Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 636
Tunaogopa kuungana na Waafrika wenzetu eti wanatamani utajiri wetu lakini tumekuwa radhi kuwaachia Wageni (Wazungu,Wachina,Waarabu) watuibie hizi rasilimali zetu kisha wakajenge kwao Ulaya,Asia na Arabuni.Juzi kuna Mchina inasemekana ameonwa na Madini ya TANZANITE.It doesn't make any sense to me!We are so mean and stingy against our fellow Africans but in the mean time we look very generous towards the Foreigners.This is totally absurd and ridiculous!
Kenya ndio nchi inayojulikana duniani kwa kuuza Tanzanite, tena wanafanya magendo, wala hatujalalamika! Mchina, mmarekani, mwingereza, mkenya, mnyarwanda, Mganda na Mrundi wote ni wageni tu, wakiiba wakajenga kwao hainisaidii chochote! Sana sana jirani ataniongezea na kejeli juu!
