolewa na mtu mwenye akili. Niliipenda zaidi taarifa iliyotolewa na wizara ya ushirikiano wa Afrika Mashariki juzi (pamoja na mapungufu yake), kuliko huu utumbo uliojaa majivuno alioongea Membe. Unapokuwa waziri wa mambo ya nje, ina maana wewe ndiye afisa mahusiano wa nchi, na tunatarajia uwe diplomat mkuu wa nchi.

Kati ya mara 100 wanazohukumiwa watu kwa kuongea/kutokuongea, bila shaka mara 99 watu wanahukumiwa kwa kuongea wrong, na pengine mara moja wanahukumiwa kwa kutokuongea right. Membe alitakiwa achuje sana sentensi zake, hasa wakati huu wa tension na hao majirani zetu.

cc Candid Scope
Kongosho
MkamaP
Mdondoaji
Ng'wamapalala timbilimu

Sijawa kinyume cha maoni yako, lakini jambo la kuangalia mipango ya washiriki inapofanyika kwa siri wanapokuzunguka kufanyia mipango hiyo nyuma ya upeno wa nyumba wakati milango ya nyuma iko wazi inaleta taswira ya kujitena moja kwa moja bila maridhiano ya uwiano wa haki ya ushiriki. Jambo la msingi nini kuhemekea wakati wenyewe hawakuhitaji nawe wakati huoni kuathirika kutokana na kutengwa huko kiasi cha kuathiri maisha yako ya kila siku? Pengine nafasi na mazingira yako yenye kuonyesha matumaini ndiyo yanayofanya wakimbilie upenuni mwa nyumba vinginevyo wasitengetetereka wangekuwa wazi mbele ya meza ya pamoja na mwenye kukataa akatae mwenyewe.
 
Mkuu
Sasa Kenya itaishia je kushikilia pesa yake wakati hii ni Political federation? Uingereza ama nchi yoyote EU hazina political federation ila EU kuna economic federation.

Kwa kutambua ugumu huo ndiyo maana Monetary Union haiendi! Wanalazimisha shirikisho la kisiasa na kuruka baadhi ya step ambazo Essence ya Federation
 
3. Kama huwezi kumshawishi Museveni na Kagame akakuelewa - utawezaje kumshawishi Obama???

Kwa taarifa yako ni rahisi Membe kumshawishi Obama akamwelewa kuliko Museveni na Kagame.Hao hata Obama mwenyewe hawaelewi na hawamwelewi.Ndio maanaObama aliposhawishiwa alimwelewa Membe akaja Tanzania akagoma kwenda kwa Kagame na Mseveni.

Kagame na Mseveni wanajielewa wenyewe na watu kama wewe ambaye hata mimi sikuelewi.

Museveni na Kagame ni vigumu mno kwao kumshawishi Obama akawaelewa sembuse Tanzania.
 
Hizi ni kelele za kitoto na kinafiki.
1. Kwa nini waziri asiwe jasiri awaite hao waliojitenga na kuwauliza juu ya suala hili??
2. Membe analeta story za kijiweni kwenye masuala ya maslahi ya Taifa - He need to sober up and know that whatever happens, will always affect Tanzania
3. Kama huwezi kumshawishi Museveni na Kagame akakuelewa - utawezaje kumshawishi Obama???

4. Waziri atatuhakikishiaje kuwa ana uwezo wa kulinda maslahi ya Taifa - maana ninavyomuelewa kwenye hili ni kwamba HANA PLAN B. Hii Tabia ya kusubiria hao wanaotaka kujitenga wataamuaje ni ya kitoto na ya kijinga. Huwezi kuwa unabakwa, halafu unamsubiria mbakaji ataamuaje. You need to do something.

5. Waziri ameifanya nchi kuwa bunch of reactionaries !! It is sad seeing the great country gambling its future because as a country we have spineless ministers who have never have to solve any serious challenges in their career!

Hili swala sio la kushawishiana, mambo ya kushawishiana ni u dictotar na kutojiamini na kutofahamu nini ya kupasa. Hili swala si la Membe wala JK ni swala la wananchi yani people's power ama sivyo?

Membe kasema vizuri, wakati ukifika swala litapelekwa kwa wawakilishi wenu bungeni wakaamue waziwazi na ninyi wananchi muamue nini yapaswa kufanyika. Hiyo ndo inaitwa rule of the people for the people. Hiyo ya ku negotiate siju ni rule gani labda utusaidie mkuu?
 
Ni kweli kwamba bunge ndio lenye AUTHORITY ya kufanya uamuzi husika kwa niaba ya wananchi, lakini je, bunge letu kweli lina COMPETENCE to analyze this issue na kufikia uamuzi wa busara and rational kwa manufaa ya nchi? Sidhani kwani attitude ya viongozi wetu katika suala zima la EAC imetawaliwa na timid defensiveness kuliko confident engagement, na kwa kiasi kikubwa, suala la Tanzania kuwa sidelined limechangiwa zaidi na ubabaishaji katika uongozi wetu;na katika hili, bunge ni kama vile halijali;

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pamoja na ukweli huo, kuna jambo lisilo la kawaida kuzungukwa mbuyu hapa. Kama kuna kitu ambacho hakijawaridhia wanajumuia East Africa dhidi ya Tanzania, bora mambo yangewekwa wazi mezani kwa utaratibu unaotakiwa, na siyekubali ieleweke kwamba kwa hiyo tumeamua kuunda yetu, lakini hili la kuunda kimyakimya lina dhana na ladha tofauti na kile ambacho tunafikiria, na ladha hiyo waijua hao kwa vile hawajaweka mambo wazi. Baadhi ya mambo yaliyotendeka katika utatu wao yamekiuka katiba ya jumuiya. Pengine mkutano ujao katika jumuiya hiyo mwezi ujao utaleta taswira ya hali halisi kwa vile utakutanisha nchi zote wanachama.
 
Maneno yoote hayo ya kazi gani? Itoeni Tanzania kwenye hilo shirikisho kwa kigezo cha kujitathmini upya na tutarudi tutakapojiridhisha ili tuonekane hatuja wasusa hao loosers wa4.

EAC ni kitu gani kwanza jamani?
 
Back
Top Bottom