Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Membe, Lowassa, Makamba, Mwigulu OUT! Tano bora hii hapa...

Status
Not open for further replies.
ULITAKA KUBASHILI BUT NI HII HAPA. 1. LOWASA 2. MWANDOSYA 3. MEMBE 4. MIGIRO na 5. RAMADHANI
 
Kutoka CC ya CCM nimedokezwa kuwa tano bora itakayopelekwa halmashauri kuu ya taifa CCM hii hapa
1) Jaji Augustino Ramadhan
2) Asharoze Migiro
3)Dr. Mohamed Gharib Bilal
4) Mizengo Pinda
5) Makongoro Nyerere

Hizo ni tetesi na sina uhakika nazo ila nimemegewa kutoka jikoni!

Hamna kitu hapo jaribuni muone kama Dodoma hapajachimbika mchana kweupe tugawane fito.
 
Hivi Gharib Bilali naye Alichukua form?

pinda, ramadhani ,mwandosya,biral,asha wote awana siasa tunazozitaka vijana ,wabaki kuwa wazee tu na siasa zao mwaka huu tunataka siasa za obama ua kenyata ,kama hauwezi kushambulia jukwaa la siasa kwa hoja na nguvuu unaongea kama babu hauna nafasi utapotezea chama nafasi na kuwafanya wafuasi wa chama hicho kuwa wanyonge tu
 
NIJUAVYO MIMI.
Kama MAKONGORO asingefanya taarabu kwa wenzake angepitishwa. Jaji aliambiwa na wenye busara achukue form haraka sana

mwenye busara nani Jk maana ndo aliye mshawishi achukue form.mkitaka ukawa tusipite labda makongoro pekee ndo atatuweza
 
Kama itakuwa hivyo basi Jaji rais(Zanzibar) na Mako ni Makamu wa rais (Bara). Nawaambia watu wajiandae kumeza matonge makavu ya kokoto bila mchuzi, teh teh teh teh!!!!!!!!
 
Hmm...huyo Mahiga ni Msukuma kweli?

Siyo mtu wa Iringa huyo?

Halafu huyo Ramadhani eti hana maono yake ya wapi anapotaka kuipeleka Tanzania.

Eti anasubiri kwanza ilani ya CCM.

Really?

Bogus kabisa.

Nilikua nakuheshimu sana..
Kumbe wewe ni bogua kupindukia..

Hujui kazi ya ilani ya chama..
Yote yanayofanywa nchini ni ilani ya vhama cha mapinduzi na sio matakwa ya rais..
Mpumbavu mkubwa wewe
 
Kama itakuwa hivyo basi Jaji rais(kutoka Zanzibar) na Mako ni Makamu wa rais (Bara). Nawaambia watu wajiandae kumeza matonge makavu ya kokoto bila mchuzi, teh teh teh teh!!!!!!!!
 
ULITAKA KUBASHILI BUT NI HII HAPA. 1. LOWASA 2. MWANDOSYA 3. MEMBE 4. MIGIRO na 5. RAMADHANI[/

mtu mwenye makundi mwaka huu hana nafasi ili kujenga chama na ili kutoa fitina wote wanamwagwa ,
atapitiswa mtu anaefaamika na mwenye uwezo wa kuupambana na upinzani ,MAGUFULI AU MAKONGORO,tukutane 12/julai/15 hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom