Kusema kwamba wenzetu wamechukizwa na viongozi wa kidunia kututembelea huo ni upuuzi, viongozi wakubwa wanakuja Tanzania kwasababu wakati huu wanaweza kutuhadaa na kupata mikataba ninono kwa faida ya nchi zao kitu ambacho Kagame hawezi kufanya kwasababu ukweli ni kwamba ana akili. ni aibu kiongozi kutoa hoja kama hizo.
Lamsingi sioni tunachofaidika na hiyo EAC. kama wenzetu wamejitoa kwa nia ya dhati ya kiuchumi basi wataendelea, lakini kama tu ni kumkomesha kikwete wanajisumbua kwasababu wanaihitaji Tanzania zaidi ya tanzania inavyowahitaji, sisi tuendelee na msimamo wetu kwamba swala la Ardhi haliko kwenye EAC wakitutenga shauri yao, tusijitoe tuwaache watutenge sisi tujipange