Mkuu Joka Kuu.
Nakupongeza na ninakubaliana nawe kwa issues mbili ambazo ni Ardhi na Federation. Ardhi siku zote nimeizungumzia kwasababu ndani ya Katiba yetu ya sasa ni mali ya umma,haimilikishwi mgeni. Wageni wanaweza kukodi kwa uzalishaji kwa masharti maalumu. Kwa hiyo mpaka hapo sioni hili jambo tumeshindwa waeleza majirani,na tukatafuta njia bora itakayo tunufaisha sisi kwa kukodisha pontential wawekezaji toka kwa majirani wakazalisha,wakalipa kodi na wananchi wetu wakapata ajira! Tatizo ni uongozi unaoweza bargain kwa maslahi ya nchi yetu.
Federation nimekua hata siijadili kwasababu naliona kama jambo hewa,na ninaamini hata Wakenya hawawezi kubaliana na hii kitu. Ni jukumu la Watawala wetu kujitokeza wazi,wasikimbie vikao,wawaeleze majirani zetu kwamba tushirikiane ktk mambo ya uchumi na biashara. Federation ya kisiasa hapana!
Mkuu wangu,hapa nyuma kumekuwepo tofauti za hapa na pale,lakini mimi nafikiri kwamba vurugu nyingi zinasababishwa na wasaka urais wetu toka CCM,mwaka 2015! Jiulize Wizara ya EAC imetoa tamko,siku mbili baadaye Waziri wetu wa FA anaibuka na kutoa ufafanuzi mwingine! Kwangu mimi Waziri Membe ana maslahi binafsi ya kisiasa na kinachoendelea!
Mimi kama ningekua Rais ningefanya mabadiliko ya watu wanaosimamia sera yetu ya Mambo ya Nje na EAC. Ningemrudisha Dr. Asha Rose Migoro,wizara ya FA na Balozi Juma Mwapachu wizara ya EAC! Ingesaidia kurudisha mahusiano mazuri na majirani,lakini kuwapatia muda wa kutosha wasaka Urais wasitumie ofisi zao kwa maslahi binafsi.